The basement club ndani ya denfrance hotel sinza

Sijui nikupe hongera, au asante kwa taarifa, kwa sababu hujasema kama wewe ni mhusika wa club mpya au ni mteja tu. Vyovyote vile, kama ni mhusika HONGERA SANA, kama ni mteja, tunashukuru sana kwa taarifa. Ciao.
 
Asante kwa hilo ,mie ndo Dj mASTER K.
 
Kwa yeyote anaye penda kujua taarifa za mara kwa mara juu ya club yetu unaweza kujiunga na group yetu katika facebook, jinsi ya kujiunga fungua www.facebook.com kisha tafuta THE BASEMT CLUB SINZA. wote nawakaribisha sana.
 
Mi sinywi kilaji, lakini nataka niwepo, ni kitigani kitanifanye nikae hapo zaidi ya saa 4 ninini?
 
Mziki ulio pangiliwa vizuri ni moja ya kivutio , pia nje ya club kuna eneo kubwa lenye upepo mwanana kwa ajili ya marafiki na familia. pia kama unahisi uta kuja na kuna nyimbo unge penda kuzisikia siku hiyo ama watu wengine wazisikie basi simbaya ukaandika request yako hapa janvini am kwenye group yetu ya facebook.
 
Dj mafuvu ndo mpango mzima! Wadj wote wa bongo wanakaa kwa yule Dogo.
 
THE BASEMENT CLUB ni Night club mpya na ya kisasa ambayo imefunguliwa ndani ya DENFRANCE HOTEL maaeneo ya sinza karibu na darajani. kama unatokea barabara ya ubungo maeneo ya shekilango utanyoosha na barabara mpaka kijiweni halafu utaingia mkono wa kulia kuelekea sehemu inaitwa Waitini.

Unapata shida kuelezea kwa mtogole, kifupi club yako ipo kwa mtogole karibu na lile daraja linalonuka kuliko yote hapa Tanzania. Kwa wale wapenzi madisko ya kwa mtogole kazi kwenu nendeni kwenye club zenu ambazo pia kukutana wauza machungwa na karanga wakiendelea na biashara zao dance floor.
 
khaaa ...maelezo safi ila njia ya kuingia hapo bana tutaharibu ma volvo yetu ....ila tutakuja na wifi yako mama gaude kutia ubani eneo
 
I have been there once, kiukweli ni sehemu ya ukweli mno . Outside bar yake ni nzuri mno - full upepo, wana chakula kitamu mno kwa bei reasonable pamoja na bei za vinywaji ni reasonable pia. Yaani ukiwa pale huamini kama upo maeneo ya sinza.

Naona kuna jamaa anabondea kuwa pale ni kwa Mtogole, si kweli bali ni njia ya kwenda kwa Mtogole. Hotel ipo kabla ya daraja ukitokea kijiweni ambapo ni Sinza, au ndo una mentality kuwa vitu vizuri vipo mikocheni, oysterbay, masaki etc? Nakushauri km hujafika nenda siku moja, utapapenda.... Basement club yake ni nzuri mnooo. Just go there, am sure u will love the place.
 
THE BASEMENT CLUB ni Night club mpya na ya kisasa ambayo imefunguliwa ndani ya DENFRANCE HOTEL maaeneo ya sinza karibu na darajani. kama unatokea barabara ya ubungo maeneo ya shekilango utanyoosha na barabara mpaka kijiweni halafu utaingia mkono wa kulia kuelekea sehemu inaitwa Waitini. kama ni mchan utaona Ghorofa moja ndefu ina solar panel kwa juu, ila kama ni mchana ukifika eneo hilo utaona hiyo ghorofa ikiwa na taa ya Blue yenye maandishi DENFRANCE HOTEL na sky light.nyote mnakaribishwa.Pia Club hufunguliwa kuanzia siku ya Juma tano mpaka juma pili. Atakae kupatia burudani pindi utakapo kuwa hapo ni DJ Master K na siku ya juma mosi DJ AD The Turntablelist aka Mafuvu atakuwepo kukupatia burudani. nyote mnakaribishwa

Hongera mkuu. Lakini kwa faida ya biashara yako ingekuwa vema sana kama ungetuwekea pichaz za hiyo club.....a picture speaks a thousand words
 
I have been there once, kiukweli ni sehemu ya ukweli mno . Outside bar yake ni nzuri mno - full upepo, wana chakula kitamu mno kwa bei reasonable pamoja na bei za vinywaji ni reasonable pia. Yaani ukiwa pale huamini kama upo maeneo ya sinza.

Naona kuna jamaa anabondea kuwa pale ni kwa Mtogole, si kweli bali ni njia ya kwenda kwa Mtogole. Hotel ipo kabla ya daraja ukitokea kijiweni ambapo ni Sinza, au ndo una mentality kuwa vitu vizuri vipo mikocheni, oysterbay, masaki etc? Nakushauri km hujafika nenda siku moja, utapapenda.... Basement club yake ni nzuri mnooo. Just go there, am sure u will love the place.
Nakushukura sana kwa support yako na hivikaribuni ninafanya mpango wa ku upload photos. Bila kusahau kwamba kila siku ya Alhamisi tunakuwa na wazee sugu wakiongozwa na mzee king kiki wa kitambaa cheupe.
 
THE BASEMENT CLUB ni Night club mpya na ya kisasa ambayo imefunguliwa ndani ya DENFRANCE HOTEL maaeneo ya sinza karibu na darajani. kama unatokea barabara ya ubungo maeneo ya shekilango utanyoosha na barabara mpaka kijiweni halafu utaingia mkono wa kulia kuelekea sehemu inaitwa Waitini. kama ni mchan utaona Ghorofa moja ndefu ina solar panel kwa juu, ila kama ni mchana ukifika eneo hilo utaona hiyo ghorofa ikiwa na taa ya Blue yenye maandishi DENFRANCE HOTEL na sky light.nyote mnakaribishwa.Pia Club hufunguliwa kuanzia siku ya Juma tano mpaka juma pili. Atakae kupatia burudani pindi utakapo kuwa hapo ni DJ Master K na siku ya juma mosi DJ AD The Turntablelist aka Mafuvu atakuwepo kukupatia burudani. nyote mnakaribishwa
Kama natokea Kinondoni napita kwa mtogole?
 
Back
Top Bottom