The biggest whale ever...!!!

The biggest whale ever...!!!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,108
1415042377584.jpg
 
Exactly it didn't fit as the picture shows

Mkuu, jamaa amemaanisha kuwa huyo kwenye picha ni mtoto tu kati ya hao wadudu, MKUBWA kabisa aliyewahi kupatikana alikuwa na UZITO wa TANI 200 jumla, moyo wake ni nusu tani, damu ni tani sita na anakula tani nne kwa mlo wake. Sidhani kama hiyo truck ingehimili, huyo ndo BLUE WHALE anayemsemea hapo mkuu!
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Blue whale utambeba na asienee kwenye treni yenu yenye mabehewa 10
 
Weee blue whale noma! Hio hapo kwenye trela ni labda ile sperm yake yani mbegu yake 1 ya kiume kwenye shahawa!
Halafa akipiga goli anazitoa kama billion 1!
 
Back
Top Bottom