The bourgeoisie is the way forward for Tanzania

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
To begin with let me just start by saying that the following is my opinion. It is neither wrong nor right but meant to ignite a serious discussion about or countries future.

I strongly believe that the bourgeoisie(middle class) is the future of Tanzania, it has always been but never lived up to it's potential. Before I give reasons why the middle class is the way forward let me first state the other social classes in Tanzania and why they are not what is going to thrust Tanzania into it's destiny. Some may believe that the other social classes are the way forward but that is their opinion.

There are visibly three(3) classes in Tanzania. 1)The farming and manual labor class, 2)The middle class and 3)The wealthy and ruling class.
1)The farming and manual labor(vibarua) class: These people include low scale farmers, petty merchants, no contract labor force etc. Although in Tanzania statistics are scarce but this group makes up about 80% of Tanzanians. They provide the hard workforce of the nation. They are what I like to call the "muscle workforce" since there strength is usually their capital. Why aren't they the way forward? For a number of reasons.
a)They are poor: When a person is poor they do not think of developing the country. They do not think what the country and other individuals lack. Rather they concentrate more on getting by. Who can blame them? If I myself have problems of my own why should I care about the problems of the other? The poor tend to concentrate more on helping themselves first and getting themselves out of their position. They are more family oriented. TOTALLY UNDERSTANDABLE!

b)They have no voice: What channels do they have to voice their opinion? Who even bothers to listen to them? In the days of strong workers' and trade unions they had a way of expressing their ills but that is no longer the case. How many strong labor unions are out there today?

c)They are uninformed: All of us here at JF have the luxury of access to various sources. We know what is going on. It is the fact that we know what is going on and what is wrong that we can come here and debate different ways of solving our problems. Most people in this class are just not well informed. And as the saying goes, "No research, no right to speak". If they are not well informed they can not make reasonable decisions or calculated risks regarding the well being of the country.

2)The wealthy and ruling class: They hold almost all the wealth and certainly all the power of the land. These are our industrialists, rich business owners and the top decision makers. So why are they not the way forward?
a)Out of touch: Even if a person was once poor, once they become wealthy or in power it is hard for them to relate to the normal wananchi. This group is out of touch with reality and is self serving.

b)Status quo:Most people if not all in this group want to maintain the status quo. This means that it is hard for them to adjust to changing circumstances and reality. They believe that maintaining the status quo is the way to maintain power, who can blame them?

Now we come to the bourgeoisie, our middle class. I call them the "Brain workforce" of our country. These are our educated professionals. They include high ranking civil servants, doctors, engineers, professors, journalists, teachers, medium scale business owners etc. There are plenty of reasons why they are the way forward.
a)Education: Most of the people in this group are educated. For those with a "legal" education, they are very good at what they do and took the time to horn and harness their crafts. They are very talented and skilled. They are supposed to be the THINKERS of the nation.

b)They are comfortable: They can afford all of their basic needs including some if not most of their wants. This gives them the luxury of being able to allocate some time towards national issues.

c)Best of both worlds: More so true for civil servants. They hold some wealth and some power but they are neither the wealthy or ruling class. They are the bridge between the working class and the wealthy ruling class. Most of the people from this group have their roots in the working class. In this way they are not so out of touch with the reality.

d)They are informed: Due to their position they know everything that is going on. They know the decisions being made by the ruling class and the dealings of the wealthy businesses class. They are in the know. They are present when big decisions are being made and reached. Information is power, if only they knew this and used it for the good of the nation.

e)Hot commodity: People in this group are a hot commodity, why? They are needed by the rest of the other groups. They provide labor for the working class but are also needed to work for the wealthy and ruling class. Both of the other groups directly need the bourgeoisie for their survival.

f)They have a VOICE: If you look at the age of the revolutions in Europe you will find that the bourgeoisie lead the revolutions. If you look at as recently as the struggle for independence you will find that they were lead by the bourgeoisie. If you look at today in a country like America it is the middle class leading the economic recovery and most of the governments goals of recovery are based on the middle class. Why? Because they have a voice which can't be ignored! The wealthy and ruling class will do whatever they do but they always aim to please the middle class.

So what can Tanzania do to utilize it's bourgeoisie? I think that lies with the individual person in this group. As soon as each improves individually the whole group and thus the whole nation benefits.
a)Education: Every single individual should see education as the way forward. We can't all be educated but the more educated people we have, the better.

b)Ever single individual in the bourgeoisie should recognize the power they hold and the position to change things they are in. They should see themselves as servants of the people and not just of one single group.

c)Selfishness: Almost every single person in the bourgeoisie aspires to move up to the higher class which is the wealthy and ruling class. That's why we see most of them opening up businesses or trying for political positions. This brings about them to inherit traits of the upper most class which is selfishness, self-serving and out of touch. If every individual in the bourgeoisie becomes less selfish and more interested in serving the nation rather than themselves then it will be a big victory for all of us.
Nyerere had solved this problem with "UZALENDO". But we are seeing less and less of this as time goes by.

I would like to end by saying that every Tanzanian has a part to play for the development of Tanzania. If each of us individually plays our part then we all benefit. Remember that in every team there is a captain and of course a few players who are more skilled and talented than others but that does not mean the other players are any less important. Let as all do our part for Tanzania.
 
Mkulu ahsante kwa uchambuzi mzuri. Ila ujatueleza ni kwa vipi hii middle class itatuletea hayo maendeleo! Nijuavyo mimi ni kwamba hii asilimia kubwa ya watu masikini ambayo ndiyo class ya chini ndiyo haswa inavote kuwaweka madarakani hao ruling class. Mpaka siku hii class ya chini (sijui lini) itakapopata hiyo elimu ya kujua nani wampe kura ili awaletee maendeleo ndiyo itakuwa mwisho wa umasikini wetu. Ukweli uliowazi ni kuwa, hiyo middle class ya wasomi na bureaucrats wengine hapa Tanzania bado iko weak sana kwa sababu zifuatazo:

  • Middle class ya Tanzania haitaki kushiriki katika political process, ambako ndiyo hasa mchango wao ungeonekana katika kupitisha na kutetea sera bora za maendeleo. Walio wengi wanabaki kuongelea nje ya majukwaa rasmi na matokeo yake tunapata viongozi dhaifu wenye PHD za online n.k
  • Research zimeonyesha kuwa kuna tatizo kubwa la kuallocate human resource Tanzania, mifumo mibovu ndani ya serikali imefanya watu wengi wenye uwezo kutofanya kazi serikalini, mfano huu utaratibu wa seniority based promotion hauzingatii performance ya mfanyakazi hivyo watu wengi ambao ni result oriented wanshindwa ku-cope.
  • Hakuna Independence ya kutosha katika maamuzi ambayo hawa wataalamu wanatakiwa kufanya, wanasiasa ambao tunajua siku zote wako present oriented ndiyo wanaweka msukumo wa nini kifanywe na wataalamu wetu, matokeo yake ni kushindwa kufanikisha utekelezaji wa malengo yaliyokusudiwa, mfano issue za Richmond, EPA n.k .
  • Kukua kwa mfumo wa kibepari nchini kumechangia zaidi hawa middle class kutumika kwa mabepari ambao sote tunajua kwa nchi masikini ubepari ni hatari sana especially serikali inapokuwa dhaifu kuuregulate. Vyuo vyetu vingi vinaanda vijana wafanye kazi katika sekta binafsi, degree program nyingi ziko kukuza ubepari lakini ubepari usiokuwa na mipaka ni hatari sana. Madhaifu yaliyopo serikalini, kama mishahara midogo, rushwa n.k inachangia pia wasomi wengi kutotaka kufanya kazi serikalini, na kwa nchi kama ya kwetu serikali bado inakazi kubwa ya kufanya kuleta maendeleo kuliko sekta binafsi na hivyo inahitaji watu makini.
  • Namalizia kwa kusema kuwa, hiyo asilimia 80 uliyosema amabayo ni kada ya chini ndiyo hasa kipimo cha umasikini wetu na msukumo unatakiwa kuelekezwa huko kwa kuipa elimu, afya, kukuza vyanzo vya kipato n.k kwani uchumi wetu unategema zaidi kilimo ambacho players ndiyo hao. Pia kada ya kati inapaswa kutumika ipasavyo kwa kuchukua nafasi za uongozi, kupiga vita rushwa, kupinga siasa chafu, kuimarisha mifumo ya kusimamia sheria, kuujua ubepari na athari zake, kutambua kuwa hii kada inaupinzani mkubwa kutoka kwa kada ya juu ambayo ni dhaifu na inalinda ubepari kwa nguvu zote, kutetea taaluma kwa nguvu zote, na mwisho na muhimu zaidi kujua kwamba viongozi wote bora duniani ni wale wenye hofu ya MUNGU hivyo kuazingatia maadili mema.
 
Unfortunately in Tanzania no one wants to be in the middle class! To some middle class is synonymous with "no class".. so either you are in the lower class or your striving to get into the upper class. Given the two choices why would anyone want to be in anyother class but the upper class?
 
Mzee Mwanakijiji,
Tanzania hatuna middle class kwa sababu tuna tabaka la watawala wezi na tabaka la watawaliwa. Unawezaje kumwita Daktari wa Tanzania kuwa middle class wakati mshahara wake haufikii hata robo ya mshahara wa mbunge? Unawezaje kumwita Mwalimu middle class wakati mshahara wake tunajua haumfikishi kokote? Na sasa hivi ardhi ambayo imekuwa kama ndiyo last refuge ya kila Mtanzania iko katika hatari ya kupokonywa na kuwekwa mikononi mwa wawekezaji? Tunakoelekea tunaunda tabaka la mabwana na watwana. Nothing in between.
 
Mkuu KeiKei asante kwa maoni yako na nita kujibu ifuatavyo:

"Middle class ya Tanzania haitaki kushiriki katika political process, ambako ndiyo hasa mchango wao ungeonekana katika kupitisha na kutetea sera bora za maendeleo. Walio wengi wanabaki kuongelea nje ya majukwaa rasmi na matokeo yake tunapata viongozi dhaifu wenye PHD za online n.k"

Ni wazi kwamba tuna bidi tujiulize ni sababu zipi zinazo fanya hii middle class isi shiriki kwenye political process. Mimi naona sababu kubwa ni kwama kuna watu wengi hata kwetu Tanzania wanaona siasa ni mchezo mchafu na they don't want any part of it. Little do they know that siasi kwa namna moja au nyingine tupende tusipende ina athiri maisha yetu. Kwa hiyo hili nadhani ni tatizo la mentality. Pia kuna ile kusema kwamba "siyo lazima nifanye mimi, ata fana mwingine". Mwishoni hamna anayefanya na ndiyo maana tupo hapa tulipo.

"Research zimeonyesha kuwa kuna tatizo kubwa la kuallocate human resource Tanzania, mifumo mibovu ndani ya serikali imefanya watu wengi wenye uwezo kutofanya kazi serikalini, mfano huu utaratibu wa seniority based promotion hauzingatii performance ya mfanyakazi hivyo watu wengi ambao ni result oriented wanshindwa ku-cope."

Kuna tofauti kati ya sekta binafsi na serikalini. Sababu kubwa ya serikali kuwa seniority based ni kutokana na ukweli kwamba serikali nyingi duniani(si Tanzania tu) zina value experience over anything else. Hii ni kwa sababu hamna tu anaye somea workings za serikali kwenye vyuo. Mtu ana somea taaluma yake na akiingia serikalini ana gain experience kufit na position atakayo pewa na majukumu anayo bidi atekeleze. I'm not saying this is right, I'm just saying that's the reality of it. Hata ukiangalia serikali za wenzetu(including nchi zilizo endelea), experience is valued more than anything. Lakini tatizo kubwa Tanzania ni kwamba hatuko merit based. Kwamba hata hiyo seniority oriented system kuna seniors wanaofaa sehemu fulani lakini hawapewi hizo nafasi.

"Hakuna Independence ya kutosha katika maamuzi ambayo hawa wataalamu wanatakiwa kufanya, wanasiasa ambao tunajua siku zote wako present oriented ndiyo wanaweka msukumo wa nini kifanywe na wataalamu wetu, matokeo yake ni kushindwa kufanikisha utekelezaji wa malengo yaliyokusudiwa, mfano issue za Richmond, EPA n.k ."

Hapa I agree with you 100%. Viongozi wetu wa kuteuliwa wana tatizo ya kujiona kwamba wao wanajua kuliko watu wenye taaluma zao. Wana sahau kwamba kiongozi leo yupi kesho hayupo but mabadiliko kwenye civil service in slow but gradual. Hii ina tokana na ulimbukeni na ego za viongozi wetu. Sasa what is the solution? We need wana taaluma ambao wapo bold enough kutumia taalumza zao na kuacha kuwa ma "yes man" tu. This is possible if only they had the courage to. Ukimuonyesha mtu kuwa 1+1=2 na why it is that way bas atakua mpumbavu kuku bishia na mwishoni ataishia kuumbuka yeye.

"Kukua kwa mfumo wa kibepari nchini kumechangia zaidi hawa middle class kutumika kwa mabepari ambao sote tunajua kwa nchi masikini ubepari ni hatari sana especially serikali inapokuwa dhaifu kuuregulate. Vyuo vyetu vingi vinaanda vijana wafanye kazi katika sekta binafsi, degree program nyingi ziko kukuza ubepari lakini ubepari usiokuwa na mipaka ni hatari sana. Madhaifu yaliyopo serikalini, kama mishahara midogo, rushwa n.k inachangia pia wasomi wengi kutotaka kufanya kazi serikalini, na kwa nchi kama ya kwetu serikali bado inakazi kubwa ya kufanya kuleta maendeleo kuliko sekta binafsi na hivyo inahitaji watu makini."

Unajua tatizo ni nini mkuu? Mfumo ni wa kibepari lakini mindset za watu ni za kijamaa. Ukiangalia jamii ya Kitanzania tunaishi kijamaa. Harusi watu wata changishwa, msiba mtu ata changa, mtu mmoja kwenye familia analea ukoo mzima etc. We as Tanzanians are a society which values collectivism rather than individualism. Collectivism ina uzuri wake tena mwingi tu sema ndiyo hivyo nayo siyo perfect na mapungufu yake ndiyo matokeo yake hapo juu.

"Namalizia kwa kusema kuwa, hiyo asilimia 80 uliyosema amabayo ni kada ya chini ndiyo hasa kipimo cha umasikini wetu na msukumo unatakiwa kuelekezwa huko kwa kuipa elimu, afya, kukuza vyanzo vya kipato n.k kwani uchumi wetu unategema zaidi kilimo ambacho players ndiyo hao. Pia kada ya kati inapaswa kutumika ipasavyo kwa kuchukua nafasi za uongozi, kupiga vita rushwa, kupinga siasa chafu, kuimarisha mifumo ya kusimamia sheria, kuujua ubepari na athari zake, kutambua kuwa hii kada inaupinzani mkubwa kutoka kwa kada ya juu ambayo ni dhaifu na inalinda ubepari kwa nguvu zote, kutetea taaluma kwa nguvu zote, na mwisho na muhimu zaidi kujua kwamba viongozi wote bora duniani ni wale wenye hofu ya MUNGU hivyo kuazingatia maadili mema."

I respectfully disagree. Ukiangalia nchi yetu we have limited funds. It makes more sense to develop the middle class rather than allocating funds to 80% of the country. I know some people might think sitakii mema asilimia kubwa ya watanzania but just here me out.
Narudia mfano wangu wa timu. Kwenye timu yoyote si lazima kila mchezaji awe na kipaji cha hali ya juu. Kuna hitajika wachache exceptional na wachezaji wengine wa kiwango cha kawaida. Look at almost any team utakuta kuna those one or two extraordinary players who are pushing the rest of the team. Well the team is the United Republic of Tanzania and those extraordinary players should come from the middle class. Now you might ask je kwenye kada ya chini hakuna wachezaji wenye vipaji? Well.....hao wenye vipaji ndiyo baadae wanaondoka kwenye hilo kundi la umasikini na kujiunga na the middle class. What I sugest is this:

We should be able to recognize those few in the lower class who are gifted and talented. These young men and women are the ones who will grow up to push the wheels of development of the country. System yetu iwe "scout oriented". System which can recognize the talented few and use them to the advantage of the whole country. Let's be honest not everybody is talented or gifted kwa bahati mbaya au nzuri. Let's have a system which allows people to excel and trust me those gifted people will be recognized and they will excel. Na kumbuka vipaji ni vingi. Kuna watu ni maskini na hawana akili za darasani ila wana excel kwenye tuseme biashara and they make it. Lakini kuna mwingine hata umpe mtaji upi wala muongozo upi hata weza kuinua maisha yake.


Again nakushukuru mkuu kwa kujibu post. Nimejifunza toka kwako na ume nifumbua mambo katika baadhi ya vitu.
 
Unfortunately in Tanzania no one wants to be in the middle class! To some middle class is synonymous with "no class".. so either you are in the lower class or your striving to get into the upper class. Given the two choices why would anyone want to be in anyother class but the upper class?

Nobody wants to be poor and everybody wants to move up in life. Ndiyo maana aliyepo kwenye kundi la masikini ata jitahidi apande kada na akisha fanikiwa kupanda kada na kuwa middle class it's natural ata taka kupanda tena. it's human nature. But guess what mkuu? Katika nchi yoyote duniani, you name it...wanaokuwa considered masikini ni wengi zaidi so there will always be a bunch of people aspiring to move up to the middle class. Now not everybody who is in the lower class will move up to the middle class and not everybody in the middle class will move up to the upper class due to competition in life. What I am looking at is not where somebody wants to be but where they are. Hata kama mtu ni middle class na ana aspire kuwa upper class he/she for the current period will still be middle class. Am I right mkuu?
 
Mzee Mwanakijiji,
Tanzania hatuna middle class kwa sababu tuna tabaka la watawala wezi na tabaka la watawaliwa. Unawezaje kumwita Daktari wa Tanzania kuwa middle class wakati mshahara wake haufikii hata robo ya mshahara wa mbunge? Unawezaje kumwita Mwalimu middle class wakati mshahara wake tunajua haumfikishi kokote? Na sasa hivi ardhi ambayo imekuwa kama ndiyo last refuge ya kila Mtanzania iko katika hatari ya kupokonywa na kuwekwa mikononi mwa wawekezaji? Tunakoelekea tunaunda tabaka la mabwana na watwana. Nothing in between.

Mkuu kuna daktari wanalipwa vizuri na kumbuka siyo kila daktari afanye kazi serikali or in that case mwalimu. Hapo ndipo tunapo kosea. Kuna madaktari na walimu wapo kwenye private sekta na wanalipwa vizuri. How do you account for them? Na ngoja nikupe mfano mmoja kukuonyesha kuwa ipo middle class Tanzania. Kuna mfanyakazi ambae ana nyumba, gari na mahitaji yake yote muhimu. yeye kaaajiriwa na tajiri mwenye kampuni fulani while yeye kamuajiri housegirl wake na shamba boy wake. Je housegirl huyu ni sawa na muajiri wake? Je huyo aliye muajiri housegirl ni sawa na tajiri aliye muajiri? Kusema Tanzania hatuna middle class ni way off. It is there and it is obvious. It might not be the same us other countries but it is there.
 
Hongera MwanaFalsafa kwa thread yenye changamoto.

Nionavo ni hiviii...

Mfumo mzima
Chimbuko hasa la mabadiliko kueza kuwa ya maana ni kuwa na mfumo bora wa kujitawala unaohakikisha yafuatayo:

  • mgawanyo wa rasilimali wenye kuinufaisha jamii nzima
  • usawa ktk jamii.kwa maana ya haki na wajibu mbalimbali
  • ku-discourage ubinafsi na forms zake zote

Matatizo niyaonayo kwenye mapendekezo yangu ni kuwa:

  • Je tunaona umuhimu wa kubadilisha mfumo? Wangapi wetu?
  • Unaanzia wapi kueka mfumo mpya? Mechanism ipi?


Ushiriki wa watu
Kama mdau mmoja alivosema hapo juu, mathematically speaking, mabadiliko ya haraka yatatokea kama watu wengi zaidi wakiwa na mwamko na kuyataka hayo mabadiliko.
Hatutegemei watu wote wawe ndio vinara wa mabadiliko, lakini mabadiliko ambayo wengi ya watu wetu wakiwa hawayaelewi itakuwa vigumu kwao kuyaishi.

Matabaka
Matabaka ktk jamii ni matokeo ya mfumo wa kibepari unataka watu wa-compete ktk kila kitu. Mabepari wanataka watu daima wa-compete na wanaweka demand ya competition ktk almost kila kitu. Competition whether fair au sio fair inahakikisha kuwa kunakuepo kwa 'loosers'. Kwa watu wanaoshindwa ndio wanakuwa wa tabaka la chini au la kati. Kaa nilivosema hapo juu, njia ya kuondoa matabaka ni ku-adopt mfumo unafukuzia mbali ubinafsi.
 
Hongera MwanaFalsafa kwa thread yenye changamoto.

Nionavo ni hiviii...

Mfumo mzima
Chimbuko hasa la mabadiliko kueza kuwa ya maana ni kuwa na mfumo bora wa kujitawala unaohakikisha yafuatayo:

  • mgawanyo wa rasilimali wenye kuinufaisha jamii nzima
  • usawa ktk jamii.kwa maana ya haki na wajibu mbalimbali
  • ku-discourage ubinafsi na forms zake zote

Matatizo niyaonayo kwenye mapendekezo yangu ni kuwa:

  • Je tunaona umuhimu wa kubadilisha mfumo? Wangapi wetu?
  • Unaanzia wapi kueka mfumo mpya? Mechanism ipi?


Ushiriki wa watu
Kama mdau mmoja alivosema hapo juu, mathematically speaking, mabadiliko ya haraka yatatokea kama watu wengi zaidi wakiwa na mwamko na kuyataka hayo mabadiliko.
Hatutegemei watu wote wawe ndio vinara wa mabadiliko, lakini mabadiliko ambayo wengi ya watu wetu wakiwa hawayaelewi itakuwa vigumu kwao kuyaishi.

Matabaka
Matabaka ktk jamii ni matokeo ya mfumo wa kibepari unataka watu wa-compete ktk kila kitu. Mabepari wanataka watu daima wa-compete na wanaweka demand ya competition ktk almost kila kitu. Competition whether fair au sio fair inahakikisha kuwa kunakuepo kwa 'loosers'. Kwa watu wanaoshindwa ndio wanakuwa wa tabaka la chini au la kati. Kaa nilivosema hapo juu, njia ya kuondoa matabaka ni ku-adopt mfumo unafukuzia mbali ubinafsi.

Asante mkuu kwa post yako. Kuna sentesi moja umenena na ndiyo haswa mawazo yangu mimi in a nut shell. Umesema "Hatutegemei watu wote wawe ndio vinara wa mabadiliko, lakini mabadiliko ambayo wengi ya watu wetu wakiwa hawayaelewi itakuwa vigumu kwao kuyaishi."

Ni kweli kabisa wote hatuwezi kuwa vinara wa mabadiliko. Ninacho ona mimi ni kwamba hao watu ambao ndiyo wana takiwa kuwa vinara wa mabadiliko wana hitaji kuencourage others kuyaelewa. The majority have to be inspired by those few. Hapa nitoe mfano ambao kidogo upo off topic lakini kidogo una husiana.
Obama alishinda kwa kutumia grass roots na siyo the establishment. Kashinda kwa kuhubiri "Change we can believe in". Now he had to make the people believe in that change. Alivyo hamasisha watu ndipo watu waka amini na kuwa inspired kufanya kitu. Slogan yake ilikua "Yes we can!" Ilibidi awaaminishe kwanza watu kwamba kweli ndiyo wanaweza. Many people in AMerica thought their vote won't even count but he made them believe that yes their vote did count and yes it did. Ni wakati sasa wa vinara kuinspire "Change everyone can believe in".

Kuhusu mfumo mkuu ita chukua muda kubadili mfumo. Kwanza watu wanabidi wabadilishe mentality. Na kama unavyo jua mkuu Abduhalim leo niamke niseme kesho unabidi ubadilishe tabia fulani ambayo umekua nayo haraka iwezekanavyo hautaweza. It will take time mfumo kubadilika.

Kuhusu ubepari mkuu mimi binafsi nadhani ina mazuri yake. Ubepari ina encourage competition which pushes every one to be better. Ujamaa una encourage uvivu kwa namna fulani because naona ina encourage slackers ambao wanajua hata wasipo fanya chochote msaada upo. Japo mkuu umepinga ubepari lakini hauja taja mbadala yako. Labda unge taja nini unaona mbadala ya ubepari tungeweza kuiscrutinize na kuona how much it stands kwenye reality ya maisha Tanzania.

Again mkuu asante for your useful post.
 

Kuhusu ubepari mkuu mimi binafsi nadhani ina mazuri yake. Ubepari ina encourage competition which pushes every one to be better. Ujamaa una encourage uvivu kwa namna fulani because naona ina encourage slackers ambao wanajua hata wasipo fanya chochote msaada upo. Japo mkuu umepinga ubepari lakini hauja taja mbadala yako. Labda unge taja nini unaona mbadala ya ubepari tungeweza kuiscrutinize na kuona how much it stands kwenye reality ya maisha Tanzania.

Again mkuu asante for your useful post

Uzuri wa ubepari ni kama mwanamke anayejikwatua, hana urembo wa asili. akinyeshewa na mvua, makeups zote zinapotea. Ndivo ilivo. Ubepari hauwezi ukajitegemea wenyewe(lack sustainability) kwa maana unajikontradict. Ubepari una-assume kuna infinite opportunities and resources to pursue, which is extrinsically and intrinsically fallacious. Kama kungekuwa na infinite resources na opportunities, ningekuwa wa kwanza kusapoti ubepari.

Ubepari una-incourage competition, lakini hausemi anayeshindwa afanyeje au aishije. Hapo ndipo matatizo yanapoanzia.Sio tu hilo, bali ubepari unahamasisha UBINAFSI. Sasa ubinafsi unapohalalishwa na kusimamiwa, inabidi uje na wapambe wake wanaomsapoti ili aweze kusimama. Ndio maana ktk hali kama hiyo kunakuwa na kuambatana na kila uovu unaoendana na ubinafsi.

Unapokuwa na mfumo wa 'the winner takes all' ndo maana kuna masumbufu kila mahali watu kutumia mbinu chafu mathalan kushinda uchaguzi kwa kuiba kura au kuhonga, uwizi kwenye makampuni, rushwa za aina zote, wanamichezo kutumia madawa ya kuongeza nguvu et etc..Haya ni matokeo ya kushangilia mfumo wa kibepari...and this kind of problems will continue ad infinitum isipokuwa watu watakapoamua kuacha kupiga hodi kwenye picha ya mlango uitwao ubepari.

Umeuliza alternative, alternative to kuacha kukumbatia mifumo ambayo hata ukiitazama tu vitabuni unaona inafeli..mmojawapo ni huu mfumo wa kibepari. Ukiniuliza mfumo upi ufuatwe, ni vigumu kuuelezea lakini unasifa zifuatazo.

1. Hausapoti individualism na ubinafsi.
2. Competition should be discouraged, lakini wajibu wa watu kufanya kazi uwe mandatory.
3. Uzingatie usawa ktk haki na wajibu, mahitaji ya kibinadamu etc
4. Uzingatie common good of humanity
5. Utawala wa dizaini ya DECI ufutiliwe mbali
6. etc etc
 
Mkuu Abdlhalim asante. Naelewa mawazo yako japo kidogo nadhani hayapo realistic. Competition is human nature na hakuna mfumo utakao kuja ambao utakua perfect. Nadhani mfumo unao usuggest wewe as good as it is imekaa kiUtopia zaidi. You are relying to much on the good of human nature which in the end will only disappoint you.
 
Mwana F.
Thanks for this post...... just thinking aloud..
hivi Tanzania ..what is the size of the middle class?
Nikiangalia middle class ya Tz..majority ni wale wanao fluke ( EPA thieves, unscrupulous business speculators au wabangaizaji - mapedejee wanaotapeli watu - the likes of these)... hakuna real sizeable middle class kwa sababu ukiangalia hata walio na kazi zenye vipato vya kuaminika, wenye kufanya kazi halali- majority wako kwenye income bracket ya chini ya shillingi laki tatu kwa mwezi ( less than $ 300!)...Kweli watu wana elimu lakini fursa karibu zote zimeshikiliwa na ama walio utawalani( rulling class) ama matapeli wenye kujua kujikomba na wanasiasa.

Hii middle class ambayo ingeweza kuikomboa nchi yetu ni ndogo mno.Nadhani Mh.Rais alianza kwa lengo zuri sana la kutaka kujenga a sizeable middle class lakini amekosa ushirikiano wa watendaji wake ambao hawako tayari ku share walichokihodhi na wengine kwa maana ya kuachia fursa kwa wengine.Utaona wana siasa ndio wameshikilia njia muhimu za uchumi, fursa mbalimbali - kuwa na hisa kwenye makampuni yaliyokuja kuwekeza etc.

Bado nitarudi katika ile point niliyotaka kuileta kwenye thread yangu ya 'sababu za umaskini wetu TZ nini ?"- kwamba mifumo yetu ya maadili, traditions and values umekengeuka na ndio maana tutabaki masikini for a long time.
Kuja kuwa na middle class itakayoleta mabadiliko ya kweli itachukua muda mrefu sana.Ni mawazo yangu tu.
 
Mkuu Abdlhalim asante. Naelewa mawazo yako japo kidogo nadhani hayapo realistic. Competition is human nature na hakuna mfumo utakao kuja ambao utakua perfect. Nadhani mfumo unao usuggest wewe as good as it is imekaa kiUtopia zaidi. You are relying to much on the good of human nature which in the end will only disappoint you.

Of course naongelea utopian society, kaa hatuongelei ku-thrive into a perfect society hata hii thread yako ni sheer futility. Nimeongelea perfect society ili kwamba kama tukishindwa sana tufikie asilimia kadhaa kuelekea perfect society, same kama wewe ulivoeka mawazo yako kuhusu middle class Tz. Target lazima iwe certain good traits, na mafanikio lazima yapimwe against kitu perfect. Some sort of modelling.

Kusema competition is human nature nadhani si sahihi. Competition ni kitu artificial kinachowekwa, sina haja kuelezea zaidi kitu kilicho obvious.
 
Mwana F.
Thanks for this post...... just thinking aloud..
hivi Tanzania ..what is the size of the middle class?
Nikiangalia middle class ya Tz..majority ni wale wanao fluke ( EPA thieves, unscrupulous business speculators au wabangaizaji - mapedejee wanaotapeli watu - the likes of these)... hakuna real sizeable middle class kwa sababu ukiangalia hata walio na kazi zenye vipato vya kuaminika, wenye kufanya kazi halali- majority wako kwenye income bracket ya chini ya shillingi laki tatu kwa mwezi ( less than $ 300!)...Kweli watu wana elimu lakini fursa karibu zote zimeshikiliwa na ama walio utawalani( rulling class) ama matapeli wenye kujua kujikomba na wanasiasa.

Hii middle class ambayo ingeweza kuikomboa nchi yetu ni ndogo mno.Nadhani Mh.Rais alianza kwa lengo zuri sana la kutaka kujenga a sizeable middle class lakini amekosa ushirikiano wa watendaji wake ambao hawako tayari ku share walichokihodhi na wengine kwa maana ya kuachia fursa kwa wengine.Utaona wana siasa ndio wameshikilia njia muhimu za uchumi, fursa mbalimbali - kuwa na hisa kwenye makampuni yaliyokuja kuwekeza etc.

Bado nitarudi katika ile point niliyotaka kuileta kwenye thread yangu ya 'sababu za umaskini wetu TZ nini ?"- kwamba mifumo yetu ya maadili, traditions and values umekengeuka na ndio maana tutabaki masikini for a long time.
Kuja kuwa na middle class itakayoleta mabadiliko ya kweli itachukua muda mrefu sana.Ni mawazo yangu tu.

Asante WoS. Ni kweli Tanzania middle class haijawa develop but it depends nailinganisha na nchi gani. Tukumbuke kuwa Tanzania bado ni nchi maskini. Na either way the middle class will grow as more and more people are educated. Kuhusu kusema kuwa middle class wengi ni flukes kutokana na wizi I think that is wrong because that is taking away from the majority who I think have made it legally. I don't believe that the flukes are a majority, they are just a minority whic gets a lot of attentio do to obvios reasons.
 
Back
Top Bottom