The Boss, Sorry for your loss...

Poleni sana mkuu, mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana The Boss pamoja na wafiwa wote M/Mungu awafariji/awajalie nguvu wakati huu mgumu.
 
Last edited by a moderator:
Hii habari ilinipita wala sikuona. Ni habari ya kusikitisha.... "Innah lillah wa Innah lillah rajyun" Pole saana Boss. Mwenyezi Mungu awawekee wepesi katika shughuli yoote ya msiba huu mzito wa baba.

Kongosho asante saana kwa taarifa hii.
 
Pole sana The Boss

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…