mazojms
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,625
- 2,546
- Thread starter
- #21
Huyo anashida zake[emoji1][emoji1][emoji1]Mazojms, I think you underestimate the stupidity of some people. Let him/them be.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anashida zake[emoji1][emoji1][emoji1]Mazojms, I think you underestimate the stupidity of some people. Let him/them be.
_ Kiimani tunaamini tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, na tunaelezwa jinsi Mungu alivyo pamoja na uwezo alionao.Binaadamu kaumbwa kwa makusudi(Purpose) mawili makuu
Pia kuna vikusudi vidogo vidogo ambavyo kila mtu kapewa either tofauti au inayofanana na mwingine. Kazi sasa ipo kwenye kuitambua kusudi lako, Utalitambua kusudi lako duniani?
- Kumuabudu na kumtukuza Mungu
- Kuzaa na kuijaza dunia
Ili kutambua inabidi uzame kiroho, usikilize roho wa Mungu atakavyokuambia kusudi lako
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Zingekuwa akili za mchana ningekujibu,
The night minds are as good as the day minds.
Kwanini Mungu anataka umuabudu?Binaadamu kaumbwa kwa makusudi(Purpose) mawili makuu
Pia kuna vikusudi vidogo vidogo ambavyo kila mtu kapewa either tofauti au inayofanana na mwingine. Kazi sasa ipo kwenye kuitambua kusudi lako, Utalitambua kusudi lako duniani?
- Kumuabudu na kumtukuza Mungu
- Kuzaa na kuijaza dunia
Ili kutambua inabidi uzame kiroho, usikilize roho wa Mungu atakavyokuambia kusudi lako
ebu zimaaa iyoBinaadamu kaumbwa kwa makusudi(Purpose) mawili makuu
Pia kuna vikusudi vidogo vidogo ambavyo kila mtu kapewa either tofauti au inayofanana na mwingine. Kazi sasa ipo kwenye kuitambua kusudi lako, Utalitambua kusudi lako duniani?
- Kumuabudu na kumtukuza Mungu
- Kuzaa na kuijaza dunia
Ili kutambua inabidi uzame kiroho, usikilize roho wa Mungu atakavyokuambia kusudi lako
hiki ni kisubwa au kinyakyusaHua sioni sababu ya mTanzania kuandika KISWAHILI akichanganya na kingereza..haisaidii na haina maana yoyote,na watu wa namna ya uandishi huu ndo wale walioendelea kuifanya Afrika kua masikini mpaka leo.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Unavyofikiri angewezaje wezaje ?_ Bila kizuizi cha mwili binadamu angeweza kucommunicate na kitu chochote au mtu yeyote aliye popote kwa wakati wowote.
Una uthibitisho wowote kuhusu hicho ulichokiandika?Binaadamu kaumbwa kwa makusudi(Purpose) mawili makuu
Pia kuna vikusudi vidogo vidogo ambavyo kila mtu kapewa either tofauti au inayofanana na mwingine. Kazi sasa ipo kwenye kuitambua kusudi lako, Utalitambua kusudi lako duniani?
- Kumuabudu na kumtukuza Mungu
- Kuzaa na kuijaza dunia
Ili kutambua inabidi uzame kiroho, usikilize roho wa Mungu atakavyokuambia kusudi lako
Umeandika ujinga hata sikutegemea, hivi huko shule ulikwenda kusoma au kuongeza idadi ya watoro?Binaadamu kaumbwa kwa makusudi(Purpose) mawili makuu
Pia kuna vikusudi vidogo vidogo ambavyo kila mtu kapewa either tofauti au inayofanana na mwingine. Kazi sasa ipo kwenye kuitambua kusudi lako, Utalitambua kusudi lako duniani?
- Kumuabudu na kumtukuza Mungu
- Kuzaa na kuijaza dunia
Ili kutambua inabidi uzame kiroho, usikilize roho wa Mungu atakavyokuambia kusudi lako
Acha upuuzi punda ww umetumwa nini?Hua sioni sababu ya mTanzania kuandika KISWAHILI akichanganya na kingereza..haisaidii na haina maana yoyote, na watu wa namna ya uandishi huu ndio wale walioendelea kuifanya Afrika kua masikini mpaka leo.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Morning, Africa,Trust,Respect ,nature ni Kiswahili kumbe!Hua sioni sababu ya mTanzania kuandika KISWAHILI akichanganya na kingereza..haisaidii na haina maana yoyote, na watu wa namna ya uandishi huu ndio wale walioendelea kuifanya Afrika kua masikini mpaka leo.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Kwa kipimo gani kuwa tuliowengi hatukuelewa jisemee mwenyewe ili ueleweshwe kutokujua kwako kisiwe kikwazo kwa wengine, jf ni mahala pakujidai sana katka uandishi kwan mtu hatarajii kupewa maksi kama mwanafunzi.Mala zote hua mnajifanya mnajua kila kitu na kumbe ni ujinga mtupu,uandishi wa kiswaenglish unaweza ukaufanya kwa uchache sana yamkini salam! Kisha nenda na lugha halisi maana sentensi zako hakika si wote watazielewa na kusudi lako halitatimia,unachukulia mitandao ya kijamii ni sehemu ya kujifurahisha zaidi ya kuelimishana. Lakini kwa sababu bado unaonekana una dharau na ndiyo sifa za waTanzania wengi kudharau au kutoa tusi ngoja nikuache lakini hii inafifisha thamani ya mtu mweusi
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Ni ngumu kwa akili kufikiria uwezekano, kwa sababu akili imefungwa na mwili. Uwezekano kwa binadamu maana yake ni kile kitu mwili wake ambao ni primitive unaweza kufanya.Unavyofikiri angewezaje wezaje ?
Hizi kweli akili za Usiku.
Na ndiyo nazidi kujifunza hasa waafrika hupenda kutazama Jambo kwa makini akosoe badala ya kujifunza._ It was never my intention kumfurahisha mtu wala kuonyesha umahili wangu wa kutumia lugha yeyote.
_ Watu wanatumia miaka kudecode maana ya maandishi yaliyofichwa kwenye codes ili tu kuelewa kilicho andikwa, ila wewe unaona kuchanganya lugha ni tatizo. Nikisema wewe ndio tatizo lenyewe nitakua nimekosea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata mkuu katika hili lakini kulijua kusudi hasa kiroho huambatana sauti na yule mtu aliyendani yako?. Maana wapo wawili mmoja anatazama yaliyo mema na kukupa moyo mwingine hana maana kabisaBinaadamu kaumbwa kwa makusudi(Purpose) mawili makuu