INAUZWA The best world perfume

ARCHITECT (Men)

Price/bei 94,000tsh

Kwa mawasiliano whatsapp/text to 0759827138
images-21.jpeg
 
VOYAGER (Men)

Price /bei 89,000tsh

Kwa mawasiliano whatsapp/text to 0759827138
images-46.jpeg
 
Kampuni gani mkuu
Kuna mdada mmoja hivi alidai mzigo ulikuwa unatoka kenya na it was way back 2015 mkuu....

But nahisi itakuwa ni hao oriflame maana alikuwa na tester zake kabisa ila nyingine bei zilikuwa zimesimama kwelikweli
 
Je nembo ilikuwapo mkuu
 
Kuna mdada mmoja hivi alidai mzigo ulikuwa unatoka kenya na it was way back 2015 mkuu....

But nahisi itakuwa ni hao oriflame maana alikuwa na tester zake kabisa ila nyingine bei zilikuwa zimesimama kwelikweli
Hapana kampuni yetu mzgo unatoka kiwandan sweden moja kwa moja na mizgo yote inafika makao makuu ya kampuni
 
Kuna kaushamba flani hivi kwa waafrica kuamini kuwa kitu kinachouzwa bei ghali ndo kizuri!!
Ukitaka kuwapata fanya hivi
Nenda China kanunue perfume ambayo ukija kuuza kwa bongo hata 30,000 bado utapata faida afu we itangaze kuwa inauzwa laki 8 kisha baada ya mda tangaza sale kuwa sasa unauza kwa 250,000/= ila ni ofa ya mwezi mmoja tu then itarudi kwenye 800,000/=
Utauza mpaka za store!!
 
Back
Top Bottom