Habari wana JF!
Hakuna siku nimejisikia vibaya kama leo nilivoenda CRDB Oysterbay kwa huduma ya kibenki! Kuna fomu moja ya mahakama ambayo ina ka-section kadogo kanakotakiwa kujazwa na Banker, nako kanahitaji JINA, SAHIHI, TAREHE na MUHURI wa Bank! Just like that! kitu ambacho hakichukui hata dk 5!!!
Basi nikafika pale reception dada mmoja akanielekeza meza husika, nimefika kwenye ile meza muhusika hata hakuniangalia! nime spend kama dk 8 nasubiri, badaye nikaweka fomu yangu kwenye meza na kumuonesha sehemu husika! huwezi amini! mi si mkaazi wa pale ingawa nilifungulia akaunti yangu pale! nimepanda bajaji kufika pale, nimetumia nauli na nina mambo mengi pia ya kufanya kama wateja wengine! ilikuwa mida ya saa tano kasoro asubuhi ila huyu muhusika akaniambia nirudi saa nane kujaza JINA, SAHIHI, TAREHE na KUGONGA MUHULI kwamba eti ana kazi nyingi!!!
Is this what the motto means???! I wish ningeweka suggestion kwenye suggestion box ila at the end wanafungua wenyewe, so no way! Kwakweli I really feel bad and I dont think if will be able kuendelea kuwa mteja wao.
:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down: