The Death of Prof. Malima 1995

Status
Not open for further replies.
Gombesugu naona umejikakamua kuonyesha una ufahamu kuduchu ingawa nashindwa nikusaidie vipi kwa kuwa point zako ziko ndivyo sivyo na shaghala baghala kiasi kwamba nashindwa kukuelewa ulitaka kuongelea kitu gani?But kiufupi aha nikuambie tu kuwa babu na bibi zetu walikuwa na utashi wao,sio kwamba kwa kuwa walishindwa kuweka maandiko basi walikua hawajui wafanyalo la hasha, vinginevyo mimi na wewe na yule leo tusingekuwepo hapa duniani....linapokuja suala la dini kubali au ukatae ni kwamba limemvuruga kabisa mtu mweusi kiasi kwamba anashindwa hata kujitambua na kupelekea hata kuchukiana na kuuana wenyewe kwa wenyewe kwa imani tu za kidini tena kwa dini ya muarabu au myahudi/muisraeli ambao hao mitume na miungu ilikuwa ya kwao.
 


Si uwalete hao jamaa zako??

kwan mjadala hawauoni huu??

kwanin wanashindwa kuingia humu??

waingie tuwalipue,unacheza na vijana wa madrasa??

mziki wetu wanaujua sana hao jamaa zako
 
Moh Said na waislamu wengine ingependeza kama wangesoma alichosema mwanazuoni wa kiislamu.

Sasa Mkuu,

Hivi wewe binafsi au Taifa lako linafaidika vipi na huo ujumbe wa matusi na hoja dhaifu,unaotaka hao walengwa wausome!? Hivi unafahamu hizo ni mojawapo ya zile Jewish Lobby Propagandist!?

Wewe unafahamu source/s ya uharo huo lakini Mkuu!?...unafahamu nani alieandika na kusaidia kuusambaza,na madhumuni yao!? Daah!

Hivi mnafahamu kinachoendelea kiundani pale South Sudan!? Au bado ile myth ilobuniwa ya kwamba ilikua ni vita baina ya ati "Wakristo" na Waislam mlokaririshwa haijakutokeni, jamani!? Daah!

Sasa nanyi Watanzania endeleeni tu kucheza "ngoma" msoijua na mtakiona "cha mtema kuni" soon!...nilishayasema haya kitambo kingi,ndo leo narejea tu kiduchu!...si unafahamu yakua nanyi pia hivi sasa mna Oil na Gas,Mkuu!?

Sasa mbona hatujaona "mtu mweusi" wa aina yoyote mle kutajwa/kusifiwa,kwenye ile post ya kashfa na matusi aloleta huyo Mwita Ke Mwita!?...ambayo nawe yaeleka umeipenda mno Daah!

Au nyinyi magalatia kwa akili zenu za Sunday Schools...yaani yakutosheni tu pale right wing Jews,Zionists and/or White Supremacists,wakichajisifia kwa zile interests zao za kinyama...basi nyinyi inakutosheni kubeba mabango/slogans na kuanza/kuendeleza kuwachafua watu weusi/Waafrika wenzenu!?

Jamani,hivi hii mental Slavery itakuondokeni lini ndani ya hayo mabichwa yenu mabovu yalojaa funza nyinyi Waafrika,jamani!? Teeh! Teeh! Teeh!

Salaam zao!

Ahsanta.
 
Teh teh teh!
Uuuuuwi! Sharif umenifanya nimwage chai kwa kucheka!
Mkuu kahtaan.

Ebu msome huyu jamaa hapa chini anadhani sisi wote tuna akili za nyumbu kama Bavicha.

Hapo kwenye bold ameandika kituko hivi kuna mtu yeyote anaweza kwenda nchi ya watu na kwenye benki za watu na ku-freeze account ya mtu, basi kama ndiyo hivyo Dr.W.Slaa asingekuwa analalamika kuwa kuna mafisadi wameficha pesa nje angemtuma Mbowe au Lema, kwenda ku-freeze hizo account za hao mafisadi.
 

'tatizo Nanren anafkiri kwa kutumia nyama za makalio Ritz sio kosa lake hata kidogo asee,teh teh'
 
Last edited by a moderator:
Watu wa system wanasema Kighoma Malima alikuwa CIA agent.
Bw.Mohamed Salim unajua hili?
 


Waite hao watu wako waje wakutane na vitasa.
 

Mkuu,

Wewe ndo yaelekea hizo comments/argument yako ndo dhaifu pasi kiasi!...embu jaribu kujisoma upya! Daah!

Mie huwa situmii maguvu(kama ulivyodai) asilan,ninapozungumza na watu khasa wa sampuli nyinyi ya humu-JF!

Hayo niloyazungumza takriban yoote,nayafahmu kiundani na pia nayafundisha! Kwa hiyo nakuhakikisha yakua sibahatishi nisemacho/niandikacho,hasha!...au nikeletee references hapa hapa Mkuu!?

Kwa kifupi,labda nikiri yakua nakubaliana nawe japo kiduchu hapo nilipo-BOLD kwenye hiyo bayana yako dhaifu!...hata hivyo ukifuatilia tangia bayana yangu ya awali na mpaka hii hapa jamvini,mie asilan sijagusia dini/udini!?

Nalichofanza ni kuwarekebisha tu kiduchu baadhi ya Wanajamvi wenzetu,amabo nakhis mmedhamiria kumuharibia Mwanajamvi mwenzenu Sheikh Mohamed Said hii thread yake,maskini!? Dahaah!

Mkuu,umenichekesha kiduchu,ati umeshindwa kunifahamu!? Kweli,Yakhe!? Teeh! Teeh! Teeh!

Basi wakti mwangine,tajitahidi ku-amplify japo kiduchu,ili uezefahamu.

Ahsanta.
 
Watu wa system wanasema Kighoma Malima alikuwa CIA agent.
Bw.Mohamed Salim unajua hili?

'mmeshachanganyikiwa sasa hata unachokiongea hukitambui Mohamed Salim ndio nani asee au ndio povu za weekend hazijaisha nini asee,kweli kazi mnayo'
 
sawa mkuu ila nilichogundua ni kwamba hatujaelewana kile tunachokizungumzia kati yangu na yako but unaweza kumtetea tu huyo sheikh mohamed said wala hukatazwi na mtu,ni uhuru tu wa maoni na vile uonavyo..karibu!
 
sawa mkuu ila nilichogundua ni kwamba hatujaelewana kile tunachokizungumzia kati yangu na yako but unaweza kumtetea tu huyo sheikh mohamed said wala hukatazwi na mtu,ni uhuru tu wa maoni na vile uonavyo..karibu!


Nimekusoma Mkuu na pia nimekupa LIKE kiduchu!

Huyo Sheikh Mohamed Said,mbona yeye binafsi ana uwezo mkubwa mno/intellect and brutal debating skills!

Kwa hiyo hana haja asilan na wala haitaji ati "kutetewa" na mie kama ulivyodai!?

Ahsanta.
 
Teh teh teh.
Respect mi broda! Respect

Dem bwaty boy no good man! Mi tell dem everyday man! Dem bum bum nooo nice, but dem bombocla never listen man!

Keep it real mi burjin!
Tanks man! Tanks!

Do you know the MAN who raped the under age child,The 14 year old girl?He is now regarded as second after God!He would have been in jail serving 30 year sentence if he would have done this child molest thing today in the civilised christian nations.What a pervert he was!!!
 

Teeeh teeh teeh teeh!
Mkuu gombesugu hawa wagalatia kama hujawazoea watakushangaza sana!
Yaani hizo biashara za sodomi ni family business!
Na kila wakizeeka ndio wanatamani zaidi kuingia ktk chama!
Duhh! Mi siku hizi natembea na ile disinfectant spray nikiona kuna sura ya mgala imekaa kisodomi tu! Nampulizia machoni!

Manake hawa wabaya kuliko wale mbu wa mararia!
Wamejaa najsi kila kona.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu,

Zatokea siku ile!?

Duuh! Hiyo list yako ya Ze Comedy,yaani imenifanza nicheke pasi kiasi! Teeh! Teeh! Teeh!

Hivi umetumia criteria gani/ipi ku-collate hayo majina!?

Hivi Mkuu,weye binafsi unaamini kwa yakini kabisa ,yakua wachovu kama Yericko Nyerere na yule bingwa ya matusi wa nguoni aka Gwalihenzi, ati ndo wanaweza kusimama japo kiduchu na Sheikh Mohammed Said kwa hoja za kitaaluma!? Daah!

Acha kuleta list za mahoka/comedians Mkuu,si unafahamu mie "nakustahi"!?

Labda ujaribu kumleta Mkuu JokaKuu,ndo labda huwa anajaribu kuwa na meaningful/intellectual arguments...na pia ana uungwana/staha ya mazungumzo!
Huyu pekee kwenye hiyo list yakohu ndo hukumueka,na ndie pekee angemudu kuzungumza na Mtanzania mwenzie distinguished Scholar Sheikh Mohamed Said kwa taadhima!

Ahsanta sana.
 

Acheni kuwadanganya wadanganyika nyie mburula; huyo Kikwete wako angezichukua huko Malima alikozificha kwa authority gani? Ukweli ni kwamba Malima alikuwa anawatumia wahindi fulani aliokuwa amewaamini kama marafika zake kumuwekea hizo fedha alizokuwa amekwiba kwenye akaunti zao huko London; sasa siku ya siku alipokwenda kuangalia kiota chake cha pesa huko alikoficha na wahindi wake akakuta zile pesa zimeota mbawa na akaunti ilikuwa tupu ndio hapo presha ikapanda na kushuka na mwisho umauti ndio ukamfika!!! Hawa wahindi watawaliza wengi baada ya 2015 hawa magamba wakitoka madarakani, kwani wengi wao wamewekeza kwa wakina Patel!!!
 

So does this mean that you are now admiting that your SEMI GOD's sexual behaviors towards under age children were acceptable to you simply because the people of opposite faith who you are spending a lot your time to attack are doing the same?
 
Mada ni nzuri sana imejaa kweli tupu.lakini pia nipende kuwashauri ndugu zangu katika Imani (waislamu) kuwa hawa ndugu zetu wameshaona hii mada ni ya ukweli wanachojaribu kufanya ni kufanya vitimbi na kebehi ili tupanic tuanze kuwarudishia maneno ili wafanikishe lengo lao la kuufunga mjadala.Binafsi nashauri ingekuwa busara tusitukanane nao na tuendelee kujikita kwenye mnakasha huu muhimu.hao ni kaka kuku wetu hatuna haja ya manati watajileta tu wenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…