mazojms
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,625
- 2,545
- Binadamu anasemekana kua ndio kiumbe mwenye akili zaidi duniani lakini maana ya maisha kwake haitofautiani na maana ya maisha kwa primitive organisms kama bacteria, the only difference ni ufanyaji wa task lakini task ni zilezile.
- Mfano Bacteria hutengeneza colonies wakati huohuo binadamu wanatengeneza Nchi/ Empires, Bacteria wanazaliana wakati huohuo binadamu wanazaliana pia, bacteria wanatumia maisha yao kubadili mazingira yao vivyo hivyo kwa binadamu.
- Hivyo binadamu pia bado tuko primitive kuelewa sababu ya kuwepo duniani. Njia pekee inayoifanya sababu iendelee kuwepo japo haijulikani ni REPRODUCTION. Reproduction is a natural process na ndio taarifa ambayo itaendelea kuexist paka pale sababu itakapo timia.
SURVIVAL
Theory ya "survival of the fittest" inaonyesha kwamba ili usurvive ni lazima uwe fit ndipo uweze kupingana na natural forces/selection. Kua fit maana yake ni kutumia sehem ndogo ya akili inayoendana mwili wako primitive ili kujilinda. Nikimaanisha akili hufanya maamuzi kulingana na uwezo wa mwili.
SURVIVAL HAS ITS SET BACKS
- Njia ambazo miili inatumia ili kusurvive ndizo zinazoweka vizuizi na mwisho zinatufanya tuendelee kuwa primitive.
_ Tunalala sababu miili imechoka, tunashinda tukitafuta chakula sababu miili inanjaa, tunakufa sababu miili imezeeka. Kiufupi tunatumia 100% ya maisha kutumikia miili ili iendelee kusurvive, bila kujali maana halisi ya kuishi ni nini.
_ Akili inauwezo wa kuwa sehem yeyote wakati wowote lakini mwili hauwezi, kama mwili usingeweka kizuizi inamaanisha binadamu angeweza kuwa sehem yoyote ile kwa wakati wowote ule kimwili na kiakili.
_ Bila kizuizi cha mwili binadamu angeweza kucommunicate na kitu chochote au mtu yeyote aliye popote kwa wakati wowote.
NB: Yani kama namna ambayo binadamu tunamwelezea MUNGU.
THE ROLE OF EVOLUTION
- Evolution ni kama means ya mwili kupunguza vizuizi/resistance na kufungua uelewa uliojificha. Kufikia level ya juu ya uelewa ndio lengo halisi la maisha, level ambayo tutagundua kua vitu tunavyoviona vya maana leo hii they are just nothing but survival techniques tu. Level ambayo time will stop to exist na kifo hakitakuwepo. Level ambayo tutakua free from our primitive bodies.
- The fate of humanity ni kufika hiyo level ya juu ya intelligence ambapo tutakua free. Hakikisha unaacha offsprings so that part of you will live to taste the freedom.
AKILI ZA USIKU
Sent using Jamii Forums mobile app