Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
To me this says more about the character of JK than even of those he appointed. Is he, JK, incompetenct, ignorant, lazy or all of the above? How does he expect to run an efficient govt with incompetent executives? It incompetence from wilayani, mikoani, wizarani to the embassies? Well if there are impeachable offences in TZ, JK has clearly accumulated them in a mass.
Huyo Demu alikuwa demu wa mshikaji wangu mmoja alikuwa anasoma Jitegemee na alikuwa nakaa maflet ya Bagamoyo Road pale karibu na Ubalozi wa Ufaransa.Mkullo kamputa mshikaji demu hivi hivi tunaangalia, sasa jamaa kuangalia Mkullo anaona kama mshua wake vile, na demu actually alikuwa na age ndogo kuliko mtoto ambaye Mkullo angeweza kumzaa by age 25, which makes him more like his father.Mshikaji alivyoona hivyo akaona si riziki wala nini asije kuniletea maradhi bure, vizee vina mengi hivi.Akamsusia demu, mpaka jina lake ninalo ila nina respect privacy yake tu.
That is Mkullo for you, alipokuwa NSSF alikuwa hatosheki, alikuwa anafanya kila jitihada kwenda Harbours mara BOT, mijicho inamtoka tu kuwania vyeo.Naona sasa kampata muungwana kafurahiii sana.
Kuhusu MBA tafuta CV yake, angalia chuo alichofanyia MBA (Almeida University) halafu ki-google uone wanavyotoa among other things "life experience degree".
Waziri wetu wa Fedha ndiyo kasoma hapo, na watu wakiomba CV yake wataona kapata MBA yake kutoka chuo kinachompa degree hata mbwa!