engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Kama huoni tatizo la bwana Zito wa Chama cha Upinzani kusaidiwa na Bwana Kikwete Mwenyekiti wa Chama Twawala basi bila shaka wewe ni mmoja wa watanzania wanaosababisha tuwe hapa tulipo. mgawo wa umeme, gharama za maisha kupnda na kdhalika. Kama huoni tatizo unaweza kuchukua hatua kweli?? Una tofauti gani na Mheshimiwa ambaye anasema haoni kwa nini WaTZ ni masikini?? Poor You.
your more than poor
kwani zito ni punguwani kama wewe? ni mtu msomi mwenye shahada yake mbunge tena imara mwenye mke msomi,sasa unavyotaka kumfanyia maamuzi zito juu ya kazi zake bado sikuelewi
kama zito mwenyewe haoni hilo na amekubaliana nalo wewe huwezi badilisha lolote lile
tumwache ziti afanya kazi achane propaganda za ajabu,acha kuwa na fikra mgando,nadhani elimu uliyonayo bado haija kukumbowa unafikilia mwisho wa vidole vyako
mbona mkapa alimpa kazi Lipumba ktk ile kamati ya watu saba wa kumshauri rais juu ya uchumi na mambo yalikwenda safi,sasa unataka kuniambia kuwa Lipumba hakustaili kupokea ama kuikubali hiyo nafasi?
acha mambo ya ushabiki ilimradi nawe uonekane ktk mstari,haya mambo hayajaanza leo bana ya watu wa upinzani kupewa nafasi na rais
your brain is like fish brain never think back even for the future