bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,369
- 24,702
Subiria soon mkataba unafutwa uje uulize Tena swali hili.Kwahiyo unaamini TEC wataishinda serikali?
Subiria soon mkataba unafutwa uje uulize Tena swali hili.Kwahiyo unaamini TEC wataishinda serikali?
Umepaniki, haya ni majibu baada ya ninyi kusema kanisa hakuna lolote Maaskofu wanaweza kufanya. Sasa we are trying to show you how powerful we are?
Sasa angalia Hapa kanisa ilivyoenda UAE na jinsi mlivompokea
View: https://youtu.be/Ot1Vslt6bC4
😂😂😂Wanavyoogopa kufa kwa vile ni watu wa dhulma .Halafu unafkiri wao wanawaogopa warabu big no.
Wao wanaogopa kanzu na viremba tu.
Hao hao warabu wakija wamevaa suti hutaskia hizi kelele.
Soma tena ulichoandika je kinahusiana na mada iliyoko mezani au haihudiani na kama haihusiani kiwango chako Cha ujinga unastahili kuandika hivyo .Hapa bongo hamfaki kitu na dini sio mtu kama nyie mnaenda kukri dhambi kwa binadamu mwenzenu😂😂.
Hoja hamna maaskofu hawana elimu wameandika madudu ,baada ya kusoma tu unaona akili ndogo imeandika hapa level ya form four ,mtu unasoma then unapata maswali kibao kama sio uwezo mdogo wa kuandika hoja😂.
CCM ni ndogo Sana mbele ya kanisa“The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.
. Their wealth is so big that they could create sustainable social programs to end famine on Earth; they have the power and the means to oppose wars; they have the financial resources to create an Eco-friendly planet — the biblical heaven on Earth.
Acha kujilisha upepo wewe.Wenzako wameweka mifumo ya kutawala Dunia wewe unaleta mifumo ya kutawala ukoo au nchi.
Sasa mbona mikwara ya kitoto ? baada ya waraka kuwa wa form four mnaanza kuleta vitisho ..kwa nn mnatumia nguvu kuaminisha watu ujinga wenu 😂😂?Soma tena ulichoandika je kinahusiana na mada iliyoko mezani au haihudiani na kama haihusiani kiwango chako Cha ujinga unastahili kuandika hivyo .
Kwa maana hiyo hata wewe huelewi hujui ulichoandika nachelea kutumia ada yangu vibaya. Adious
And yet they chose not end famine or poverty!“The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.
. Their wealth is so big that they could create sustainable social programs to end famine on Earth; they have the power and the means to oppose wars; they have the financial resources to create an Eco-friendly planet — the biblical heaven on Earth.
Acha kujilisha upepo wewe.
Je kanisa linaitawala china,Saudia,misri,north korea,iran,iraq, congo?
Au hizo nchi hazipo duniani huko zilipo kanisa ndo inazitawala?
una mwili mkubwa lakini akili ndogo, huwezi ligi na mimi lazima ukimbie uingie mitiniTeeh binti kumbe upo vizuri mpaka kwenye kupiga spana?
Unapiga ukiwa umevaa nini kanga tupu au na gagulo ndani?
...and it shall remain in power untill and untill...it's even crazy to imagine“The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.
. Their wealth is so big that they could create sustainable social programs to end famine on Earth; they have the power and the means to oppose wars; they have the financial resources to create an Eco-friendly planet — the biblical heaven on Earth.
Tufanye haijitawali.Kwa uelewa wako Iran inajitawala😂
Sasa unajipanga kutukanana na watu hewa ..huwajui..wote mnatumia ID fake...Huoni kuwa unajiletea stress isiyo ya lazima??Kila kafiri mwenzio kuita watu wafuga majini ni lugha zisizoelekea kwenye matusi?
Teeh teeh binti una miwasho mpaka umeuvutia picha mwili wangu wakati hujawai kuniona!una mwili mkubwa lakini akili ndogo, huwezi ligi na mimi lazima ukimbie uingie mitini
Tufanye haijitawali.
Je kanisa ndilo linalotawala Iran?
Kama ndiyo ni kanisa gani?
Hili swali utaki kulijibu unalikimbia
Kwahiyo Roma ndiyo wanaoitawala Iran ambayo kwa mujibu wako haijitawali?Hata tunazungumzia Kanisa la Roma.
Inatambulika kwa wapagani wa kiarabu na wafuasi waoHaitambuliki au wewe kafiri huitambui?