vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,638
#Utanipenda #Hellow rocking everywea and #Utanipenda is #1 mostPlayed song In Tanzania now na bado kuna chupa nyingne inakuja Diamond x AKA pia Mafikizolo ft Diamond Plutnumz...em kakojoe ukalale aah sory ukanyonye damu za watu Vampire
Dah nimesahau na hyo ni noma sna.kazi juu ya kazi sio kazi za KingZamunda za msimu haha na mwaka huu ataisoma namba kwenye KiliMusicAward mwezi wa 4 tu hapo"Wiki hii anytime Zigo remix inadondoka kideoni. Zee feat Chibu hatari sana.
Kichaa mwitu weeeHabari wakuu,
Mi mgeni humu naomba niseme jambo..
Of coz nna maana yangu kupost hii kitu muda huu huenda mtaa wa pili washaenda katika kazi zao za kumroga mzee mzima King Zamunda..
Ni jambo lililowazi kuwa Zarina Hassan anapewa stress mno na mtoto mzuri mwenye lips bomba Wema Sepenga. Uwepo tu wa Sepenga ni adhabu tosha kwa huyu mama yetu...
Sasa aliyetarajiwa kumpa kampani na kumuondolea stress mwenzie ni The Simba, D platnumz, Chibu dangote...obviously.......
Kibaya ni kuwa Chibu naye ana stress kubwa baada ya kuona picha za King Kiba akiwa na madancer wakali wa mbele kule, kitu kinachoashiria kichupa kinachokuja si cha kawaida. Hili linamuumiza sana chibu as ni jambo linalojulikana na kila mtu kuwa huyu jamaa anapenda awe namba one yeye tu...Lazma naye apate stress...
Sasa huu mwezi umekuwa mbaya sana kwa familia hii. Kiba na Sepenga sio watu wazuri kabisa...
Natania tu lakini
Labda uniambie hapo sio studio ni chumbani kwako wanaigiza.Izo kolabo tangu zianze kutangazwa ni mda gan umepita?
iko wap colabo ya faly pupa? wap ya neyo? wap ya p square? na nyingne nyingi kama hizo.
jiongeze uyu jamaa mwisho wake waja
Labda uniambie hapo sio studio ni chumbani kwako wanaigiza.
Hawa hapa P square na DIAMOND.
sasa kama kaweza kufanya kazi na wasanii wakubwa namna hii hivi Fally pupa atashindwa kweli ??
View attachment 318036
Halafu muache kumfananisha DIAMOND na huyo underground ambaye kuna vitu vingi DIAMOND keshavifanya ila mtu wenu hawezi kuvifanya wala kuvifikia.
View attachment 318037
View attachment 318038
Nadhani mkiangalia hizo video 2 hapo juu itakuwa mwisho wenu kumlinganisha na vitu visivyoeleweka.
Nilijua utakuja tu manake unavyompenda Kibaka utafikiri anaku☝ doleMtoa mada ulichokisema ni kweli kabisa maana wachangiaji hapo juu nao wamedhihirisha hilo.
Sio kwa mapovu waliyomwaga......
Wee mbona unampenda Nyosso lkn tumekuvungia..Nilijua utakuja tu manake unavyompenda Kibaka utafikiri anaku☝ dole
That's my kaka,thank you.Wee mbona unampenda Nyosso lkn tumekuvungia..