ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,850
Nchi hii imeangamia tokea baba yatu aliposema anao uwezo wa kumpiku kiongozi wa Malaika mbinguni, Gabriel, na viongozi wa dini hawajampinga juu ya hili!
Mnasema wanasema uongo bila kuainisha uongo wao.Pascal, hawa jamaa tatizo lao ni kupokea kitu{ habari} pasipo kuifanyia UTAFITI.
Kuna wakati wanaandika mambo mazuri na kuna wakati WANABORONGA kwa manufaa wanaojua wao wenyewe na ma bwana wao.
Kumbuka waandishi wa gazeti hilo 75% wako Uingereza not real on the ground.
Hivyo basi wanaandika kile WANACHOPELEKEWA waandike!
Unless MHARIRI mkuu Ms {Susan} Zanny Minton Beddoes ABADILIKE bado watazidi kuandika MAUONGO!
Jambo la kufanya ni ku ignore uongo wao na kuchukua yaliyo POSITIVE kwetu.
Wanabodi,
Hili Jarida la The Economist, kama kawaida yake, kila likiandika kuhusu Tanzania, kwanza lazima limtukane rais wetu, pili lazima litunge vitu vya uongo kuhusu Tanzania, tatu lazima litunge uongo kumsingizia Rais Magufuli jambo lolote na kutangazia ulimwengu.
Katika toleo lake la leo Machi 16, limekuja na kubwa ya mwaka, sio tuu kumsingizia Rais Magufuli kuwa ametamka kufuta vyama vingi, na kuiresha Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja ifikapo mwaka 2020, bali pia wamemnukuu na kumlisha maneno kwa quotation kuuaminisha ulimwengu kuwa maneno hayo ni kweli rais Magufuli ameyasema.
Japo mimi sio mfutiliaji wa karibu wa kila hotuba za rais Magufuli, lakini ni msomaji mzuri wa kila kinachoandikwa kuhusu nchi yetu na kumhusu rais wetu, hivyo sikumbuki kuwahi kumsikia maneno haya ya The Economist, aliyatamka lini na wapi?.
Kama kuna mtu yoyote aliwahi kumsikia Rais Magufuli akisema atafuta vyama vingi, mwisho ni 2020, naomba anisaidie.
Kama huu ni uwongo mwingine wa Jarida hili la The Economist, kama kawaida yao na mauongo kuhusu nchi yetu Tanzania na Rais wetu Magufuli, lazima tufike mahali sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali, rais wetu anatukanwa, tunakaa kimya, nchi yetu inatukanwa, tunakaa kimya
P anauma na kupulizaP bana yeye na The Economist tu.....litakutoa !!! Hongera kutuamsha
Kwani wanadanganya???Wanabodi,
nimeishawahi kusema sana humu, na sasa narudia tena, kuwa "Kauli Huumba". Kauli ya uongo ukisemwa sana, na kuachwa na kurudiwa rudiwa, bila kukanushwa, sio kuwa unaweza kuonekana kama ni ukweli, bali uongo huo unaweza kabisa kugeuka kuwa ni ukweli wenyewe, kwa sababu kauli nyingine zina uwezo wa kuumba, hivyo ukitunga uongo, ukausema huo uongo, usipokanshwa kuwa ni uongo, unageuka ni ukweli.
Hili Jarida la The Economist, limekuwa na kawaida ya kila siku kutunga uongo juu ya Tanzania, kumtukana rais wetu kwa majina ya ajabu ajabu na kumsingizia maneno ya uongo, mfano hai ni katika toleo lake la leo, Jarida hili limeibuka na kichwa cha habari hiki kuhusu Tanzania.
A dose of bull Tanzania’s leader, the “Bulldozer”, runs off course
President John Magufuli hates critics, gay people and accurate statistics
Wanamuta rais wetu kuwa ni Bulldozer, wadai anawachukia wakosoaji, hivi ni kweli rais Magufuli ana chuki na wakosoaji?, hivi kuna mtu alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali kama Dr. Slaa?. Huku kwenye mitandao ya Kijamii, kuna mtu alikuwa mkosoaji mkubwa kama Prof. Kitila Mkumbo?. Kwa sasa kuna mtu anaikosoa serikali kama Zitto Zuberi Kabwe?, Jee rais Magufuli anamchukia Zitto?.
Kuhusu ukosoaji, ingekuwa sikuwepo nimefanya kuhadithiwa, ningeweza kuamini, lakini kwa bahati nzuri, mimi mwenyewe ni shahidi, nilikuwepo ikulu siku rais Magufuli anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini, alisema wazi kuwa hachukii kukosolewa, bali ukosoaji huo ufanywe kwa nia njema na kwa lugha ya staha, tena akasisitiza anapenda challenge, sasa hii chuki ya rais Magufuli kuchukia kukosolewa ni chuki ipi hii?.
Hata swali langu mimi nililomuuliza ni swali la ukosoaji, lakini alijibu kwa kichoko na hata kuingizia utani wa maana ya jina langu, sasa hizi chuki za kukosolewa ni chuki zipi hawa The Economist, wanaozizungumzia?
Katika toleo hili limekuja na kubwa ya mwaka, sio tuu kumsingizia Rais Magufuli kuwa ametamka kufuta vyama vingi, na kuiresha Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja ifikapo mwaka 2020, bali pia wamemnukuu na kumlisha maneno kwa quotation kuuaminisha ulimwengu kuwa maneno hayo ni kweli rais Magufuli ametamka Mr Magufuli, says, is “determined that by 2020 there will be no political opposition in Tanzania. Essentially he wants to return it to one-party rule as it was before 1992",
Japo mimi sio mfutiliaji wa karibu wa kila hotuba za rais Magufuli, lakini ni msomaji mzuri wa kila kinachoandikwa kuhusu nchi yetu na kumhusu rais wetu, hivyo sikumbuki kuwahi kumsikia maneno haya ya The Economist, aliyatamka lini na wapi?.
Kama kuna mtu yoyote aliwahi kumsikia Rais Magufuli akisema atafuta vyama vingi, mwisho ni 2020, naomba anisaidie.
Kama huu ni uwongo mwingine wa Jarida hili la The Economist, kama kawaida yao na mauongo kuhusu nchi yetu Tanzania na Rais wetu Magufuli, lazima tufike mahali sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali, rais wetu anatukanwa, tunakaa kimya, nchi yetu inatukanwa, tunakaa kimya, uwongo kama huu utakuja kugeuka ukweli.
Hebu Jisomee Mwenyewe kwanza, halafu mimi nikakusaidia kukuonyesha mauongo yao.
Paskali
A dose of bullTanzania’s leader, the “Bulldozer”, runs off course

View attachment 1046773
Print edition | Middle East and Africa
Sasa Nakuletea Mauongo yao ni number formarts.
Paskali
Mwakilishi wa Ligazeti ilo ni Zitto Kabwe na anayeandika hayo ni Zitto KabweWanabodi,

Pascal kwani c kweli kuwa Magufuli hakusema?? hataki vyama vya upinzani na mwisho wao ni 2020.Wanabodi,

Mkuu Paskali tunakushukuru sana kwa kuyaumbua hayo mabeberu ya ze ikonomisti,
Ki ukweli kabisa haya mabeberu yamezidi kumsingizia uongo raisi wetu mtukufu,
Yaani tokea raisi wetu alivyoyazibia mianya ya kuendelea kuinyonya nchi yetu basi hasira zao wamegeuzia kwenye kumsingizia kipenzi chetu, raisi wa wanyonge asiekubali ufisadi na wizi katika taifa letu.
manengelo njoo ujionee mwenyewe leo jinsi Paskali anavyo yashushua mabeberu ya ze ikonomisti.
Maendeleo hayana chama
Maongo sana hayo maEconomist, Rais wetu mtukufu,mtakatifu,mungu mtu na kiongozi wa malaika hajawahi sema atavifuta vyama vya siasa ila alisema kufikikia 2020 atahakikisha hakuna vyama vya upinzani Tanzania........sasa hatujui atatumia njia gani ila tunaona VIONGOZI WA UPINZANI WAKIPIGWA RISASI,WENGINE MAGEREZANI MIEZI MITATU ETI WAMEKWEPA DHAMANA,WENGINE WANAUAWA,WENGINE WANAPOTEA WENGINE WANATEKWA, MaEconomist yaache uongo kwani kufanya hivyo ni kufuta vyama vya upinzani
CCM OYEEE
MAENDELEO HAYANA CHAMA.
Haya mabeberu ya ze ikonomisti yatakua yanawashwawashwa tu, maana kila kukichwa kazi yao ni kumzulia uongo raisi wetu kipenzi.nimesoma huku nacheka sana jaman