Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Ndege hii aina ya boeing 787 iliyopoewa jina la dream liner, imekuwa na matatizo tangu kuingia kwake katika soko. Imekumbwa na misuko suko mingi kuanzia kupata hitilafu katika betri zake hadi kufikia hatua ya kuzuiwa kuruka. Mbaya zaidi wafanyakazi wa kiwanda cha boeing kilichopo marekani, baada ya kuhojiwa kwa siri na aljazeera,10 kati ya 15 waliohojia walisema hawawezi kusafiri na ndege hiyo.walisema ndege hizo ni kama majeneza yanayoruka. Kuna kashfa kubwa sana kuhusiana na ndege hizi,kuanzia kwa wafanyakazi wake hadi uongozi.
Kwa mengi zaidi fuatilia aljazeera investigations.
Ni balaa, watu hawawezi kupanda ndege walizotengeneza wao wenyewe.
Kwa mengi zaidi fuatilia aljazeera investigations.
Ni balaa, watu hawawezi kupanda ndege walizotengeneza wao wenyewe.
Last edited by a moderator: