kwa kifupi viongozi wa tanzania hufikiria very stupidly!!
..watanzania wengi kwa jumla,hata mimi!
wanadhani wakipandisha gharama za vitu kila kukicha ndio kukua kwa uchumi
..ni kutokujua,kunako pumbazwa na maisha mazuri baadhi yetu/yao waliyonayo...hivi viji pesa!wakati nchi haijengwi kwa watu wachache kufaidi maendeleo na kuendelea!
au ndio sense of superiority
..we are not,on every sense of the word!
au ndio kupanda kwa GDP!!mie nashindwa kuelewa kabisa yani hivi wanatumia ubongo au??
..sidhani!kwani gdp imepanda?simply ni kutokana na kutofuata ushauri wa wataalamu na watu kuwa wabinafsi!
asilimia 70 ya consumer comodities tanzania ziko kwenye price range ya europe or even more!!!sasa najiuliza kitu kimoja...,does tanzanians earn more than europeans??
..kwa sababu,not best known to me,kuna gharama kubwa sana za kuendesha shughuli almost zote za kiuchumi tz[kodi etc inaweza ikachangia kwa kiasi kikubwa].sasa,huwezi kutoa huduma currently bila kupandisha bei,simply hailipi!waulize watoa huduma watakwambia!
..mbaya zaidi ni kuwa mtanzania wa kawaida hana kipato cha kuweza ku-afford most of this services!lakini kwa kuwa kila mtu hula kazini kwake basi baadhi humudu!
why the hell do we even try to compare??kuna tatizo gani kilo ya mchele ikauza shilingi mia moja??hata kama europe inauzwa sh 2000??
..lets go step by step!...mkulima anatumia shg ngapi kuzalisha mpunga?how about kununua mbegu,his/her labour input,and other expenses?..bei ya mchele iliyopo ni sahihi,pengine hata ni ndogo!ila anayefaidi si mkulima!ni mchuuzi!
yani crude oil ikipanda 2% kale kanchi ketu watu wanapandisha bei 100%!!why???
..ujanja mwingi juu ya bei halisi!
najua east africa hakuna internet/telecommunication backbone(which is under construction in indian ocean) but why the hell do we go for expensive alternatives always???why??
..we have very few choices,do we not?