The Devil's Advocate!!

The Devil's Advocate!!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,551
Reaction score
28,516
1766731492972.png

Kwamba huyu ndiye Spika wa Bunge la Tanzania, basi tumekwisha.
Bunge litakuwa mwangwi tu wa kile serikali ya Mama Samia inataka.
Bunge halijalaani matukio ya mauaji ya Oktoba 29.

Huyu Azzan Musa Zungu atakuwa mtetezi tu wa mapungufu na maovu yote ya serikali katika Bunge ambalo wawakilishi wa wananchi, wengi wa hao wabunge ni wale vilaza tu (baba Levo et al)
Naomaba kumuwakilisha kwenu Azzan Musa Zungu-The Devils Advocate!
 
Hili bunge hata kama lisingekuwepo kabisa kabisa hakuna tofauti yoyote.

Pale sasa wapo ndugu, jamaa, marafiki wa genge la Samia kupiga pesa sio kusimamia chochote kwa niaba ya Watanzania.
 
Serikali haramu mnajadili vipi bunge kuwa harari? Ama ipo siku ukategemea kuvuna mpunga kwenye shamba la mahindi?

To hell
 
View attachment 3520852

Kwamba huyu ndiye Spika wa Bunge la Tanzania, basi tumekwisha.
Bunge litakuwa mwangwi tu wa kile serikali ya Mama Samia inataka.
Bunge halijalaani matukio ya mauaji ya Oktoba 29.

Huyu Azzan Musa Zungu atakuwa mtetezi tu wa mapungufu na maovu yote ya serikali katika Bunge ambalo wawakilishi wa wananchi, wengi wa hao wabunge ni wale vilaza tu (baba Levo et al)
Naomaba kumuwakilisha kwenu Azzan Musa Zungu-The Devils Advocate!
Litalaani vipi matukio yenye sura ya uasi dhidi ya serikali na dola kwa ujumla?.

Litalaani vipi jaribio lililozimwa la kuipindua serikali ambayo bunge ni sehemu yake muhimu?.

Wanaharakati mna taabu sana, vipi kwa mfano wale wahuni wangeweza kuiangusha serikali wewe mleta mada ungeandika kwa namna ya kutia huruma yenye kufanana na hii mada yako?.
 
Wewe uko kati ya wale wajinga 98%, unajighushi mwenyewe!
 
View attachment 3520852

Kwamba huyu ndiye Spika wa Bunge la Tanzania, basi tumekwisha.
Bunge litakuwa mwangwi tu wa kile serikali ya Mama Samia inataka.
Bunge halijalaani matukio ya mauaji ya Oktoba 29.

Huyu Azzan Musa Zungu atakuwa mtetezi tu wa mapungufu na maovu yote ya serikali katika Bunge ambalo wawakilishi wa wananchi, wengi wa hao wabunge ni wale vilaza tu (baba Levo et al)
Naomaba kumuwakilisha kwenu Azzan Musa Zungu-The Devils Advocate!
 
View attachment 3520852

Kwamba huyu ndiye Spika wa Bunge la Tanzania, basi tumekwisha.
Bunge litakuwa mwangwi tu wa kile serikali ya Mama Samia inataka.
Bunge halijalaani matukio ya mauaji ya Oktoba 29.

Huyu Azzan Musa Zungu atakuwa mtetezi tu wa mapungufu na maovu yote ya serikali katika Bunge ambalo wawakilishi wa wananchi, wengi wa hao wabunge ni wale vilaza tu (baba Levo et al)
Naomaba kumuwakilisha kwenu Azzan Musa Zungu-The Devils Advocate!
Wauza madawa ya kulevya wamemuweka mtu wao
 
Back
Top Bottom