Unatuingiza chaka wewe. Toyota Hilux wanazouza Toyota kwa sasa zina manual transmissions, sasa kama unadhani kwamba D4 ni mfumo wa transmission hautakuwa sahihi. D4 ni mfumo mpya wa injini ambazo zimeboreshwa kwenye fuel consumption (ulaji wa mafuta) na efficiency (ufanisi).D4 Engines?
Hiyo literature yako TUPA KULE. D4 kwa ninavyojua mimi inahusiana na maswala ya transmission. Yani gearbox has hasa ya auto. Kuna gearbox zenye gear tatu pamoja na gear ya nne ya ziada ambayo inaitwa overdrive. in total making it four gears.
But gari ambazo ni D4 ina maana zina gearbox zenye gear nne ambazo ni maini na gia ya nyongeza ambayo inaitwa overdrive making it with a total of five gers. Unapozungumzia suala la VVT hapo sasa ndio unazungumzia suala la kwenye engine. Go and re check your study...
Hio ndio kazi ya brevis katika matumizi ya kilichopo ndani ya wallet. Hilo halina tiba bali ni kukubaliana na hali tu!wakuu, one of the best of the best thread, nimejifunza mengi sana maana napenda sana haya masuala ya tech. na umeme in general..kuna nshkaji mmoja amepost apo juu issue ya mafuta yakiisha in D4 engine kuna wakati gari inaweza kumiss au kukataa kuwaka, jana exactly that hapened to me! i have brevis Ai250 na ilikua iko empty, nikaweka wese la 40, nimeenda kupaki, nawasha ngoma inagoma, fundi kuja akachomoa mawaya flani pale kwenye engine na kuchomeka, gari ikawaka! now what coulod be the problem? halafu wazee hii kitu inakula wese acha, any maujuzi on what to do ili niweze ku preserve kidogo ni save fuel? appreciated guys..
Kiongozi hata mimi nimekuwa muoga na hizi engine za D4,binafsi kinachoniogopesha ni ukubwa wa cc ukilinganisha na zile za vvti. Watu wanasema usiogope ukubwa wa samaki, muhimu uliza bei,sasa kwa matumizi ya mafuta ikoje sio maumivu?
Mkuu sikujua engine ya 3S kama iko bomba, ninayo carina ambayo inatumia hiyo injini na kuna jamaa aliingalia akasema inatumia distributor. Nipe nondo pia kuhusu hizi subaru forester new model, nimetokea kuvutiwa nazoMKuuu hapo bira kujiuluza sanaaa engine ya 3s ndio mpango mzima hapo na ukiniuluza ni engine ya 3s aina gani bila shaka nitakwambia ya 3s distributer coz huwa inakuwa na nguvu sana.
tena pata ya 3s distributer ya uingereza utafurahia.
au kama utaweza hapo tafuta ya 3s ge inayofungwa kwenye celica za mashindano.
then tupeane dili la kuifanyia wiring fundi umeme nipo hapa 0717228064.
mm nipo dar ila hata mkoa mpaka nje ya tz nafika tukikubaliana tuu.
1g fe ni engine codeNaomba kuuliza tofauti kati ya hii inaitwa 1G-FE Engine na Vvti,
kwamba vvti zina code ya 1G hapana hujajua mkuuKiongozi kila aina ya engine ina code yake.
Mfano,
Engine za vvti ndio zinakuwa na code ya 1G na cc zake zinakuwa mara nyingi hazizidi 2000
Angalia verrosa.
Engine za d4 zinakuwa na code ya JZ1 au 2,
Zenye 1Jz huwa na cc 2400
Zenye 2jz huwa na cc 2900
Angalia brevis na verrosa.
Engine nyengine zina code ya ya 3s,1az.
Ishu inakuja kwa mafundi wetu wa Kibongo ukimwambia akupe hizo tofauti inakuwa shida na ukitaka ushauri kutoka kwake atakwambia nunua 1G iwe kavu. Utaijuaje kavu, angalia bamba la nyuma utaona taa zake hazijaungana na buti. Basi inakuwa tafrani tu.
kuna d4 na d4dUnatuingiza chaka wewe. Toyota Hilux wanazouza Toyota kwa sasa zina manual transmissions, sasa kama unadhani kwamba D4 ni mfumo wa transmission hautakuwa sahihi. D4 ni mfumo mpya wa injini ambazo zimeboreshwa kwenye fuel consumption (ulaji wa mafuta) na efficiency (ufanisi).
Ivi kuna Premio D4S-VVTI?Binafsi ninavyofahamu, engine nyingi kama sio zote za Toyota za kuanzia 1997 kuendelea ni VVTi, weather ni D4 au sio D4. Za kabla ya hapo zilikua only VVT. So the letter 'i' added stands for vvt with intelligence, or simply intelligent. Kwamba engine inaweza kutengeneza variation ya air and fuel intake kwa mahitaji tofauti tofauti ya engine, tofauti na vvt ambapo variation zilikua fixed muda wote.
D4 ni kwenye fuel injection kama wengi walivyosema. Ila D4 engine bado ni vvti pia, sema yenyewe ina direct fuel enjection. Kiukweli D4 ziko poa tu, actually zina advantages nyingi kuliko zisizo na direct fuel injection (port injection delivery) ila utafiti unaonesha D4 engine nyingi zina matatizo ya reliability hasa kwa nchi zenye baridi kali huwa inasumbua kuwaka at times, ina kelele za engine saana ikiwa silent na wakati mwingine inapoteza nguvu hasa ukiwa kwenye mwendo mdogo, ndio utasikia yale maneno kuwa engine bado haijachanganya vizuri. N chanzo kikubwa ni kwamba huwa inajaza carbon kwenye intake valves.
Lengo la hiyo teknologia ilikua kuboresha utumiaji wa mafuta, na kupunguza emission, but ukilinganisha na engine nyingine za Toyota, D4 zimeprove less reliable especially kama hauko makini saana hasa kwa kuweka mafuta yaliyochakachuliwa. Na problems za D4 engines huwa zinahitaji higher maintenance and repair costs kuliko engines zingine. Toyota wamelikubali hilo tatizo, na sasa hivi wame fix problems za d4 kwa kutengeneza engine nyingine wanaita D-4S.
Hi D-4S in advantages za both engines, so ukipata hii ni bora zaidi kuliko ile D4 ya kawaida.
Kama ni Corona Premio, zilikua na D4 pekee, sio D4S. Sio VVTi lakiniIvi kuna Premio D4S-VVTI?
Nikitaka kujua hyo timing chain imekwisha nini kitanionyesha?Sio kila Gari ina timing belt.
Kuna baadhi ya Magari yana timing chain na mengine yana timing gear.
Hayo ya timing belt ndio huwa yanaandikwa 100,000 km kabla ya kubadilisha.
Yale ya timing chain na gear huwa hayaandikwi chochote zaidi ya normal check wakati wa service au ikiisha check ingine light itakuonesha.
Ooh asante Mungu, chupuchupu ninunue hz gari now nadunda zangu na wish sina pressureHio ndio kazi ya brevis katika matumizi ya kilichopo ndani ya wallet. Hilo halina tiba bali ni kukubaliana na hali tu!
D4(Petrol), D4D(Diesel Engine)kuna d4 na d4d
Kiongozi kila aina ya engine ina code yake.
Mfano,
Engine za vvti ndio zinakuwa na code ya 1G na cc zake zinakuwa mara nyingi hazizidi 2000
Angalia verrosa.
Engine za d4 zinakuwa na code ya JZ1 au 2,
Zenye 1Jz huwa na cc 2400
Zenye 2jz huwa na cc 2900
Angalia brevis na verrosa.
Engine nyengine zina code ya ya 3s,1az.
Ishu inakuja kwa mafundi wetu wa Kibongo ukimwambia akupe hizo tofauti inakuwa shida na ukitaka ushauri kutoka kwake atakwambia nunua 1G iwe kavu. Utaijuaje kavu, angalia bamba la nyuma utaona taa zake hazijaungana na buti. Basi inakuwa tafrani tu.
Inawezekana kufanya hivyo ila kuna mambo yakuzingatia kabla yakubadilisha engine.Hivi , Huwezi Kutoa engine ya 2000Cc ukafunga ndogo? Just nafikiria kwa wale wataalam wa hizi mambo
1g vvt na 1g vvtiNaomba kuuliza tofauti kati ya hii inaitwa 1G-FE Engine na Vvti,