The Boss, Sorry for your loss...

The Boss, Sorry for your loss...

Please accept my sympathy for the loss of your father.

Sina maneno ya kusaidia kupunguza machungu unayopitia sasa, lakini . .

Those we love remain with us, for love itself lives on, and cherished memories never fade because a loved one's gone.

Those we love can never be more than a thought apart. For as long there is a memory, they'll live on in our hearts.

So sorry for your loss.
Pole sana The BOSS its very bad information, my GOD be with you in this had time.
 
Mkuu The Boss, pole sana kwa kuondokewa na mzazi.
Mwenyezi mungu akupe subra na faraja katika wakati huu mgumu
 
pole sana mkuu mungu awatie nguvu katika wakati huu mgumu.pia amlaze pema peponi amin
 
The Boss pole sana mtani...Mungu awatie nguvu na kuwafariji katika wakati huu mgumu.
 
Last edited by a moderator:
Twapaswa kuandaa nasi zamu zetu ili tukilala usingizi tuew na tumaini la kuingia mbingu mpya na nchi mpya.
Pole sana kwa kupotelewa na mpendwa wako
 
Pole saaana,inshallah Mwenyezi amlaze peponi,na akupe na nguvu kwenye kipindi kigumu Kama hiki...
 
Afu tabia ya kujisogeza kwa mkweo siipendi. Ntamuambia mzee Mtambuzi!
Nitumie kwanza hiyo skuli fiiizi kwa western union, hata mie natamani kweli kusomea adabu.

Paw, nataka kumripoti abyuzi mkeo, ananletea fujo kwenye huzuni.

Masufuria tu? Napiga ugali kabisa, si unajua tena msukuma mie kwa ugali?

Afu nina mpango wa kuku-dis-own hata utoto wa kambo hadi ukasomee adabu.

Weeh unanichonganisha na step mother, nikiteswa nahamia kwako. Lione kwanza ndevu kama steelwire!
Kongosho achana nae ni bange zinamzingua tu huyu King'asti
We endelea kumfariji mfiwa.
 
Last edited by a moderator:
Siku chache zimepita, sikuwa na access ya internet, lakini naomba kuungana na wanaJf wengine kukupa pole kwa kumpoteza mtu Muhimu
 
Pole sana mkuu The Boss..
Mwenye enzi Mungu atakutia nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na baba yako mzazi..........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom