The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Hahahaha sikuwezi lol!!!Hapan bado sana kuwa kidogo tena atleast ufikie umri wangu,inaelekea ulivyokuwa mdogo ulipenda sana kuwekea wadada vioo chini na kuwachungulia eeeeh?
18 naruhusiwa kuchungulia sasa
Sizinga Mkuu ndio nimegonga 18 yaani bado kijana kabisa lol
Thank you so much WL najua nina kesi kwako sijaimaliza ila me and you hakuna lililoharibika lol
Hahaha Sizinga nafikiri ni muda muafaka sasa wa kutafuta mchumba au unasemaje?
Hongera kwa kuzidi kula chumvi sasa hivi una 45yrs si haba ni mda muafaka wa kupata jiko sasa.
Unajua Fidel tuligongana nae kwenye maslahi fulani hivi pale maeneo ya TIP TOP na HIGHWAY ndio maana ameamua kunizidishia miaka ili anipeperushie njiwaAaagh mbona Fidel unanchanganya!! ye kadai yupo 18, we unamletea uzee 45+, hebu wekeni sawa kwanza hapa!!
Dah!! Mkuu umeamua kunimaliza kwa kutoa siri zote lolOohoooo!! Piga kitabu kwanza,shule yenyewe upo ya kata,ndo kwanzaaaaa upo form 2, unaanza kufikiria mchumba...hujani-convice mbado!!
Mama Mkwe yale yalikuwa ni majaribu ila nimeshinda lol Shetani shindwa tokaaa kwa jina laHappy Bday Mkwe bado nina machungu na wewe
Mungu akulinde na kukutunza pia akupe maisha mema marefu yenye baraka tele
enjoy your day
Sijui ni kwa nini wanakuita THE FINEST
Sijui ni kwa nini wengi tunakupenda..
Sijui ni kwa nini twa taka kukujulia hali..Sijui ni kwa nini tunapenda kufurahi nawe.
happy Birthday, The Finest
happy Birthday, dear
happy Birthday, to you
Mungu akujalie maisha marefu
yenye amani,upendo, utulivu
Na Mwenyenzi Mungu akuongeze
Busara na Hekima katika maisha yako
Na tunawatakia Birthday Njema kwa walio zaliwa siku hii ya leo Mbarikiwe sana.. Amen..
Hahaha Mkuu Mayanza hiyo age was just kiddin lolMkuu!
hongera sana kumbe bado kijana sana, i thought ulikuwa unagonga kwenye 30, mkuu nakupigia saluti hata ninapoona post zako na comments zako nilikuwa najiuliza una umri gani, you're so wise man...
keep it up, but take care and many birthdays will come to you.
Hommie leo pale HIGHWAY sijui wale wameniandalia niniHongera kwa kuzidi kula chumvi sasa hivi una 45yrs si haba ni mda muafaka wa kupata jiko sasa.
Thank you Keren_Happuch you are on the guest list don't miss out
Thank you Pretty P usikose kwenye mnuso lolHappy birthday fnst, may god be with u in ur life
Hommie leo pale HIGHWAY sijui wale wameniandalia nini
Aaagh mbona Fidel unanchanganya!! ye kadai yupo 18, we unamletea uzee 45+, hebu wekeni sawa kwanza hapa!!
Thank you Pretty P usikose kwenye mnuso lol
Thank you DioHappy bday my best friend.