The 20 Best Airlines In The World

The 20 Best Airlines In The World

Sasa kwa nini viongozi wetu wasiende huko majju kwanda kuwafahamisha ya zeli za zamani watukopishe sisi wa bongo
 
Nilishawahi kupand Qatar airways jinsi wale mabinti wahudumu walivyokuwa wakarimu hadi nikafikiri wananitaka kimapenzi. bado kidogo mswahili mimi nitie aibu.

hahaha ungetongoza mmoja pengine walikuwa wanakutaka kweli..
 
Ethiopian airline vip? maana ndio ndege nilioipanda...ila kwa kweli ndege zinazokuja huku hasa Tanzania siyo nzuri sana kama za huko ulaya.
 
hahaha ungetongoza mmoja pengine walikuwa wanakutaka kweli..
Thubutu! nilikuja kugundua kuwa ule ukarimu walikuwa wanamwonyesha kila abiria mule sio mimi peke yangu. hatimaye nikanyong'onyea.
 
Ethiopian airline vip? maana ndio ndege nilioipanda...ila kwa kweli ndege zinazokuja huku hasa Tanzania siyo nzuri sana kama za huko ulaya.
Ukiwa unatokea ulaya Ethiopians airline unapanda Dream line,kutokea Ethiopia kuja Tanzania ni boeing ya kawaida si unajua tena masaa matatu hivyo hawatoi ndege nzuri
 
Mkuu umeaahau fastjet

Hii ndege huwezi kuiweka kwenye list kutokana na poor services. Kwa nchi 25 nilizopita na makampuni ya ndege niliyoyatumia hii ndo kampuni pekee inayouza chakula hadi maji ya kunywa kwa abiria. How poor they are?
 
Je, kama keshapanda shirika moja tu? Atasemaje?

List ya kwenye post kuu inaonekana kuwa exhaustive.

Sasa mtu anayependekeza vingine naye awe exhaustive kidogo. Kwa mfano, mimi nimeshapanda Lufthansa, Swiss International, Austrian Air, Emirates, Ethiopian Airline....katika list yangu ya mashirika bora naweza sema: 1. Swiss, 2. Lufthansa, 3. Emirates, 4. Austrian Air, na 5. Ethiopian Airline.

Sasa nikisema tu kwamba, mimi kwangu Swiss International ni namba 1, bila kuonyesha namba moja kati ya mashirika yepi, inakuwa siitendei haki thread!

Ni mtazamo tu!

Swiss? Mie nimeshangaa kuiona kwenye 20 bora! Zamani, sio sasa mkuu!
 
Ethiopian airline vip? maana ndio ndege nilioipanda...ila kwa kweli ndege zinazokuja huku hasa Tanzania siyo nzuri sana kama za huko ulaya.

Ndege zinazokuja Tanzania hazina tofauti na zinazo kwenda sehemu nyingine. Tena ni nzuri zaidi ya zinazosafiri ndani ya Ulaya na ndani ya Marekani.
 
Ndege zinazokuja Tanzania hazina tofauti na zinazo kwenda sehemu nyingine. Tena ni nzuri zaidi ya zinazosafiri ndani ya Ulaya na ndani ya Marekani.

Hivi kuna ndege za wireless internet hapa tanzania ambazo zinatoka Europe, ASia au America.
 
haaa hivi Malaysian airline no 5? seriously?

Kama hujui Malaysia airline, Qatar na Emirates ndo mashirika ya ndege ya uhakika na yenye huduma nzuri mashirika mengine kupata ndege ya kuunganisha safari uanweza ukaka airport hata siku 3, lakini wao kama unaunganisha ndege watakipeleka hotelini wakati unaisubiri
 
Back
Top Bottom