Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #221
One love brother! Shukrani..ingawa hujanitaja lakn umekua n member ambae unatupaga extraodinary story especially kwa GT.tuombeane tuvuke salamaa ndgu.nazipenda story zako..Mola atubarik wte tufike 2017
Nisamehe bure Mkuu G'taxi! Hii Tag list kuna mahali nimeisevu sasa mda mwingine nikipaste hapa inaruka baadhi ya majina.. Ni matatizo ya kiufundi tu mkuu ila upo kichwani mwangu mkuu..Brother umenisahau,si tulikubaliana tutafanya Movie ya ile story kule hollwood?nikajua mi ni mshirika mkuu niko kwa akili yako [emoji3] [emoji2]
Pamoja sana Mkuu Guasa Amboni! Shukrani..Pamoja sana ndugu uwepo wako na mimi na yule ndio tunafanya jf uendelee kuwepo mada zako huzifurahia sana na kunijenga kiasi flan lazima nikiri ombi langu endelea kutuelimisha na ubarikiwe sana.
Mpaka unatamani kumnyamazisha kweli inaboa lakini lol
Mbona nilikujibu kule ulikonifuata uksaema kuna swali nimekimbia kwenye uzi huuSijasahau ile kesi yetu! wewe endelea tu kunikimbia kimbia.. [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona nilikujibu kule ulikonifuata uksaema kuna swali nimekimbia kwenye uzi huu
Nilikujibu kwamba hata wewe utashangaa hivyo usiwe na hofu hamna chochote cha ajabu
The bold ni Kijana makini mwenye asili ya tanga na anayeishi dar na makazi Dodoma kwa sasa yuko uchina kimihangaiko.The bold ni nani?
Katika wanawake ninowapenda Nifa is prominentl onez! i wish ningeweza kukutolea hata mahari una mvuto sana! Mungu akubarik sana nakutakia xmass njema pamoja na mwaka mpya! i wish see u one daySure...
Let love lead the way.
Thank you [emoji120]
Shukrani sana HOE! You made a big impact katika kipindi kile kigumu nilichokuwa nakabiliana nacho.. Hakuna kitu kizuri kama kujua kuna watu ambao wanajali usalama wako na kukutakia kheri.. Efforts zako kunijulia hali na kunitia moyo zilinipa faraja kubwa sana.. Thank you so muchmkuu @ the bold I truly appreciate your kind words for the efforts I once made.. sikuwahi kufikiri kwamba ingekua na impact kwako na hadi leo nikawepo katika list ya watu unaowapa shukran. I am humbled you know (in Lemutuz voice)
Napenda makala zako huwa zinanifanya niwe kama naona picha lenyewe la tukio zima lilivyokwenda. na most of the time nasoma makala zako usiku wa manane nikiwa nimeshtuka usingizini. Niwe nimetulia no makelele
I am your greatest fan and keep up the good work.
Shukrani sana Mkuu..Ni ngumu kushukuru watu wote humu ila kweli itabaki kweli makala zako zinafundisha, zinaelimisha, zinafulahisha kiufupi unasaidia watu wengi sana
Nashukuru sana Mkuu! Nawe pia nakutakia heri tuuone mwaka mpya salama..The bold Mungu akupe maisha marefu yenye fanaka nikutakie maandalizi mema ya kumaliza mwaka na kuanza mwaka mpya.
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Wooooow nimeipenda hii mshana.
[emoji115] [emoji120] [emoji106] [emoji109] [emoji116][emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Shukrani sana Mkuu! [emoji120]
Wooooow nimeipenda hii mshana.
Asante kwa ubunifu huu...
As his woman,nimeipenda sana kwakweli.
Naisave kabisa ktk gallery.
Ubarikiwe [emoji120]
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Shukrani sana Mkuu! [emoji120]
Wooooow nimeipenda hii mshana.
Asante kwa ubunifu huu...
As his woman,nimeipenda sana kwakweli.
Naisave kabisa ktk gallery.
Ubarikiwe [emoji120]