The Clintons, soon to be in the guinness book of records

Utawala wa Lucifer....Marekani lazima Rais akiwa mwanaume ni lazima waziri wa mambo ya nje ama makamu awe mwanamke..yaaan Lucifer..Lilith and Samael
Usikariri vitu visivyo na mashiko:

Utawala wa sasa wa Marekani upo hivi:
Rais: Barack Obama- MWANAUME
Makamu: Joe Biden-MWANAUME
Waziri Mambo ya Nje: John Kerry-MWANAUME.

Tatizo umekariri tu kwenye utawala wa George W Bush na Obama term ya kwanza, haipo hivyo.
 
Hillary alisema kwenye bibliography yake akiwa undergraduate student her dream was to be the first USA female president, and if she won't she will marry a president. Ya pili imetokea sasa anafukuzia ya kwanza.
 
Usikariri vitu visivyo na mashiko:

Utawala wa sasa wa Marekani upo hivi:
Rais: Barack Obama- MWANAUME
Makamu: Joe Biden-MWANAUME
Waziri Mambo ya Nje: John Kerry-MWANAUME.

Tatizo umekariri tu kwenye utawala wa George W Bush na Obama term ya kwanza, haipo hivyo.
Bora kuja na fact kama hizi maana kuna watu kutwa nzima wanamezeshana habari za conspiracy theories
 
FYI, haitatokea hata siku moja USA umarekani kutawaliwa na "ke" (female) kweli USA hupenda kutetea haki za wanawake right....!! Lakini ukija ktk utawala wao hupiga chenga za angani..... never mwanamke kuwa presida wa Unco Sam!! ref (historia)

Sky Eclat
afrodenzi

Hilary Clinton atakua USA president.
Helen Clark atakua UN Secretary-General.

Anzeni kuzoea. Haina haja ya kujibishana na nyie.
actions speak louder than words.
 
Hilary Clinton atakua USA president.
Helen Clark atakua UN Secretary-General.

Anzeni kuzoea. Haina haja ya kujibishana na nyie.
actions speak louder than words.
Kwa Heshima zaidi iende INDIA kwenye demokrasia kubwa duniani iliwahi kuwa na kiongozi mwanamke Indira Gandhi.. halafu BANGLADESH wakiongozwa awamu kadhaa na Bi Khalida Zia na Bi Hasina na baadae heshima kwa mrhm. Bi BinaZir Bhutto wa PAKISTAN !! na Liberia Bi Ellen Sirleaf, na South Korea Bi Park !!!

lakini hiyo ya Marekani ni tashwishi na danganya toto kwa mataifa follow me.....(wafuasi akina vibakuli)
 
Uingereza kwa mara ya pili waziri mkuu mwanamke lakini kuwa na waziri mkuu mweusi ni ndoto.
 
Uingereza kwa mara ya pili waziri mkuu mwanamke lakini kuwa na waziri mkuu mweusi ni ndoto.
Sasa hapo !! Lakini kwa upeo wa mustakabli na "ya mungu mengi" Jiji la LONDON limefungua pazia la nondo za chuma kwa kupata MAYOR muhamiaji wa kihindi Sadiq khan ..... hope siku zijazo tutaletewa... kwa MUNGU si MBALI !!!
 
London is a multiculture city, hata Consertative uchaguzi uliopita walipigwa vibaya sana London, lakini huko vijijini kuna wale ambao hawaamini mpaka sasa kuwa mweusi ana uwezo wa kufikiri na kutoa maamuzi, hao ndio vimeo kwa uwaziri mkuu.
 
Ndu.yangu hayo yalimkuta hata huyu wa USA Baraka Husseni Obama alipokuwa senata !!!! lakini alitakalo Mungu hutimia.....
 
Sio rahisi kama mtazamo wako unavyoonyesha.Inaweza kutokea lakini naona Bi.Clinton upepo unamuendea vibaya ,jamii kubwa hawamuamini awali katika tafiti ilionyesha asilmia 60 ya waliohojiwa walikuwa hwamuamini katika tafiti ya karibuni hasa baada ya Mkuu wa FBI kuongea asilimia ya wasiomuamini imefikia 67,pia alikuwa anamuongoza Mpinzani wake kwa zaidi ya asilimia sita lakini sasa wako sawa katika kura za maoni huku Trump akimuongoza katika majimbo muhimu kama Florida .Uchaguzi wa Pence kama makamu pia umemuweka Trump sehemu nzuri kwa hiyo tusubiri tuone.
Yakupasa kuangalia polls kwa upana zaidi. Nilijifunza kule kwamba ukiangalia FoxNews wakati wote, huwezi kuona Democrat anafanya vizuri au anashinda. Na ndiyo maana Romney alidanganyika kwamba anashinda mara ya mwisho. Hebu angalia hapa polls tofauti na ufanye tathmini. Kwa kifupi majority ya polls zinaonesha Hillary anashinda.
RealClearPolitics - 2016 Election 2016 Presidential Polls
 
Umewahi kusikia nchi inaitwa Argentina? Unamjua Messi mkwepa kodi?
thumb.php

Unamjua huyo Mama?
Anaitwa Cristina Fernández de Kirchner President of Argentina (2007–2015)
She succeeded her husband, Néstor Kirchner, who had served as president from 2003 to 2007.

Jamani mada inasema nchini MAREKANI....!
 
Hata Wanaompigia kura Hillary wanajua deep down 'wanamchagua Bill Clinton'

Clinton alikuwa best ever president Marekani kwa mambo ya kiuchumi
ndo maana Hillary anakuwa na nguvu
 
Hata Wanaompigia kura Hillary wanajua deep down 'wanamchagua Bill Clinton'

Clinton alikuwa best ever president Marekani kwa mambo ya kiuchumi
ndo maana Hillary anakuwa na nguvu
Ninawaza akiwa President Hillary asimnyanyase Bill akikumbuka yaliyomkuta enzi za Monica Lewinsky.
 
Na ndio maana dunia inakwenda mrama nyakati hizi......

Mwanamke hana hata sifa moja ya kuwa kiongozi....hata wa ngazi ya familia....leo anakuwaje kiongozi na kufanya maamuzi makubwa kwa niaba ya mamilioni ya watu.......

Hii ni laana kwa ulimwengu mzima....unawezaje kupokea amri kutoka kwa mtu anayekwenda mwezini kila mwezi.....!???
siku za mwisho mkuu,hapo ndio isis watakapopata hasira sana kupigwa mkwara na binti mrembo
 
Wacha porojo ndefu.

Bila mwanamke usingejuwa hata kujisafisha mavi yako. Umelelewa na kuongozwa na mwanamke na wengi wenu hadi hii leo mnaongozwa na kulelewa na wanawake.

We are natural leaders.

Tena ukiona mwanamme anaejidai kutamba sana mbele za watu ujuwe huyo kwake ni ndondocha tu na pengine hata ma finger unapigwa na unabaki kuguna tu.

Kumbuka kuwa mwanamme siku zote atabaki kuwa mtumwa wa mwanamke tu, hata afanye nini.

We are the Queens by nature and not by chance.
Mfalme Suleiman alipoteza Hekima, Busara na Mali zake zote kwa sababu ya mwanamke, Samsoni alitiwa mikononi mwa wafilisti sababu ya mwanamke, Adam alipoteza amani ya ulimwengu sababu ya Mwanamke, sasa bado sijajua justifications zako zinatoka wapi katika hayo madhaifu.?
 
Back
Top Bottom