The best short-time Guest House in Arusha

The best short-time Guest House in Arusha

panda gari la kisongo ukifika uliza kwa ngurumo ya upako hapo utapata kila kitu.
 
Ulishapona govinda mkuu Gogle
 
Last edited by a moderator:
Asanteni wote mlionipa ushirikiano, tayari nimeshapata mahali patulivu, Samahani wale niliokwaza.
Uzi umefungwa, ikiwezekana mods uondoeni. Mimi napumzika saivi.
 
Washika dau A town,

Nipo Arusha tangu Jana jioni kwa ajili ya shughuli ya kifamilia, nimefikia nyumbani kwa mmoja wa wanafamilia, tayari nimeshamvaa demu mkali ambae kama Mimi nae yuko hapa A- town kwa ajili ya hii shughuli , na kuna kila dalili kwamba nafanikiwa kumng'oa, kwa vile najua JF ni kila kitu, washika dau wa Arusha mliopo humu jf naomba mnielekeze mahali ilipo nyumba ya wageni wa muda mfupi iliyo nzuri nikajipumzishe
Asanteni.

Tutafika na hii zinaa kweli.....??
 
Back
Top Bottom