The girl next door, sijui atasema yes

The girl next door, sijui atasema yes

tafuta kadi yenye maneno mazuriiiiiii ambatanisha na maua halisi weka na namba yako ya simu mpe kimasihara kaa pembeni usubiri majibu
 
Aah,nimesoma nimechoka nikaishia njiani,pointless thread,hiv hii hadithi umetungiwa na nani?mwambie aedit,zote ni fix tu...
 
Duh boss ulikosea siku nyingi sana...actually ile ile siku ungechuma ua umpe hata kama ni yale mekundu ya fensi yale....! A bird in hand is worth nine in the bush.


We jizoeshe tu kumuita shem kwa sasa....
 
Jombaa ulichelewa, wewe unaona kitu kizuri dukani then umekipenda alafu wasema ntakuja kukinunua mwakani hahahaha unafikiri kitakua chakungoja tu, ulivyokipenda wewe kunaaliye kipenda ivyo ivyo, hapo wajanja washawai wee anza kumuita tu shemeeejiiiiii ivyo.
 
Hongera sana mkuu nikuhulize swali
1. Gari unalo
2.Pesa za kutosha zipo
3.Nyumba cio muhimu maana ata mbuzi anayo
Bas kama vitu ivyo unavyo mtoto umesha mpata sawa mkuu


...nikuhulize = kuuluze.
 
1.Kama yuko JF basi jibu lako analo anasubiri uende tu. Maana ilivyo chambua lazma ajijue,
2.kama ni hvyo basi atakua amejua ww hujiamini na huna msimamo na maamuzi yako binafsi.
3. Nenda pole pole kwenye hzi mambo (hasa kwa mabinti hawa wa mjini), ficha mishtuko yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom