Pilipili haioni ndani hata zile za kidosi hazioni ndani mkali huyo lol!!!
Ewaaa hao nawaaminia ila huyo Fidel huyo
penye red ni kwamba mchawi mpe akushikie mtoto. Hatamdhuru. Pj yeye anajukumu lingine la kuandaa katrip kwa kuona wanyama wa porini kwa ajili ya kukamilisha bday.
Hahaha Damie wewe una balaapenye red ni kwamba mchawi mpe akushikie mtoto. Hatamdhuru. Pj yeye anajukumu lingine la kuandaa katrip kwa kuona wanyama wa porini kwa ajili ya kukamilisha bday.
Thanks Mkuu pamojaMmmh haya we AD . . .
HBD TF.
Cheers!
Mkuu Refa si alikuwa wa kwenuaagh taratibu mkuu...juzi m-meaibishwa emirates, na Fabregas hakucheza kwa sababu ya b/day yake ya leo,coz angeumia ile siku ingekuwa inshu..teheteheeee
Aisee nyumba tunaweza ikimbia maana ni chafya kwenda mbele tena pilipili za Hyderabad balaaaza kidosi mi n'nazo hapa zinaitwa chilli-masala..chicken masala,mutton,mpaka biriani masala hapa ninazo,zimetoka hyderabad,ngoja nimwite dereva bajaj akuletee...nadhani itakuwa habari njema kwa Afro!
Sijui ni kwa nini wanakuita THE FINEST
Sijui ni kwa nini wengi tunakupenda..
Sijui ni kwa nini twa taka kukujulia hali..Sijui ni kwa nini tunapenda kufurahi nawe.
happy Birthday, The Finest
happy Birthday, dear
happy Birthday, to you
Mungu akujalie maisha marefu
yenye amani,upendo, utulivu
Na Mwenyenzi Mungu akuongeze
Busara na Hekima katika maisha yako
Na tunawatakia Birthday Njema kwa walio zaliwa siku hii ya leo Mbarikiwe sana.. Amen..
Asante Husninyo Mpwampwa sijui nitapata nini kutoka huko lolHappy birthday TF. Mungu akupe afya njema na furaha.
Thank you Smiles what a wonderful post you have just made my day i have just noted something interesting in your post hasa hapo nilipopaka rangi ya bluu.......The Finest!!
Where should I start....
The part where u are soo lovely that no one can resist your charm!!
Or the part that makes you a real - finer... Such an extraordinary personality that makes u....The 'real' Finest!!
I wish u an evalasting life...full of love and happiness!
And may all ur wishes be true...
And may everythn u touch be blessed...
And.... Dah! Sijui kama hii space itaweza ku-accomodate all I want to say here...
And... May there be never anyone as Fine as you are...
But... May your generation be as kind and lovable as you are...
And we...I shall love u forever coz u are such a dear friend!
Happy Birthday.....The Finest!!
Thank you Mama wa Kwanza, usijali kama kawaidaHappy Birthday Rafiki Mungu akujalie maisha marefu.aisee jioni habari kamili itakuwa mitaa ya wapi?usisahau kunijulisha mkuu
Asante Husninyo Mpwampwa sijui nitapata nini kutoka huko lol
Thank you Smiles what a wonderful post you have just made my day i have just noted something interesting in your post hasa hapo nilipopaka rangi ya bluu.
Hahaha SMU Thank You so muchHappy birthday! Nakutakia maisha marefu na yenye mafanikio!
Hivi kuna kreti zima la Open Your HappinessHappy bday TF, hongera kwa kuongeza mwaka (unafurahi unachukia...?!) I think u better open ur happiness with cocacola, nimekuwekea apo pembeni ukimaliza we nistue nikuongezee ctaki unune sawaaaa....! God bless you.
Thanks once againAm glad to have made ur day....
Oooh!! What a lovely day has been BJ THANK YOU SO MUCH my day is gettin better and better after your invitation mhh can't wait to get there PASTA and PIZZA usisahau halafu leo ndio tuna game na wale wachovu wa Ujerumani ndio raha kabisa