Makande 26
Senior Member
- Jul 23, 2019
- 113
- 97
Mwisho wa mwezi wa 9 na mwanzo wa mwenzi wa 10 kuna kikao kinaendelea pale new york USA
Yes ni mataifa yanatoa riport zao mbali mbali shukrani nyingi sana kwa serikali yetu ya tanzania kwa riport safi iliyo somwa na waziri professor Paramagamba Kabudi
Binafsi nimependezwa na ujasiri wa tanzania kupigania vikwazo vya ndugu zetu wa zimbabwe
Karibuni tujadili yaliyojili huko na tuone ni yapi yanatuhusu kama watanzania na waafrica kwa ujumla .