The carbonaro effect na Dynamo magics ni matukio ya kweli?

The carbonaro effect na Dynamo magics ni matukio ya kweli?

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
657
Reaction score
514
Habari!
Kwa wale waliojaaliwa kuwa na king'amuzi cha dstv, kuna channel no 136 huwa kuna vipindi vya jamaa wanafanya miujiza nk! Mmoja anaitwa the carbonaro effect na Dynamo magics! Hivi kwa watu wa mazingaombwe haya ni matukio ya kweli au ni computerised actions maana naona wanavuka mipaka ya kawaida tuliyozoea kuona watu wa mazingaombwe hapa Tanzania

Mfano wa matukio ya Dynamo ni pamoja na kutembea juu ya maji, kuelea angani, kushuka ghorofa lefu kwa kutumia ngazi nk

Mfano wa the carbonaro effect ni pamoja na kubadilisha vitu kuwa wanyama, kubadilisha nguo hp hp nk

Wajuzi wa nguvu za kiza hili limekaaje

Cc mshana na wengineo
 
Wabongo wengi wanaamini uchawi, kitu ambacho duniani hakipo. Hakuna uchawi wowote ule, nenda Las Vegas magic shows kuna watu wanafanya mambo huwezi kuamini, tena wengine mbele ya macho yako, ila ni ujanja tu, ukijua wanachofanya utajiona mjinga sana, wengine wanachanganya techniques zao na technology kukuchanganya macho, ila zaidi ya hapo hakuna kingine chochote, hakuna kitu kama uchawi. Nitawashauri pia watanzania wengi wasikimbilie kufikiria kila kitu ni uchawi.
 
Hata wazungu nao wachawi mkuu...

Dynamo Magician impossible yule jamaa ni hatari duuuh

Carbonaro Na yeye ni mjanja balaa aisee
 
Wabongo wengi wanaamini uchawi, kitu ambacho duniani hakipo. Hakuna uchawi wowote ule, nenda Las Vegas magic shows kuna watu wanafanya mambo huwezi kuamini, tena wengine mbele ya macho yako, ila ni ujanja tu, ukijua wanachofanya utajiona mjinga sana, wengine wanachanganya techniques zao na technology kukuchanganya macho, ila zaidi ya hapo hakuna kingine chochote, hakuna kitu kama uchawi. Nitawashauri pia watanzania wengi wasikimbilie kufikiria kila kitu ni uchawi.
Kama una elimu ya hii kitu kwa nini usipige hela bongo! Kuna vyuo wanafundisha?
 
Kama una elimu ya hii kitu kwa nini usipige hela bongo! Kuna vyuo wanafundisha?

Sina interest kwenye magic mkuu nina kazi nayoipenda sana. Tafuta kwenye internet utaona wanachokifanya hawa jamaa, mtu yeyote anaweza jifunza na akafanya vizuri tu.
 
Sina interest kwenye magic mkuu nina kazi nayoipenda sana. Tafuta kwenye internet utaona wanachokifanya hawa jamaa, mtu yeyote anaweza jifunza na akafanya vizuri tu.
Ok, poa
 
Hizo ni trick tu..search youtube utakutana na mazingaombwe kibao then wanakuonesha trick wanazofanya...

Usikimbilie kwenye nguvu za kiza!
 
Namkubali sana Dynamo. Kale kajamaa kama kazombi jini vile kalivyo!
 
Back
Top Bottom