*TENDER CARE PROTECTING BALM*
Kwa jina lingine bidhaa hii inaitwa SMALL BUT MIGHTY..Kwanini kwasababu bidhaa hii hufanya kazi nyingi kwenye ngozi yako..

Imetengenezwa na beeswax tuseme NTA ya nyuki ambayo ni asilia kabisa.

Tuone kazi za nta hii kwenye ngozi ya binadamu:

Huondoa seli za ngozi zilizokufa ambazo hukaa juu ya ngozi.

Huzuia muwasho wa ngozi na kuzuia ngozi isipauke sana na kukauka.

Huweka layer juu ya ngozi ambayo hii husaidia kuilinda ngozi na hali mbaya ya mazingira kama upepo hasahasa Jua

Huzuia fungus au bacteria wasishambulie ngozi

Huzuia maumivu kama kuungua au kung'twa nyuki

Huondoa makovu..
Na pia kuna VITAMIN E ambayo hii hasa husaidia ngozi isiharibike na Mionzi mibaya ya Jua ambayo husababisha madhara kama ngozi kuoza nk nk.

MATUMIZI:
Hupakwa sehemu zozote kavu mwilini -Visigino
-viwiko
-lips za mdomo
-magoti
-kwenye vidole
au sehemu yeyote ya ngozi ambayo inahitaji kulainishwa au kutibiwa kama vidondo vya kuungua moto nk.
Bei ni 13,000tsh
Kwa mawasiliano 0759827138whatsapp/text