Mkuu kuhusu dimensions ni somo pana sana kama alivyosema
Bob Manson.
Kwa kifupi dimensions ni realities mbalimbali au tofauti ambazo kila mmoja anaishi au anapitia.
Ukiweza na kufanikiwa ku control mawazo, fikra na jinsi unaavyoishi automatic utajikuta unaishi au ku shift katika dimension au reality fulani ambayo inaenda sambamba na energy au tuseme frequency na vibration ulizokuwa nazo.
Mfano watu kama Elon musk au Mark Zuckerberg dimension au reality za maisha yao ni kutokana na mawazo na fikra zao.
Halikadhalika ukiishi katika low vibe energy na kuwaza shida, mateso, malalamiko n.k definitely unaishi katika dimension au reality hiyo hiyo.
Cha muhimu sana ku control mawazo na fikra zako na kuhakikisha energy yako inakuwa juu.