The Citizen: JK alilishinikiza Bunge kumpa Zitto ulaji

Nimejibu yale ninayoyajua juu ya suala hili. Nimetoa muhtasari wa matukio. Pinda aulizwe sasa kama ni kweli aliagizwa na Rais! Je alitumia jina la Rais ili kuweka nguvu hoja yake? Maana yeye ndiye aliyeongoza kikao cha caucus ya CCM na kusema msimchague Zitto bali mtu wa CUF. Yeye huyo huyo akaenda kuwaambia 'jamani eeh Rais amesema tumpe Zitto'
Mimi nimejibu yangu. Nimewaambia hata jinsi nilivyofanya kampeni. Regia Mtema ni mwana JF, mnaweza kumwuliza maana yeye ndiye alikuwa campaigner wangu!
Sasa majibu yangu yameficha nini?

Dada Regia,natumaini upo nasi. Kwa hiari tungependa kama ungetusibitishia hizi habari, uwepo wako will be appreciated.
 
The way he got it=Favor
I contested and won. I fought to win. I fought in 2008 and won and did the same in 2011.
Chuki, husuda na wivu ndio unakusumbua siku zote. Stay outside the box kaka! Don't please yourself by lying yourself.
I have mastered parliamentary politics and that made me win! Eti favour
 
Kwa hiyo lolote linaloandikwa humu unaliamini? Nilimtaka Waberoya athibitishe madai yake ya kokote hakuweza. I also challenge you the same.
Jua kuna uwongo na uzusho mwingi sana humu JF. Jua kuna kuna kupakana matope sana humu. Ndio maana watu wanatumia majina bandia. Mimi natumia jina langu halisi tofauti na wewe, unaweza kusema lolote and go away with it.

ni kweli Kiongozi,watu wanaingia Jf kwa majina bandia lengo ni kuhalibiana
swali kama wewe ni mpiganaji na unataka mabadiliko kinachokufanya uingie na majina ya bandia ni nini? na hao wanao ingia na majina bandia ndio wanao chafua hali ya hewa Kiongozi,huwezi kumlizisha kila mtu ktk hii dunia na pia huwezi pendwa na kila mtu ktk hii dunia hata mungu mwenyewe kuna watu hawampendi kwa hio hao ndio wachafuzi

nami natumia jina langu halisi tena la kibantu lenye kazi nifanyayo mwanzo,hii ina maanisha sijifichi nipo wazi na ndio TUNACHO HITAJI
Hongera Zito,Dada Mtetema na yule mbunge wa tabora na mimi mwenyewe tunatumia majina yetu halisi
 
I think the problem is not that you are the Chairperson of parliamentary committee but the problem is the way you got it.
I contested and won. Roho inakuuma? Ulitaka ashinde dada wa CUF? Ama vipi?
 
Kwa hiyo lolote linaloandikwa humu unaliamini? Nilimtaka Waberoya athibitishe madai yake ya kokote hakuweza. I also challenge you the same.
Jua kuna uwongo na uzusho mwingi sana humu JF. Jua kuna kuna kupakana matope sana humu. Ndio maana watu wanatumia majina bandia. Mimi natumia jina langu halisi tofauti na wewe, unaweza kusema lolote and go away with it.
Mh hata mimi natumia jina langu,nilidhani ulisema unamweshimu Waberoya kwasababu analiheshimu hili jamvi,ina maana yeye kuleta uongo dhidi yako pia ina constitute heshima kwa jamvi?Ndio maana nili assume kuwa habari alizoleta ni kweli kwasababu umesema analiheshimu hili jamvi.

Na kuhusiana na mjungu,ni kweli sometimes yapo,everywhere kwenye community yetu hilo ni tatizo sugu,hata hivyo hapa tuna watu waelewa ambao wanaweza kutenganisha kati ya pumba na mchele.

Nafikiri kitendo cha Mh Rais kupiga simu kushinikiza uchaguliwe kuwa mwenyekiti wa kamati ni doa.Nadhani ni kikwazo kwako kwenye kupingana na sera za serikali yake ya ccm.

Confusions kama hizi zinaweza kupeleka maneno ambayo unaweza kuya classify kwa majungu,fitana na hata chuki!

Wananchi wanakuwa very emotional kutokana na ile imani waliyokuwa nayo kwako,relationship yako na wananchi ilkuwa very deep rooted kutokana imani juu yako kuwa wewe ni mpambanaji wa kweli dhidi ya ufisadi na mafisadi,na ndio maana beef yao dhidi yako inakuwa nzito na hivyo kuweza kutafsiriwa vingine kama unavyofanya wewe na wengineo wenye mtizamo kama wako....Walikuwa na matumaini ambayo yamepotea!

Mapenzi yakiwa mazito,hata kama mmekoseana,kuachana inakuwa mshike mshike,consequences ndo kama hizi,wananchi wanakuwa hawana imani tena kutokana na maumivu ya kugeukwa.

Nashangazwa sana unapodai hakukuwepo na favor.
 
Mh hata mimi natumia jina langu,nilidhani ulisema unamweshimu Waberoya kwasababu analiheshimu hili jamvi,ina maana yeye kuleta uongo dhidi yako pia ina constitute heshima kwa jamvi?Ndio maana nili assume kuwa habari alizoleta ni kweli kwasababu umesema analiheshimu hili jamvi.

Na kuhusiana na mjungu,ni kweli sometimes yapo,everywhere kwenye community yetu hilo ni tatizo sugu,hata hivyo hapa tuna watu waelewa ambao wanaweza kutenganisha kati ya pumba na mchele.

Nafikiri kitendo cha Mh Rais kupiga simu kushinikiza uchaguliwe kuwa mwenyekiti wa kamati ni doa.Nadhani ni kikwazo kwako kwenye kupingana na sera za serikali yake ya ccm.

Confusions kama hizi zinaweza kupeleka maneno ambayo unaweza kuya classify kwa majungu,fitana na hata chuki!

Wananchi wanakuwa very emotional kutokana na ile imani waliyokuwa nayo kwako,relationship yako na wananchi ilkuwa very deep rooted kutokana imani juu yako kuwa wewe ni mpambanaji wa kweli dhidi ya ufisaid na mafisadi,na ndio maana beef yao dhidi inakuwa nzito na hivyo kuweza kutafsiriwa vingine kama unavyofanya wewe na wengineo wenye mtizamo kama wako.

Mapenzi yakiwa mazito,hata kama mmekoseana,kuachana inakwa mshike mshike,consequences ndo kama hizi,wananchi wanakuwa hawana imani tena.

Nashangazwa sana unapodai hakukuwepo na favor.

Hisia zako tu! Playing with Rais kupiga simu. Nani kathibitisha kuwa ni kweli alipiga simu? Mpaka sasa ni hisia tu na hakuna proof! Nakushangaa sana
 
Simjui Waberoya.
Ila kwa maandishi yake humu JF ni mtu mwenye kutenda haki. Pale ninapofanya vizuri ananipa credits. Pale ninapokosea ananikosoa.
Pale anapokuwa na hoja na hana majibu anauliza. Nadhani ndio mijadala ya wastaarabu inapaswa kuwa hivyo. Mijadala kutukanana, kuwa judged, kupeana majina mabaya, kujaza chuki haijengi spirit ya kujadiliana na kupata ufumbuzi wa matatizo yetu. Isipokuwa inafanya JF kuwa kijiwe kama vijiwe vingine vilivyojaa majungu, chuki, wivu na husuda.
Waberoya, toka tumeanza JF amejaribu kuweka mbele heshima ya jamvi na wanajamvi hili.

Kwa hiyo lolote linaloandikwa humu unaliamini? Nilimtaka Waberoya athibitishe madai yake ya kokote hakuweza. I also challenge you the same.
Jua kuna uwongo na uzusho mwingi sana humu JF. Jua kuna kuna kupakana matope sana humu. Ndio maana watu wanatumia majina bandia. Mimi natumia jina langu halisi tofauti na wewe, unaweza kusema lolote and go away with it.
Kwa post zako hizi mbili moja inamsifu Waberoya anatenda haki nyingine unamwita mwongo na mzushi, unataka kutuambia nini hapo.
 
I contested and won. I fought to win. I fought in 2008 and won and did the same in 2011.
Chuki, husuda na wivu ndio unakusumbua siku zote. Stay outside the box kaka! Don't please yourself by lying yourself.
I have mastered parliamentary politics and that made me win! Eti favour

NO NO NO NO -taratibu .......povu la nini kaka....... you contested and won the election in 2008 but not in 2011...this time you were appointed but not elected!!!!.......tell us why did the president instructed the PM? what is the secret behind btn you and jk?....sababu ipo na unaijua ila basi tu.....maana kama hujui kwa nini jk alitoa agizo hilo ni sawa na wewe kutojua kirefu cha CHADEMA!!
 
Nadhani ulimaanisha "Think outside the box" Which is exactly what i am doing right now on this topic,ila matokeo yake ndo hayo wewe kunibrand mimi kuwa chuki,husuda na wivu vinanisumbua,Zitto honestly,sijawahi na wala siwezi kuwa na chuki dhidi yako,kama unadhani kuulizwa maswali na kukosolewa wewe kama kiongozi basi wananchi hao wana chuki dhidi yako,vipi ukiwa Rais?

Unadai chuki,wivu na husuda vinanisumbua siku zote,how?
How am i pleasing my self?

Sasa kama umemaster parliamentary politics,ikawaje waya ukavutwa?Ama ulimasta hizo politics kwa kumvutia JK waya?

JK asingepiga simu then you could have been right kwamba you have mastered the politics,ama kama kumtwangia simu pia ina constitute towards mastering the parliamentary politics...Na kama unadhani Mr yes Sirs ndo wasio na chuki,basi nashangazwa sana na leadership qualities zako.
 
Hizo ndizo sifa zako za kutokuwa punguani, basi kama wewe si mbunge lazima utakuwa punguwani.
hatupo hapa kwa lugha ya kiswahili wala kufundishana maana ya punguwani,tupo hapa kueleza ukweli uliopo kuwa kwa upande wangu sioni kama kuna tatizo
je makapa alivyo mpa nafasi Lipumba kulikuwa na tatizo lolote lile?
 
Siwezi kumjibia Rais
Ninadhani kwamba inabidi tujifunze kuwa na mrengo wa kati katika kuongelea jambo fulani.
Nadhani ni jambo la kushukuru kwamba viongozi kama Zito,wanaweza kujibu maswala ya kukera,ambayo nina hakika hata anayeuliza,angekuwa yeye ndio ana cheo kama cha Zito,hakika asingejibu kama angeliulizwa same kind of question.
Ninadhani hapa watu wengi hatujui SIASA NI MCHEZO,hatujui kwamba siasa ina wachezaji na mashabiki pia.
Nani asiyejua kwamba enzi zile za simba na Yanga si ajabu mara tu baada ya mechi ya simba na Yanga kuwaona wachezaji wa timu hizo pinzani wakiwa pamoja,wakicheka,na wakila pamoja,huku washabiki wa timu hizo wakigombana,wakiacha kusalimiana kwa miezi kadhaa,wengine wakijiua?
NI VEMA TUKAMWELEWA VEMA ZITO,
CCM,WALIKUWA NA MPANGO KWAMBA KWA NANMA YEYOTE,LAZIMA APATIKANE KIONGOZI OUT OF CHADEMA(REGARDLESS ANAFAA,AMA LA!).....KWA SABABU SIASA NI MCHEZO UNAOWEZA KUPANGWA
WAKATI HAYO YAKIENDELEA,SI KWAMBA WANA CCM(AU CHAMA CHOCHOTE KILE CHUKULIA) HAWAJUI KWAMBA WANACHOFANYA NI RAFU AMA SI CHEMA
NA MIZENGWE HIYO INAPOENDELEA,WATU MBALIMBALI WANAKUWA KATIKA TENSION YA KUCHAGUA UKWELI NA SHINIKIZO(kumchagua asiyefaa kwa ajili tu ya kuwakomoa wapinzani,ama kumchagua unayedhani anafaa?)
NA KWA SABABU SIASA NI MCHEZO MCHAFU,WA KUPANGWA(kama Chadema walivyopanga kwamba watoke ukumbini mara Rais anapoanza kutoa Hotuba,kama ccm wanavyoweza kupanga kwamba wampitishe fulani kugombea jambo fulani,kama Chadema wanavyopanga kuandamana)....wakati huohuo kuna Viongozi ambao wanaweza wakaona eiiiish,sasa hapa lazima niseme jambo ili mambo yaende sawa(kama ilivyo kwa viongozi wa Chadema walivyokuwa na maamuzi kwamba Zito asigombee Uenyekiti wa Chadema taifa,ajitoe--sijui kama ni kweli walifanya hivyo kwa sababu Zito alikuwa hafai ama la,mimi sijui,nanachotaka kuwakilisha hapa ni kwamba kwenye vyama mbalimbali viongozi huingilia na wana uwezo wa kubadilisha mambo),NADHANI NDIVYO NA KIKWETE ALIVYOONA SASA HAWA JAMAA MBONA WANATAKA KUFANYA MAMBO YA AJABU(kumchagua mtu just kwa sababu yuko upande wao,na si kwa sababu anafaa,na kumuacha yule mwingine,just kwa sababu si wa upande wao)
NA PIA IELEWEKE,KWA VIONGOZI WETU WENGI,SIASA SIO UADUI
ILA KWA WASHABIKI WENGI WA SIASA,WANAONA SIASA NI UADUI(sijui kwa sababu njaa zinauma?)
SIONI AJABU KABISA KIKWETE KUMKINGIA KIFUA ZITO,NA SIWEZI KUANZA KUMSHUKU ZITO KWA NINI AWE NA UHUSIANO WA KARIBU NA KIKWETE....KIKWETE NI RAIS WAKE,KUWA VYAMA TOFAUTI SI KWAMBA NDO HATA WASIONGEE.....AWE ALIPIGA SIMU,HAKUPIGA SIDHANI KAMA HILO NI TATIZO........
ZITO.....kweli siasa ni ngumu,lazima niwape pole,ingawa najua mnafaidi sana,lakini mie nadhani siiwezi,na nina hakika hata hawa wanaowalalamikia humu,wakipewa nafasi kama zenu,walahi ndo watakuwa wabaya wa kutupwa.
 
Hisia zako tu! Playing with Rais kupiga simu. Nani kathibitisha kuwa ni kweli alipiga simu? Mpaka sasa ni hisia tu na hakuna proof! Nakushangaa sana

hata kama alituma fax, email, sms, barua......poa tu ...kikubwa ni kwamba jk alikuwa dar na pinda alikuwa dom.....na agizo likatoka kwa jk so hakumwambia ana kwa ana.......tunachotaka kujua ni kwa nini jk afanye hivi?...
 
I contested and won. I fought to win. I fought in 2008 and won and did the same in 2011.
Chuki, husuda na wivu ndio unakusumbua siku zote. Stay outside the box kaka! Don't please yourself by lying yourself.
I have mastered parliamentary politics and that made me win! Eti favour

I contested and won. Roho inakuuma? Ulitaka ashinde dada wa CUF? Ama vipi?
Mh. Stay tuned and focused don't lose temper hakuna mtu anayekuonea wivu wewe mkubwa sasa achana na hayo jenga hoja zilizo mbele yako.
 
basi kama ni hivyo sio Cuf pekee ndio inayoshirikiana na Ccm bali hata Cdm(Zitto) nao ndio wale wale tu.hakuna sababu ya kukiunga mkono chama chochote cha upinzani wala chama tawala Nimeamini Kweli siasa ni mchezo mchafu
 
NO NO NO NO -taratibu .......povu la nini kaka....... you contested and won the election in 2008 but not in 2011...this time you were appointed but not elected!!!!.......tell us why did the president instructed the PM? what is the secret behind btn you and jk?....sababu ipo na unaijua ila basi tu.....maana kama hujui kwa nini jk alitoa agizo hilo ni sawa na wewe kutojua kirefu cha CHADEMA!!
I got 13 votes out of 15! I won! Hata hivyo siwezi kukuaminisha usivyotaka kuamini. You are blocked. Remain so!
 
Mh. Stay tuned and focused don't lose temper hakuna mtu anayekuonea wivu wewe mkubwa sasa achana na hayo jenga hoja zilizo mbele yako.
Labda ana assume kwavile kuna wengine wanatumia majina bandia,basi inawezekana kuna ambao ni viongozi wenzake,labda wanaoneana wivu na husuda kwenye kugombea hizo nafasi,mimi ni mwananchi wa kawaida tu Zitto.

Kama kuna ambao watakukosoa kwa namna yenye kuonyesha chuki binfasi sisi tutajua tu hapa,we can read btn the lines,hivyo si kila jani likikugusa basi udhani ni nyoka.
 
Mh. Stay tuned and focused don't lose temper hakuna mtu anayekuonea wivu wewe mkubwa sasa achana na hayo jenga hoja zilizo mbele yako.
I am focused. I don't loose temper but I don't stand uzushi na kupindapinda maneno to suit ones interests.
You are full of hatred! Lazima nikwambie na wengine wengi tu humu. Nimewajibu, hamkubali. Haya niambie unataka niseme nini ufurahi bwana mkubwa? Its too much sasa
 
Ninadhani kwamba inabidi tujifunze kuwa na mrengo wa kati katika kuongelea jambo fulani.
Nadhani ni jambo la kushukuru kwamba viongozi kama Zito,wanaweza kujibu maswala ya kukera,ambayo nina hakika hata anayeuliza,angekuwa yeye ndio ana cheo kama cha Zito,hakika asingejibu kama angeliulizwa same kind of question.
Ninadhani hapa watu wengi hatujui SIASA NI MCHEZO,hatujui kwamba siasa ina wachezaji na mashabiki pia.
Nani asiyejua kwamba enzi zile za simba na Yanga si ajabu mara tu baada ya mechi ya simba na Yanga kuwaona wachezaji wa timu hizo pinzani wakiwa pamoja,wakicheka,na wakila pamoja,huku washabiki wa timu hizo wakigombana,wakiacha kusalimiana kwa miezi kadhaa,wengine wakijiua?
NI VEMA TUKAMWELEWA VEMA ZITO,
CCM,WALIKUWA NA MPANGO KWAMBA KWA NANMA YEYOTE,LAZIMA APATIKANE KIONGOZI OUT OF CHADEMA(REGARDLESS ANAFAA,AMA LA!).....KWA SABABU SIASA NI MCHEZO UNAOWEZA KUPANGWA
WAKATI HAYO YAKIENDELEA,SI KWAMBA WANA CCM(AU CHAMA CHOCHOTE KILE CHUKULIA) HAWAJUI KWAMBA WANACHOFANYA NI RAFU AMA SI CHEMA
NA MIZENGWE HIYO INAPOENDELEA,WATU MBALIMBALI WANAKUWA KATIKA TENSION YA KUCHAGUA UKWELI NA SHINIKIZO(kumchagua asiyefaa kwa ajili tu ya kuwakomoa wapinzani,ama kumchagua unayedhani anafaa?)
NA KWA SABABU SIASA NI MCHEZO MCHAFU,WA KUPANGWA(kama Chadema walivyopanga kwamba watoke ukumbini mara Rais anapoanza kutoa Hotuba,kama ccm wanavyoweza kupanga kwamba wampitishe fulani kugombea jambo fulani,kama Chadema wanavyopanga kuandamana)....wakati huohuo kuna Viongozi ambao wanaweza wakaona eiiiish,sasa hapa lazima niseme jambo ili mambo yaende sawa(kama ilivyo kwa viongozi wa Chadema walivyokuwa na maamuzi kwamba Zito asigombee Uenyekiti wa Chadema taifa,ajitoe--sijui kama ni kweli walifanya hivyo kwa sababu Zito alikuwa hafai ama la,mimi sijui,nanachotaka kuwakilisha hapa ni kwamba kwenye vyama mbalimbali viongozi huingilia na wana uwezo wa kubadilisha mambo),NADHANI NDIVYO NA KIKWETE ALIVYOONA SASA HAWA JAMAA MBONA WANATAKA KUFANYA MAMBO YA AJABU(kumchagua mtu just kwa sababu yuko upande wao,na si kwa sababu anafaa,na kumuacha yule mwingine,just kwa sababu si wa upande wao)
NA PIA IELEWEKE,KWA VIONGOZI WETU WENGI,SIASA SIO UADUI
ILA KWA WASHABIKI WENGI WA SIASA,WANAONA SIASA NI UADUI(sijui kwa sababu njaa zinauma?)
SIONI AJABU KABISA KIKWETE KUMKINGIA KIFUA ZITO,NA SIWEZI KUANZA KUMSHUKU ZITO KWA NINI AWE NA UHUSIANO WA KARIBU NA KIKWETE....KIKWETE NI RAIS WAKE,KUWA VYAMA TOFAUTI SI KWAMBA NDO HATA WASIONGEE.....AWE ALIPIGA SIMU,HAKUPIGA SIDHANI KAMA HILO NI TATIZO........
ZITO.....kweli siasa ni ngumu,lazima niwape pole,ingawa najua mnafaidi sana,lakini mie nadhani siiwezi,na nina hakika hata hawa wanaowalalamikia humu,wakipewa nafasi kama zenu,walahi ndo watakuwa wabaya wa kutupwa.
Hii hekaya yako ya abunuas kawauzie watu wenye ufinyu wa kuelewa mambo!!! Unajaribu ku-justfy kitendo cha rais kuingilia bunge na kuliambia lifanye nini?
Hili swala limenifanya ni-proove mawazo niliyokuwa nayo muda mrefu kuwa mambo mengi yanayoamuliwa bungeni ni order kutoka kwa mabwana waliomweka Mkwere madarakani... kuanzia kwenye uchaguzi wa spika mpaka uchaguzi feki wa wenyeviti wa kamati...

Simjui Waberoya.
Ila kwa maandishi yake humu JF ni mtu mwenye kutenda haki. Pale ninapofanya vizuri ananipa credits. Pale ninapokosea ananikosoa.
Pale anapokuwa na hoja na hana majibu anauliza. Nadhani ndio mijadala ya wastaarabu inapaswa kuwa hivyo. Mijadala kutukanana, kuwa judged, kupeana majina mabaya, kujaza chuki haijengi spirit ya kujadiliana na kupata ufumbuzi wa matatizo yetu. Isipokuwa inafanya JF kuwa kijiwe kama vijiwe vingine vilivyojaa majungu, chuki, wivu na husuda.
Waberoya, toka tumeanza JF amejaribu kuweka mbele heshima ya jamvi na wanajamvi hili.

Waberoya na wenzake wana ajenda za kuanzisha rebel faction ndani ya chadema. I always smell that stink when i read her posts.

you know her
 
Back
Top Bottom