The Best BongoFleva Singers Of All Time (GOAT)

The Best BongoFleva Singers Of All Time (GOAT)

1. GOAT wa muziki wa Dansi ni Patrick Balisidya.
2. GOAT katika Rap ni Albert Mangwair
3. GOAT wa Bongofleva ni Mr. NICE
 
Mbona Bushoke sijamuona
Wapi bizman
Wapi Huseein wa machozi
Wapi Lady jaydee
Wapi Maunda Zolo
Wapi Marlow

Au umekaa akaamka nakuona ukuje na hii Tena kwakukurupuka
 
Kwa best singer nadhan in ngum kuchagua kwakuwa inategemea na sikio lako lakin kwa best bongo fleva artist ni diamond platnumz bila ubishi..
 
Kwa best singer nadhan in ngum kuchagua kwakuwa inategemea na sikio lako lakin kwa best bongo fleva artist ni diamond platnumz bila ubishi..
Kweli kabisa artist Bora wa bongofleva Ni
1.diamond
2.ally kiba
3.A.y
3.Jay Dee
4.prof Jay
5.Ngwair
Waimbaji Bora (best singer)
1.mb dog
2.T.I.D
3.Ruby
4.makamua/Q Jay
5.balle 9
 
Kichwa cha uzi akiendani na baadhi ya waimbaji ulio orodhesha
 
Hii ndio list ya waimbaji bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania katika Bongo Fleva

Without particularly orders

Mr Nice
Mr Paul
Feruz
TID
Q Chief
20 percent
Dully sykes
Diamond
Ali Kiba
Lady Jaydee
Ray C


Wanaokuja
Nandy
Harmonize
Rayvanny
Marioo
Maua Sama


Upi mtazamo wako?
juma nature
joh makini
isha mashauzi
christian bella
 
Kwa best singer nadhan in ngum kuchagua kwakuwa inategemea na sikio lako lakin kwa best bongo fleva artist ni diamond platnumz bila ubishi..

Mkuu nimejaribu kuangalia wasanii waliofanya vizuri kiujumla bila kujali sikio langu
Na wasanii nilio wakusudia ni wale wanaoimba na sio kurap au dansi au taarabu

So kama unadhani yupo aliatahili kuwepo ila hayupo ndio mjadala wenyewe mkuu
 
Kichwa cha uzi akiendani na baadhi ya waimbaji ulio orodhesha

Mkuu ni weke sawa hapo

Nimekusudia wanaoimba Bongo fleva na sio rappers
 
juma nature
joh makini
isha mashauzi
christian bella

Mkuu watu wa rap hawahusiki hapa
Bella yupo zaidi kwenye dansi na ni mcongoman
Aisha naye yupo zaidi kwa Taarabu kuliko bongo fleva
 
Back
Top Bottom