Kujiona mwenye amani ndiyo Ukweli uliyokuwa ukiiutafuta kwani?kitu nilichoshindwa kukielewa ktk maisha yangu yote,ni haya mambo ya dini!!nimezaliwa nimezikuta dini kitambo zipo..huyu anasema hili,yule anasema lile,nimekuwa nikichanganyikiwa ipi ni dini ya ukweli nimefanya kila niwezalo nimeshindwa!!..
sasa nimeamua kuishi tu bila kufuatilia imani yoyote ile na sasa najiona ni mwenye amani sana!!
Sioni ulazima wa mie kusema naamini kitabu kipi hapo au siamini kabisa,maadamu tunazungumzia uwongo uliyopo kwenye hivyo vitabu basi hakuna haja ya kujua imani yangu.
Nakuambia hivyo maana pia bible na quran vinapingana sana vyenyewe kwa vyenyewe mbona, inamaana hapa kama vinapingana ujue huoni kama kuna uwongo ktk vitabu hivyo kwann vipingane kama vyote ni vya kweli? Ndio nikakuuliza ww unaamini kipi?Sioni ulazima wa mie kusema naamini kitabu kipi hapo au siamini kabisa,maadamu tunazungumzia uwongo uliyopo kwenye hivyo vitabu basi hakuna haja ya kujua imani yangu.
Mkuu hujamjibu swali ili kumsaidia mtajie ww ipi dini ya kweli km mungu ni mmoja kwann kuwe na dini nyingi duniani? Mbona sheria za hesabu ktk sayansi hazibadiliki mfano mwandishi wa kitabu chochote ktk force atasema f=ma awe mjerumani,mtanzania,mchina,mwarabu ina maana wote ujumbe wao mmoja sasa kwann huyu mungu ana vitabu vingi vyenye ujumbe tofauti ikiwa yeye ni mmoja? Kwann dini zote zisiwe na sheria mmoja km sheria za hesabu ambazo hazibadiliki ht ukibadilisha lugha?Kujiona mwenye amani ndiyo Ukweli uliyokuwa ukiiutafuta kwani?
Mie nimetaka kujua uwongo wa kwenye hivyo vitabu umewekwa na nani na kwa sababu zipi? kwa sababu hata kama vingekuwa havipingani ila kama kuna uwongo itabaki kuwa kuna uwongo tu.Nakuambia hivyo maana pia bible na quran vinapingana sana vyenyewe kwa vyenyewe mbona, inamaana hapa kama vinapingana ujue huoni kama kuna uwongo ktk vitabu hivyo kwann vipingane kama vyote ni vya kweli? Ndio nikakuuliza ww unaamini kipi?
kitu nilichoshindwa kukielewa ktk maisha yangu yote,ni haya mambo ya dini!!nimezaliwa nimezikuta dini kitambo zipo..huyu anasema hili,yule anasema lile,nimekuwa nikichanganyikiwa ipi ni dini ya ukweli nimefanya kila niwezalo nimeshindwa!!..
sasa nimeamua kuishi tu bila kufuatilia imani yoyote ile na sasa najiona ni mwenye amani sana!!
Mkuu hata dunia nzima iamua tu kusema rais wa Tz ni Trump hiyo haifanyi iwe kweli Trump ni rais wa Tz.Mkuu hujamjibu swali ili kumsaidia mtajie ww ipi dini ya kweli km mungu ni mmoja kwann kuwe na dini nyingi duniani? Mbona sheria za hesabu ktk sayansi hazibadiliki mfano mwandishi wa kitabu chochote ktk force atasema f=ma awe mjerumani,mtanzania,mchina,mwarabu ina maana wote ujumbe wao mmoja sasa kwann huyu mungu ana vitabu vingi vyenye ujumbe tofauti ikiwa yeye ni mmoja? Kwann dini zote zisiwe na sheria mmoja km sheria za hesabu ambazo hazibadiliki ht ukibadilisha lugha?
acha uhuni huo rabii manake mwalimu shehe manake mzee huoni tofauti hiyo acha kulazimisha vitu.Rabbi(Rabai) neno la kiyahudi linalomaanisha Ustadh au sheikh,Jesus aka yesu aka Isa alikuwa anaitwa Rabai(Rabii) na mayahudi
Mkuu sidhani kama wanapinga uwepo wa Mungu wanachopinga watu ni Mungu huyu anayetaka pesa zetu kila wakati anayetaka tumswalie mara 5 kwa siku Mungu atakayewachoma oto watu inachopingwa ni Mungu anayeelezewa na vitabu vyetu pendwa biblia na qurani.Huwa najiuliza, kwanini nguvu nyingi, fedha, juhudi na maarifa ya hali ya juu yatumike kupinga uwepo wa Mungu? Kwa hali halisi kuna cha kujifunza, kuna haja ya kuyatafuta maarifa kadri mtu atakavyoweza. Kwa bahati mbaya sana kuna mabingwa wa upotoshaji, ukaaminishwa hata mambo ambayo kwa akiri ya kawaida yanatia shaka. Lengo hasa la kupinga uwepo wa Mungu kwa nguvu nyingi ni lipi? Aina inayotumika upingaji wa uwepo wa Mungu inatia shaka, ikitaka kuwaaminisha watu pengine wapotoke! Binafsi sio mtaalamu sana mambo haya, ila sidhani kama aina hiyo ya vitabu vitaniaminisha kutokuwepo kwa Mwenyezi Mungu.
Naomba hicho kitabu mkuuHabari za wakati huu wakuu,
Kwanza kabla yayote labda nitamke tu rasmi kwamba mimi ni muumini wa dini ya kikristu na dhima ya uzi huu sio ku-criticize our faith (for those Christians) Bali ningependa tuweze kushare mawazo kusudi kung'amua hasa kweli ni ipi. Baada ya kusoma nyuzi kadhaa za mkuu Likud na na comments za mkuu Kiranga, nilijaribu kutafuta vitabu kadhaa niweze japo basi kupata mwanga kidogo kuhusu ni ipi ni kweli. Kitabu cha The bible fraud (hivi vyote vimeandikwa na Tony Bushby) sikufanikiwa kukipata ila hiki cha secret in the bible nimefanikiwa kukipata na ndio niko mbioni kumalizia. Aisee,
Ukisoma hiki kitabu kuna shocking facts (truth) ambazo kiukweli zimenishtua hadi sasa moyo wangu hauna amani. Imagine what you have been made to believe turns out to be fake. Kwenye biblia kuna siri nyingi sana na according to bwana bushby, mtu aliyeitwa Francis Bacon ambae ni moja ya magenius waliowahi kutokea duniani, ambae pia ni among the earliest initiates (masonry) ndie aliyepewa jukumu LA kuandika biblia ya kwanza na king jes ambapo humo aliencode siri nyingi sana ambazo inabidi uwe enlightened kuweza kuzifahamu. Pia anasema Jesup christ had a twin brother na hakuuliwa kwa crucifixion bali he was stoned to death baada ya kukamatwa na hatia ya kuiba the ancient secrets from Egypt na ndipo alipoanza kuperform MIUJIZA. hizi ni baadhi ya screenshots za baadhi ya pages Kwenye kitabu hiko...
View attachment 775699
View attachment 775704
View attachment 775706
Naomba tuweze kujadili swala hili kwa marefu na mapana wakuu lengo ni kugain knowledge wala sio kukashifiana kiimani. Mods pls Naomba msiuunganishe huu uzi na nyuzi zingine na kwa atakae hitaji hiki kitabu nitampatia.
Ni kweli mkuu, kwanza wakristo tujiulize kwa nini vitabu vingine viliondolewa kwenye Biblia mfano The book of Enock na The gospel of Thomas?Mimi ni mkristo ila huwa sipendi kushikiwa akili zangu huwa ninapenda kufuatilia mambo kuna ishu nyingi sana nyuma ya pazia ambazo wakristo wengi huwa hatufahamu au tunaamua kushupaza shingo ishu kama za holy grail n.k .............kubali kutawaliwa kimwili ila sio kiakili ,wakristo tunapaswa kusoma vitabu vingi na si kuishia kukaririshwa bible tu kuna watu wameandika facts nyingi kuhusiana na hii faith............Hizi ni dini za kigeni hivyo tusiwe watumwa kiasi cha kutofanya tafiti za maandiko ya hii imani
Rabii kiyahudi, Mwalimu kiswahili,Maulana kipakistani,Sheikh kiarabu,Teacher kingereza,...IQ yangu kubwa sana kufananisah na yako,ningekusahuri pendelea kusoma vitabu mbali mbali kwa kuongeza uwezo wako wa kujuwa mambo(Knowledge)..acha uhuni huo rabii manake mwalimu shehe manake mzee huoni tofauti hiyo acha kulazimisha vitu.
ukija nayo uni weke niioneMkuu mimi ni mwislam lakini Rabai Isa aka Iso aka Jesus aka Yesu,hakuuliwa kwa kupigwa mawe hiii sikubaliano nalo,Kwa imani ya kiislam Yesu kweli alisulibiwa msalabani lakini hakufa,ukisoma biblia kuna sehemu nyingi zinazoeleza kuwa Yesu hakufa msalabanni..
Kweli biblia inamapungufu mengi,lakini hii ya Yesu kupigwa mawe mpaka kufa mpya,nitarudi na aya za biblia kuthibitishia kuwa yesu hakufa msalabani
Rabii kiyahudi, Mwalimu kiswahili,Maulana kipakistani,Sheikh kiarabu,Teacher kingereza,...IQ yangu kubwa sana kufananisah na yako,ningekusahuri pendelea kusoma vitabu mbali mbali kwa kuongeza uwezo wako wa kujuwa mambo(Knowledge)..
huwezi kuwa muislamu ukawa na IQ kubwa sawa na kuwa na pembe tatu duara nearly impossible.Rabii kiyahudi, Mwalimu kiswahili,Maulana kipakistani,Sheikh kiarabu,Teacher kingereza,...IQ yangu kubwa sana kufananisah na yako,ningekusahuri pendelea kusoma vitabu mbali mbali kwa kuongeza uwezo wako wa kujuwa mambo(Knowledge)..
Mkuu mimi ni mwislam lakini Rabai Isa aka Iso aka Jesus aka Yesu,hakuuliwa kwa kupigwa mawe hiii sikubaliano nalo,Kwa imani ya kiislam Yesu kweli alisulibiwa msalabani lakini hakufa,ukisoma biblia kuna sehemu nyingi zinazoeleza kuwa Yesu hakufa msalabanni..
Kweli biblia inamapungufu mengi,lakini hii ya Yesu kupigwa mawe mpaka kufa mpya,nitarudi na aya za biblia kuthibitishia kuwa yesu hakufa msalabani
Uislam ndio uliolea ustarabu duniani...,hakuna mwislam asiekuwa na IQ kubwa,ukisoma na kukifahamu kitabu cha Quran tu inatosha kuzidisha umahiri wa IQ ya mtu,..huwezi kuwa muislamu ukawa na IQ kubwa sawa na kuwa na pembe tatu duara nearly impossible.