The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,672
2,000
Pascal, hawa jamaa tatizo lao ni kupokea kitu{ habari} pasipo kuifanyia UTAFITI.
Kuna wakati wanaandika mambo mazuri na kuna wakati WANABORONGA kwa manufaa wanaojua wao wenyewe na ma bwana wao.

Kumbuka waandishi wa gazeti hilo 75% wako Uingereza not real on the ground.
Hivyo basi wanaandika kile WANACHOPELEKEWA waandike!
Unless MHARIRI mkuu Ms {Susan} Zanny Minton Beddoes ABADILIKE bado watazidi kuandika MAUONGO!
Jambo la kufanya ni ku ignore uongo wao na kuchukua yaliyo POSITIVE kwetu.
Mnasema wanasema uongo bila kuainisha uongo wao.
 
Kyodowe

JF-Expert Member
Mar 6, 2013
1,001
2,000
Ebu tuwekee link mkuu tujisomee wenyewe
Wanabodi,
Hili Jarida la The Economist, kama kawaida yake, kila likiandika kuhusu Tanzania, kwanza lazima limtukane rais wetu, pili lazima litunge vitu vya uongo kuhusu Tanzania, tatu lazima litunge uongo kumsingizia Rais Magufuli jambo lolote na kutangazia ulimwengu.

Katika toleo lake la leo Machi 16, limekuja na kubwa ya mwaka, sio tuu kumsingizia Rais Magufuli kuwa ametamka kufuta vyama vingi, na kuiresha Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja ifikapo mwaka 2020, bali pia wamemnukuu na kumlisha maneno kwa quotation kuuaminisha ulimwengu kuwa maneno hayo ni kweli rais Magufuli ameyasema.

Japo mimi sio mfutiliaji wa karibu wa kila hotuba za rais Magufuli, lakini ni msomaji mzuri wa kila kinachoandikwa kuhusu nchi yetu na kumhusu rais wetu, hivyo sikumbuki kuwahi kumsikia maneno haya ya The Economist, aliyatamka lini na wapi?.

Kama kuna mtu yoyote aliwahi kumsikia Rais Magufuli akisema atafuta vyama vingi, mwisho ni 2020, naomba anisaidie.

Kama huu ni uwongo mwingine wa Jarida hili la The Economist, kama kawaida yao na mauongo kuhusu nchi yetu Tanzania na Rais wetu Magufuli, lazima tufike mahali sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali, rais wetu anatukanwa, tunakaa kimya, nchi yetu inatukanwa, tunakaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yamakagashi

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
8,647
2,000
"mimi mwenyewe ni shahidi, nilikuwepo ikulu siku rais Magufuli anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini, alisema wazi kuwa hachukii kukosolewa, bali ukosoaji huo ufanywe kwa nia njema na kwa lugha ya staha, tena akasisitiza anapenda challenge, sasa hii chuki ya rais Magufuli kuchukia kukosolewa ni chuki ipi hii?."

Teh sasa ile kauli yake Mayala kwetu ni njaa ilitoka wapi ?

Sema nimekuelewa vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
1,871
2,000
PACHAL KWANI HUJUI KINACHOENDELEA..MPANGO HUO UPO NA MADEAD NA MADC WAMEISHAPEWA UTARATIBU.PIA MPANGO WAKUUA SECTOR BINAFSI ILI SERIKALI IFANYE BIASHARA SEHEMU KWA KUTUMIA TAASIS ZAKE.

Print edition | Middle East and Africa

Sasa Nakuletea Mauongo yao ni number formarts.
Paskali[/QUOTE]
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,515
2,000
Pasco msipomuelewa maandiko yake, mtaumia vichwa sana.. Naona kuna malumumba yameingia kichwa kichwa wakidhani Pasco anawatetea.. Ukweli ni kwamba Pasco ameliweka bandiko in a provocative way, akionyesha udhaifu mkubwa kwa jiwe na serikali yake..
 
omari londo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
1,805
2,000
Wanabodi,
nimeishawahi kusema sana humu, na sasa narudia tena, kuwa "Kauli Huumba". Kauli ya uongo ukisemwa sana, na kuachwa na kurudiwa rudiwa, bila kukanushwa, sio kuwa unaweza kuonekana kama ni ukweli, bali uongo huo unaweza kabisa kugeuka kuwa ni ukweli wenyewe, kwa sababu kauli nyingine zina uwezo wa kuumba, hivyo ukitunga uongo, ukausema huo uongo, usipokanshwa kuwa ni uongo, unageuka ni ukweli.

Hili Jarida la The Economist, limekuwa na kawaida ya kila siku kutunga uongo juu ya Tanzania, kumtukana rais wetu kwa majina ya ajabu ajabu na kumsingizia maneno ya uongo, mfano hai ni katika toleo lake la leo, Jarida hili limeibuka na kichwa cha habari hiki kuhusu Tanzania.

A dose of bull Tanzania’s leader, the “Bulldozer”, runs off course
President John Magufuli hates critics, gay people and accurate statistics
Wanamuta rais wetu kuwa ni Bulldozer, wadai anawachukia wakosoaji, hivi ni kweli rais Magufuli ana chuki na wakosoaji?, hivi kuna mtu alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali kama Dr. Slaa?. Huku kwenye mitandao ya Kijamii, kuna mtu alikuwa mkosoaji mkubwa kama Prof. Kitila Mkumbo?. Kwa sasa kuna mtu anaikosoa serikali kama Zitto Zuberi Kabwe?, Jee rais Magufuli anamchukia Zitto?.

Kuhusu ukosoaji, ingekuwa sikuwepo nimefanya kuhadithiwa, ningeweza kuamini, lakini kwa bahati nzuri, mimi mwenyewe ni shahidi, nilikuwepo ikulu siku rais Magufuli anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini, alisema wazi kuwa hachukii kukosolewa, bali ukosoaji huo ufanywe kwa nia njema na kwa lugha ya staha, tena akasisitiza anapenda challenge, sasa hii chuki ya rais Magufuli kuchukia kukosolewa ni chuki ipi hii?.

Hata swali langu mimi nililomuuliza ni swali la ukosoaji, lakini alijibu kwa kichoko na hata kuingizia utani wa maana ya jina langu, sasa hizi chuki za kukosolewa ni chuki zipi hawa The Economist, wanaozizungumzia?

Katika toleo hili limekuja na kubwa ya mwaka, sio tuu kumsingizia Rais Magufuli kuwa ametamka kufuta vyama vingi, na kuiresha Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja ifikapo mwaka 2020, bali pia wamemnukuu na kumlisha maneno kwa quotation kuuaminisha ulimwengu kuwa maneno hayo ni kweli rais Magufuli ametamka Mr Magufuli, says, is “determined that by 2020 there will be no political opposition in Tanzania. Essentially he wants to return it to one-party rule as it was before 1992",

Japo mimi sio mfutiliaji wa karibu wa kila hotuba za rais Magufuli, lakini ni msomaji mzuri wa kila kinachoandikwa kuhusu nchi yetu na kumhusu rais wetu, hivyo sikumbuki kuwahi kumsikia maneno haya ya The Economist, aliyatamka lini na wapi?.

Kama kuna mtu yoyote aliwahi kumsikia Rais Magufuli akisema atafuta vyama vingi, mwisho ni 2020, naomba anisaidie.

Kama huu ni uwongo mwingine wa Jarida hili la The Economist, kama kawaida yao na mauongo kuhusu nchi yetu Tanzania na Rais wetu Magufuli, lazima tufike mahali sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali, rais wetu anatukanwa, tunakaa kimya, nchi yetu inatukanwa, tunakaa kimya, uwongo kama huu utakuja kugeuka ukweli.

Hebu Jisomee Mwenyewe kwanza, halafu mimi nikakusaidia kukuonyesha mauongo yao.

Paskali
A dose of bullTanzania’s leader, the “Bulldozer”, runs off course

View attachment 1046773

Print edition | Middle East and Africa

Sasa Nakuletea Mauongo yao ni number formarts.
Paskali
Kwani wanadanganya???
 
Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,986

Mwakilishi wa Ligazeti ilo ni Zitto Kabwe na anayeandika hayo ni Zitto Kabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
4,944
1,500
Uandishi wa Pasco bhana! Any way, nimeupenda; kwanza unachokoza mada, pili, unakuweka kwenye ‘safe side’...unapongeza kama macccm wengi wanavyotaka, tatu na nzuri zaidi hii taarifa ya the Ecomist wengi wetu hapa wasingeiona hivyo umewafungua macho na kwa aina hiiii umetimiza wajibu wako kama mwandishii habari...
Endelea kutembea kama mfalme anavyotaka. Nimeona pia comedy za namna hii huku mawilayani ....wanacheza kama anavyotaka ......
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,468
2,000
Paskali kwanza pole sana, ulishapoteza credibility na moral authority kama mwandishi na mchambuzi mahiri wa habari za nje na za ndani, siku hizi tumekuzoea, ndio maana unaona wachangiaji kwenye huu uzi wako wanatupia neno moja wanaachana na wewe!
siku hizi wewe ni ndumila kuwili, UNAANDIKA USICHOKIAMINI NA KUAMINI USICHOKIANDIKA; na kirusi hicho umekipata tangu ulipowekwa kiti moto na kamati ya Bunge!

Siko tayari kutetea ujinga.
 
livafan

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,677
2,000
Hivi hili gazate ni la Inchi gani ?
Pasikali , ukipitia vizuri huo waraka kuna Mengi sana yametajwa lkn naona ww umebase tu kwenye hilo la Kufuta upinzania, can you even try to judge about other quote's ,some ov them ar realistic and very horrific refer this quote “I would like to tell media owners: be careful, watch it.” hii mbona hujai term kama point of discussion ?
Au ndo kusema kwamba now days Authors ur much carefully regarding the Presidential say caused on Press Conference declaring that " you have to be Careful and Watch it".
Binafsi nakili kwamba Rais Magufuli Anafanya kazi nzuri sana na enye kutukuka kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu, lkn pia niseme kuwa hamna aliyekamilika hapa duniani ,kusema hivi namanisha kwamba hata raisi nae anakosea pia, Mengine yaliyo ya ukweli kama ilivyo elezwa kwenye huo wakara afanyie kazi na aweze ku alleviate.
 
Kuntakint

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,770
2,000
Wanabodi,
nimeishawahi kusema sana humu, na sasa narudia tena, kuwa "Kauli Huumba". Kauli ya uongo ukisemwa sana, na kuachwa na kurudiwa rudiwa, bila kukanushwa, sio kuwa unaweza kuonekana kama ni ukweli, bali uongo huo unaweza kabisa kugeuka kuwa ni ukweli wenyewe, kwa sababu kauli nyingine zina uwezo wa kuumba, hivyo ukitunga uongo, ukausema huo uongo, usipokanshwa kuwa ni uongo, unageuka ni ukweli.

Hili Jarida la The Economist, limekuwa na kawaida ya kila siku kutunga uongo juu ya Tanzania, kumtukana rais wetu kwa majina ya ajabu ajabu na kumsingizia maneno ya uongo, mfano hai ni katika toleo lake la leo, Jarida hili limeibuka na kichwa cha habari hiki kuhusu Tanzania.

A dose of bull Tanzania’s leader, the “Bulldozer”, runs off course
President John Magufuli hates critics, gay people and accurate statistics
Wanamuta rais wetu kuwa ni Bulldozer, wadai anawachukia wakosoaji, hivi ni kweli rais Magufuli ana chuki na wakosoaji?, hivi kuna mtu alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali kama Dr. Slaa?. Huku kwenye mitandao ya Kijamii, kuna mtu alikuwa mkosoaji mkubwa kama Prof. Kitila Mkumbo?. Kwa sasa kuna mtu anaikosoa serikali kama Zitto Zuberi Kabwe?, Jee rais Magufuli anamchukia Zitto?.

Kuhusu ukosoaji, ingekuwa sikuwepo nimefanya kuhadithiwa, ningeweza kuamini, lakini kwa bahati nzuri, mimi mwenyewe ni shahidi, nilikuwepo ikulu siku rais Magufuli anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini, alisema wazi kuwa hachukii kukosolewa, bali ukosoaji huo ufanywe kwa nia njema na kwa lugha ya staha, tena akasisitiza anapenda challenge, sasa hii chuki ya rais Magufuli kuchukia kukosolewa ni chuki ipi hii?.

Hata swali langu mimi nililomuuliza ni swali la ukosoaji, lakini alijibu kwa kichoko na hata kuingizia utani wa maana ya jina langu, sasa hizi chuki za kukosolewa ni chuki zipi hawa The Economist, wanaozizungumzia?

Katika toleo hili limekuja na kubwa ya mwaka, sio tuu kumsingizia Rais Magufuli kuwa ametamka kufuta vyama vingi, na kuiresha Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja ifikapo mwaka 2020, bali pia wamemnukuu na kumlisha maneno kwa quotation kuuaminisha ulimwengu kuwa maneno hayo ni kweli rais Magufuli ametamka Mr Magufuli, says, is “determined that by 2020 there will be no political opposition in Tanzania. Essentially he wants to return it to one-party rule as it was before 1992",

Japo mimi sio mfutiliaji wa karibu wa kila hotuba za rais Magufuli, lakini ni msomaji mzuri wa kila kinachoandikwa kuhusu nchi yetu na kumhusu rais wetu, hivyo sikumbuki kuwahi kumsikia maneno haya ya The Economist, aliyatamka lini na wapi?.

Kama kuna mtu yoyote aliwahi kumsikia Rais Magufuli akisema atafuta vyama vingi, mwisho ni 2020, naomba anisaidie.

Kama huu ni uwongo mwingine wa Jarida hili la The Economist, kama kawaida yao na mauongo kuhusu nchi yetu Tanzania na Rais wetu Magufuli, lazima tufike mahali sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali, rais wetu anatukanwa, tunakaa kimya, nchi yetu inatukanwa, tunakaa kimya, uwongo kama huu utakuja kugeuka ukweli.

Hebu Jisomee Mwenyewe kwanza, halafu mimi nikakusaidia kukuonyesha mauongo yao.

Paskali
A dose of bullTanzania’s leader, the “Bulldozer”, runs off course
President John Magufuli hates critics, gay people and accurate statistics
View attachment 1046773

Print edition | Middle East and Africa

Sasa Nakuletea Mauongo yao ni number formarts.
Paskali
Pascal kwani c kweli kuwa Magufuli hakusema?? hataki vyama vya upinzani na mwisho wao ni 2020.
 
miwani ya maisha

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
1,739
2,000
Mayalla ni mpuuzi kuliko anavyojifikiria.......njaa inamfanya aongee upumbavu uliopitiliza.
Dr. Slaa aliwahi kumkosoa rais Magufuli kivipi,wapi na lini?
Pro. Mkumbo naye alikuwa mkoasaji ya serikali ya Magufuli lini?
Zitto Kabwe amebambikiziwa kesi ngapi mpaka bunge limetunga sheria ya takwimu ili kumdhibiti Zitto?

Mayalla jitathimini kabla hujabwabwaja humu mitandaoni maana tukikujibu itaonekana kama vile tuna chuki na wewe kwa sababu ya mtaka wako
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
32,918
2,000
Mkuu Paskali tunakushukuru sana kwa kuyaumbua hayo mabeberu ya ze ikonomisti,
Ki ukweli kabisa haya mabeberu yamezidi kumsingizia uongo raisi wetu mtukufu,
Yaani tokea raisi wetu alivyoyazibia mianya ya kuendelea kuinyonya nchi yetu basi hasira zao wamegeuzia kwenye kumsingizia kipenzi chetu, raisi wa wanyonge asiekubali ufisadi na wizi katika taifa letu.
manengelo njoo ujionee mwenyewe leo jinsi Paskali anavyo yashushua mabeberu ya ze ikonomisti.

Maendeleo hayana chama

😂😂😂😂😂😂 nimesoma huku nacheka sana jaman
 
mwimbule

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
580
500
Maongo sana hayo maEconomist, Rais wetu mtukufu,mtakatifu,mungu mtu na kiongozi wa malaika hajawahi sema atavifuta vyama vya siasa ila alisema kufikikia 2020 atahakikisha hakuna vyama vya upinzani Tanzania........sasa hatujui atatumia njia gani ila tunaona VIONGOZI WA UPINZANI WAKIPIGWA RISASI,WENGINE MAGEREZANI MIEZI MITATU ETI WAMEKWEPA DHAMANA,WENGINE WANAUAWA,WENGINE WANAPOTEA WENGINE WANATEKWA, MaEconomist yaache uongo kwani kufanya hivyo ni kufuta vyama vya upinzani
CCM OYEEE
MAENDELEO HAYANA CHAMA.

DUUUU, nimependa maneno yako kwa kiongozi wetu,,kwamba ni Raisi wetu mtukufu, mtakatifu,Mungu mtu na Kiongozi wa ,,MALAIKA,, Hapa umemaliza kila kitu,,kwa sifa hizi ulizompa ni kweli hastahili kuwa na upinzani kwa sababu yeye mtakatifu hawezi kukosea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom