Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,811 Reaction score 13,765 Jul 28, 2011 #21 Sidhani hata kama alikumbuka kuhitimisha mkutano...
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Jul 28, 2011 #22 teh teeeh tehe...................
AshaDii Platinum Member Joined Apr 16, 2011 Posts 16,189 Reaction score 18,116 Jul 28, 2011 #23 The Boss said: he hee umesahau zile kanuni za utanashati? labda amevaa suti kali kunizidi,kajitafutia kupunguzwa lol Click to expand... ahh... kwa zile kanuni kweli unamtoa... lakini weweza muweka Sever unit awe analinda usalama wa vifaa huko badala ya kumfukuza...lol
The Boss said: he hee umesahau zile kanuni za utanashati? labda amevaa suti kali kunizidi,kajitafutia kupunguzwa lol Click to expand... ahh... kwa zile kanuni kweli unamtoa... lakini weweza muweka Sever unit awe analinda usalama wa vifaa huko badala ya kumfukuza...lol
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,941 Jul 28, 2011 #24 mikatabafeki said: teh teeeh tehe................... Click to expand... Heee..ivi ni mimi tu ama? huyu jamaa anakaa huyo wa kwanza hapo mbona. Kwa hiyo tuna; - Mikatabafeki - Rejao - AshaDiii - Boss! Nani afukuzwe kazi!??
mikatabafeki said: teh teeeh tehe................... Click to expand... Heee..ivi ni mimi tu ama? huyu jamaa anakaa huyo wa kwanza hapo mbona. Kwa hiyo tuna; - Mikatabafeki - Rejao - AshaDiii - Boss! Nani afukuzwe kazi!??
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,653 Jul 28, 2011 #25 Rev Fr Masanilo said: Nimepokea PM toka kwa PAW eti huyo mdada nyuma ni Asha wa DII Click to expand... ni yeye aisee but simpunguzi for now,natafuta namna awe more useful..lol
Rev Fr Masanilo said: Nimepokea PM toka kwa PAW eti huyo mdada nyuma ni Asha wa DII Click to expand... ni yeye aisee but simpunguzi for now,natafuta namna awe more useful..lol
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,653 Jul 28, 2011 #26 Mentor said: Heee..ivi ni mimi tu ama? huyu jamaa anakaa huyo wa kwanza hapo mbona. Kwa hiyo tuna; - Mikatabafeki - Rejao - AshaDiii - Boss! Nani afukuzwe kazi!?? Click to expand... wewe naona unasahau nafasi yako na ya wenzako... mimi ndo ninae amua nani afukuzwe so far..... inanipendeza kukufukuza aisee lol
Mentor said: Heee..ivi ni mimi tu ama? huyu jamaa anakaa huyo wa kwanza hapo mbona. Kwa hiyo tuna; - Mikatabafeki - Rejao - AshaDiii - Boss! Nani afukuzwe kazi!?? Click to expand... wewe naona unasahau nafasi yako na ya wenzako... mimi ndo ninae amua nani afukuzwe so far..... inanipendeza kukufukuza aisee lol
Kiraka JF-Expert Member Joined Feb 1, 2010 Posts 4,630 Reaction score 4,691 Jul 28, 2011 #27 Rejao said: kuna mfanyakazi hapo namuona kibonge kuliko hata bosi! Yaelekea huyo ni an Accoutant! Click to expand... Kabisa mzee, halafu kati kati ya huyo na mama wa nyuma ambaye nahisi ni mama wa HR, kuna jamaa kama Engineer hivi....lol huo upara....
Rejao said: kuna mfanyakazi hapo namuona kibonge kuliko hata bosi! Yaelekea huyo ni an Accoutant! Click to expand... Kabisa mzee, halafu kati kati ya huyo na mama wa nyuma ambaye nahisi ni mama wa HR, kuna jamaa kama Engineer hivi....lol huo upara....
AshaDii Platinum Member Joined Apr 16, 2011 Posts 16,189 Reaction score 18,116 Jul 28, 2011 #28 Mentor said: Heee..ivi ni mimi tu ama? huyu jamaa anakaa huyo wa kwanza hapo mbona. Kwa hiyo tuna; - Mikatabafeki - Rejao - AshaDiii - Boss! Nani afukuzwe kazi!?? Click to expand... aaaisee....:smow:
Mentor said: Heee..ivi ni mimi tu ama? huyu jamaa anakaa huyo wa kwanza hapo mbona. Kwa hiyo tuna; - Mikatabafeki - Rejao - AshaDiii - Boss! Nani afukuzwe kazi!?? Click to expand... aaaisee....:smow:
Mkwaruzo JF-Expert Member Joined Feb 21, 2011 Posts 563 Reaction score 98 Jul 28, 2011 #29 The Boss said: sasa huduma ya kiroho si ndo utahitaji zaidi ukipunguzwa?? Au tumpunguze lizzy na ashadii hapo??? Click to expand... Mi ndo nilitaka kuja kuomba ajira kumbe nyie wenyewenu mnataka kupunguzana. Basi, nitaenda kuomba ajira ktk Shirika la Mgao wa Umeme.
The Boss said: sasa huduma ya kiroho si ndo utahitaji zaidi ukipunguzwa?? Au tumpunguze lizzy na ashadii hapo??? Click to expand... Mi ndo nilitaka kuja kuomba ajira kumbe nyie wenyewenu mnataka kupunguzana. Basi, nitaenda kuomba ajira ktk Shirika la Mgao wa Umeme.