The disc in drive D is not formatted!!!!!!!!!!!

Straight corner

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
385
132
Wana JF, kama thread hii ilivyo, flash yangu haifunguki ila inatoa alert kuwa " The disc in drive D is not formatted, Do you want to format it now? nimestuka kwani najua risk ya kuformat ni kupoteza data zote!Tafadhali wanaJF, naomba mniokoleeni data zangu, nifanyeje?
Nawasilisha.
 
Mimi niliwahi kupata shida hii mara nyingi kwenye flash zangu na nimejaribu bila ujanja kufungua nikashindwa. Siku zote nimeishia kupoteza dataz maana ilinilazimu kuformat.
Sasa kama hakuna mtu mwingine mwenye ujanja zaidi wewe format alafu jaribu ku recover kwa recoveries softwares. Ila sio grantee kwamba ni lazima utapata datas zako. Kuna kupata au kutopata.
 
Pole sana na asante kwa mchango wako! Naombeni hizi recovery softwares wakuu kama mnazo!
 
Zipo link nadhani endelea kupitia kwenye maeneo haya utakutana nazo mkuu. Ni nyingi hakuna mfano!
 
Ujanja huwa nimdogo sana but if your in a mixed mode meaning windows and linux iweke kwenye linux hiyo flash then utaweza kutoa data zako kisha formati hiyo flash and u will manage to use it in any machine....sijui kama nimekusaidia
and most of the time is caused by a virus....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom