Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,320
Mungu mwenye nafsi tatu ambazo hazigawanyiki?
Vipi nafsi zitakuwa tatu kama hazigawanyiki? Hapa umedhihirisha kuwa unaamini ujinga wa hali ya juu.
Nafsi moja ndio haigawanyiki lakini ukisema nafsi tatu tayari umeshazigawanya Mr. Juha. Je unaamini katika ujuha?
Ona unavyoamini ujinga. Unamwabudu Mungu wa Yesu halafu unasema Yesu ni Mungu na unmwabudu Mungu wa Yesu. Huu kama si ujinga ni nini?
Inawezekana ujinga umebadilika maana, tafadhali nieleweshe maana ya ujinga. Ujinga ni nini?
Nani amekufundisha kuwa Mungu ana nafsi tatu? Duniani kuna vituko kwei kwei!!
Ujinga naweza kukueleza kwa kutumia mfano ufuatao.
Muhammad alikuwa ni mtoto wa Abd Allah, Jina la Baba yake lilimaanisha mtumishi wa Allah.
Muhammad alikuwa kutoka kabila la Makuraish wa Makkah huko suadi arabia.
Makuraish walikuwa na mungu wao wakimwita Allah, huyu Allah alikuwa akikaa katika kijumba kidogo kiitwacho kaabah, makuraish walikuwa wanaenda kumwomba Allah katika kijumba hicho sambamba na watu wengine wakiabudu miungu wao na Wakristo na Wayahudi wakimwabudu Yhwh.
Allah wa kaabah alikuwa na watoto (Mabinti) watatu na wasaidizi wasiopungua 360, Muhammad alisikia habari za Mungu mmoja, hivyo akiwa Kuraish alikuwa anakerwa na ibada za Allah mwenye mabinti na wasaidizi.
Muhammad alijitenga kwa kipindi fulani, akiwa katika kujitenga mapangoni alipatwa na kifafa na kuona maruweruwe na kuanza kuweweseka kwa kuwa alikuwa anaweweseka na kutetemeka.
Alirejea kwa mke wake na kumwambia yaliyomkuta na kujigundua kuwa alikuwa amevamiwa na mapepo/mashetani.
Mke wake alimpeleka kwa Mjomba wake na kumsimulia yaliyomtokea mumewe, mjomba wake akawatuliza na kuwaambia kuwa wasiwe na wasiwasi kwa kuwa Muhammad kisha kuwa mtume
Baada ya hapo Muhammad alijiona amekuwa mtume na si kavamia na mashetani hii ikiwa ni baada ya kuambiwa na mjomba wa mke wake.
Muhammad aliamua kumkarabati Allah wa kaabah kwa kuwaondoa mabinti na wasaidizi, ili Allah awe mungu mpweke sawa na Yhwh aliyeabudiwa na Wayahudi na Wakristo.
Muhammad alinukuu baadhi ya mambo yaliyomo ndani ya mafundisho ya dini mbali mbali na kuweka mengine ya uwongo ili kupata aina ya dini ambayo ipo na mafundisho kutoka dini mbalimbali.
Ujinga unakuja pale mtu kama Nonda, kwanza anaamini kuwa kweli Muhammad ni Mtume wa Mungu kwa kupewa utume na mjomba wa mkewe, huku mwenyewe akifahamu wazi kuwa alikuwa amevamiwa na mashetani.
Ujinga kwa upeo wa juu ni kuamini kuwa Allah anakuwa Mungu wa kweli kwa kuwaondoa mabinti zake na wasaidizi wake.
Last edited by a moderator: