The Bold: Shukrani Wakuu

Mbona hujamtaja fulani?[emoji24] [emoji24] [emoji24].........yule mwenye herufi ya jr kwenye jina lake![emoji30]
 
Hongera mkuu The bold mwaka unaenda kuisha sasa wacha niseme wewe ni hazina una utajiri wa kutisha katika brain yako kipaji ulicho nacho ni cha kipekee sana mku.
Binafsi wewe ni mtu muhimu unaeyenielimishaga na kunifanya nakuwa nafuraha niingiapo hapa najifunza mengi kutoka kwako, mada zako na michango yako kwa kweli imenitanua sana upeo wangu wa mwono Respect sana mkuu& SALUTE.
 
The bold
Anayejituma na kuishi vema au kutimiza wajibu wake hupata heshima na ushirikiano toka kwa wengine,
Hii si bahati mbaya au muujiza ni jitihada zako kutimiza kile unachoamini kuwa kitawapendeza wengine basi nasi bila nongwa wewe kama Fanani unastahiki heshima kwa nawe umetenda pasi na majivuno kwa hadhira.
Basi nami bila fulusi nakupa kongole[emoji109][emoji109]
 
Neno wakati mwingine si kwa chuki bali challenge kama umerudi kutetea hoja kwa nguvu ya hoja badala ya hoja ya nguvu maana kipindi kile ukiwa na vita baridi na yule bi. Dada mange ulikuwa umetumbukiwa nyongo hukuwa na simile na wala hukuzikwepa fatiki basi nawe makofi kwako[emoji122][emoji122] maana kupata heshima si kazi bali kazi kulinda heshima yako
 
Shukrani sana sunola! Salute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…