The Devil's Advocate!!

The Devil's Advocate!!

Wewe unajulikana kama mtu wa kutoka kambini, chochote ukisgizwa ubafabya, hata kuua watoto wa jirani zako.
Sasa mmempata the Devils Adocate-Zungu,
Devil mwenyewe katulia anakula urojo.
Katiba mpya lazima tutaipata ndani ya miaka hii mitano hakuna sababu ya kuiingiza nchi kwenye machafuko.

Tatizo Gen Z watoto wa 2000 wanakuja na akili za kitoto kwenye masuala nyeti ya kiuongozi, kwamba tutaandamana mpaka Samia atoke ikulu, labda muandamane humu JF na instagram mkitoa pua huko barabarani mtazikwa mkiwa bado watoto wadogo sana, nchi haiendeshwi kwa presha za kipuuzi.

Tanzania haiendeshwi kwa matamko na mikwara ya instagram, ukijifanya mjuaji wakati Rais SSH kashika mpini sisi tumeshika makali tutakaoumia ni sisi.
 
Mkuu umeshiriki kuteka wangapi?
Polepole yuko wapi?
Mmehesabu hata kura zilizochomwa moto!
Unafikiri GnZ hawana akili?
 
Mkuu umeshiriki kuteka wangapi?
Polepole yuko wapi?
Mmehesabu hata kura zilizochomwa moto!
Unafikiri GnZ hawana akili?
Sijateka hata mmoja, nchi lazima iwe na adabu. Gen Z wamefundishwa heshima haiwezekani mkapewa kila mnachotaka tena ndani ya muda mnaoutaka.

Polepole kamtafute nyumbani kwake.
 
Juzi Jaji Warioba aka Babu Warioba aliongea vizuri sana.
Bunge na Mahakama hazipaswi kutembea na Rais kwenye zinduzi.
 
View attachment 3520852

Kwamba huyu ndiye Spika wa Bunge la Tanzania, basi tumekwisha.
Bunge litakuwa mwangwi tu wa kile serikali ya Mama Samia inataka.
Bunge halijalaani matukio ya mauaji ya Oktoba 29.

Huyu Azzan Musa Zungu atakuwa mtetezi tu wa mapungufu na maovu yote ya serikali katika Bunge ambalo wawakilishi wa wananchi, wengi wa hao wabunge ni wale vilaza tu (baba Levo et al)
Naomaba kumuwakilisha kwenu Azzan Musa Zungu-The Devils Advocate!
Huyo ni muuaji kama wenzake waliomuweka hapo
 
Back
Top Bottom