Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
haya maswali nayachukia kweli.
sasa hili swali gani?
2005 nilimnyima kura. 2010 nikamnyima kura.
sasa unataka nikujibu nini?
Kwa nini kuzunguka mbali wakati ukweli unajulikana?! Leo wamefikia kusema kuwa Rostam Azizi ana power of Attorney ya Dowans. Pamoja na kukana kote kuwa hawausiki na wizi mkubwa sana uliowahi na unaoendelea kutokea Tanzania (huku watanzania wakikubali tu), marafiki watatu wanaomiliki kila kitu kinachoendelea Tanzania leo hii - Kikwete, Lowassa, Rostam - wameanza (finally) kukubali kuwa wanahusika.
Kikwete hawezi kuwakana tena marafiki zake wakubwa waliomsaidia kunyakua ikulu 2005. Heck, kuna picha ya Kikwete akimpigia kampeni Lowassa wakati wa uchaguzi. Anajaribu sana kujitenga nao ila inakuwa vigumu sana (maana ushirika wao una faida kuliko utengano wao).
Hayo mabilioni tutakayolipa kesho kwenda kwa Dowans. Yatafuata mkondo wake taratibu na kuishia kwa mapatna waliosalia - Kikwete na Lowassa.
JF - where we dare to talk openly
Thanks David. This of course is an open secret but people talk about it in whispers. It is not an accident that this judgement on Dowans (some coined it appropriately as NDOANO) came right after the elections.
How do you think they raised the shs 50 billion odd campaign money?:embarrassed:
Wanaohusika mbona walitajwa kwenye ripoti ya Mwakyembe bungeni?
Kamati ya bunge (kina zitto) pia imewataja wahusika wa mchezo huo?
Haya mambo ya richmond/doawns mbona serkali inaamua kuzungusha ili tusijadili mambo mengine nyeti? au?
Kwani kuna ubishi kuhusu kuhusika kwa JK? Ndiyo kwanza nasikia kuna watu wana wasiwasi na hilo
Issue ya umeme kukatika nchi nzima miaka 49 baada ya uhuru ni issue nyeti sana. Unyeti wake unaongezeka maradufu kila mara watawala wetu wanavyotumia mgogoro (walioutengeneza wao) wa umeme kutuibia.
Au wewe waonaje?
Nafikiri tatizo la Tanesco lilikuwa la mkurugenzi mkuu (mtendaji mkuu) wa zamani...Idris Rashidi?
Vipi Tena tatizo la mkurugenzi mkuu William Mhando ligeuke kuwa JK?
Wakati alipokuwepo Idrisa lilikuwa la Idrisa? alipokuwepo William linageuka linakuwa la JK
Double standards at its highest...ndio yale yale mijadala inaishia kuwa ...ya kidini
Huyu William Mhando vipi? sisikie mkisema lolote...hodari sana mtu huyu au siyo?
Nyie bana mnaboa sana!
Kwa nini kuzunguka mbali wakati ukweli unajulikana?! Leo wamefikia kusema kuwa Rostam Azizi ana power of Attorney ya Dowans. Pamoja na kukana kote kuwa hawausiki na wizi mkubwa sana uliowahi na unaoendelea kutokea Tanzania (huku watanzania wakikubali tu), marafiki watatu wanaomiliki kila kitu kinachoendelea Tanzania leo hii - Kikwete, Lowassa, Rostam - wameanza (finally) kukubali kuwa wanahusika.
Kikwete hawezi kuwakana tena marafiki zake wakubwa waliomsaidia kunyakua ikulu 2005. Heck, kuna picha ya Kikwete akimpigia kampeni Lowassa wakati wa uchaguzi. Anajaribu sana kujitenga nao ila inakuwa vigumu sana (maana ushirika wao una faida kuliko utengano wao).
Hayo mabilioni tutakayolipa kesho kwenda kwa Dowans. Yatafuata mkondo wake taratibu na kuishia kwa mapatna waliosalia - Kikwete na Lowassa.
JF - where we dare to talk openly
Nafikiri tatizo la Tanesco lilikuwa la mkurugenzi mkuu (mtendaji mkuu) wa zamani...Idris Rashidi?
Vipi Tena tatizo la mkurugenzi mkuu William Mhando ligeuke kuwa JK?
Wakati alipokuwepo Idrisa lilikuwa la Idrisa? alipokuwepo William linageuka linakuwa la JK
Double standards at its highest...ndio yale yale mijadala inaishia kuwa ...ya kidini
Huyu William Mhando vipi? sisikie mkisema lolote...hodari sana mtu huyu au siyo?
Nyie bana mnaboa sana!
Crapist how r U?Nafikiri tatizo la Tanesco lilikuwa la mkurugenzi mkuu (mtendaji mkuu) wa zamani...Idris Rashidi?
Vipi Tena tatizo la mkurugenzi mkuu William Mhando ligeuke kuwa JK?
Wakati alipokuwepo Idrisa lilikuwa la Idrisa? alipokuwepo William linageuka linakuwa la JK
Double standards at its highest...ndio yale yale mijadala inaishia kuwa ...ya kidini
Huyu William Mhando vipi? sisikie mkisema lolote...hodari sana mtu huyu au siyo?
Nyie bana mnaboa sana!
Kaka I hate mwakyembe (uncle wangu FYI) , I hate sita, kilango wanafiki sana, na sikubaliani na Slaa kwa issue nyingi in CDM, mimi ni mkristo tena wa kutupwa, hawa watu siwachukuii kwa sababu yoyote ile bali politics! siyo udini mkuu...
nilikuwa sikujui vizuri, kama una ideas za kidini hapa siyo pake!!! umeshindwa. umeniharibia siku yangu, kumbe unampenda JK kwa sababu ya dini
Nimeku devalue na moja kwa moja unaingia kwenye ignore list yangu