The Best BongoFleva Singers Of All Time (GOAT)

The Best BongoFleva Singers Of All Time (GOAT)

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,649
Reaction score
14,319
Hii ndio list ya waimbaji bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania katika Bongo Fleva (Waimbaji na sio rappers)

Without particularly orders

Mr Nice
Mr Paul
Feruz
TID
Q Chief
20 percent
Dully sykes
Diamond
Ali Kiba
Lady Jaydee
Ray C

Wanaokuja
Nandy
Harmonize
Rayvanny
Marioo
Maua Sama

Upi mtazamo wako?
 
Hebu msikilize na muelewe Master J hapa, kisha pangua na panga upya list yako.

​

Mkuu naheshimu sana MAONI na MTAZAMO wa huyu lejendari wa uzalishaji Bongo fleva

Lakini haya sio mashindano ya Bongo Star Search
Kuwa mwanamuziki bora haimaanishi ujue kuimba kama wale wanaowachagua kwenye BSS

Kuwa mwanamuziki bora ni kwa jinsi gani utateka hadhira yako na kujenga reputation kwa hadhira yako

Kuna wanamuziki wanajua kuimba haswaa lakini wameshindwa kushawishi hadhira kabisa
 
Kuwa mwanamuziki bora ni kwa jinsi gani utateka hadhira yako na kujenga reputation kwa hadhira yako

Kuna wanamuziki wanajua kuimba haswaa lakini wameshindwa kushawishi hadhira kabisa
Nikirejea maana ya mwanamziki bora kwa kigezo hiki chako, yaani kuteka hadhira na reputation kwa hadhira.

Basi kwenye hii tittle: Best BongoFleva Singers , Tutafute neno jingine tutakalo lituma badala ya Singers , na hapo ndipo list yako itakuwa na mashiko sana.

Ndio sababu wadau wengi wamebainisha bila ya kumuweka fulani na fulani kwenye list, list inakuwa batili, maana wadau wamezingatia hasa kipaji cha uimbaji na sio kama ulivyo fafanua hapo juu.
 
Mkuu unawezaje kuwa GOAT bila kujenga reputation? Chart, mauzo, shows, endorsements nk

Mkuu hakuna tasnia yoyote duniani ambayo wadau wanakubaliana kwa asilimia 100 kuhusu GOAT
Lakini angala kuna watakao kua wanajirudia rudia sana kwenye opinion za wadau

Unge challenge list yangu kwa unaodhani wanastahili mkuu
Ndio raha ya mjadala

Mwaka juzi nadhani alianza Raper mmoja akataja list yake bora ya rappers huko usa
Basi karibia rappers wote wakubwa wakaanza kutaja list zao......... zilikua tofauti sana
 
Hii ndio list ya waimbaji bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania katika Bongo Fleva

Without particularly orders

Mr Nice
Mr Paul
Feruz
TID
Q Chief
20 percent
Dully sykes
Diamond
Ali Kiba
Lady Jaydee
Ray C

Wanaokuja
Nandy
Harmonize
Rayvanny
Marioo
Maua Sama

Upi mtazamo wako?

Mb Dog na Z Anton waliopata kutamba sana
 
Back
Top Bottom