The 20 Best Airlines In The World

The 20 Best Airlines In The World

Ok hivi SABENA na KLM hazipo tena siku hiz au hazipo kwenye top 20?
 
Jaman vp ndugu zetu wa kenya airway wenyewe wanajiita KQ maana nategemea kufanya nao safari mwezi ujao to hong kong
 
hahahaaaaaaaaa,Huwa nazipanda kwenye njozi tu lol!
 
Aisee mie napenda sana aviation yaani ningekuwa na pesa za kutosha ningepanda kila aina ya ndege duniani....mungu ni jalie kazi ya mikono yangu.
 
Aisee mie napenda sana aviation yaani ningekuwa na pesa za kutosha ningepanda kila aina ya ndege duniani....mungu ni jalie kazi ya mikono yangu.

Kwanin usiwe na shirika lako??
 
Hyo ndege inabeba watu wangap?? Kwanin wasiilist DSE"??

Air Tanzania hata haiko kwenye orodha ya airline 205 zinzojulikana duniani. Sasa hiyo ndege moja kuiweka DSE ni kupoteza muda. Ila nina imani huko Lyods Insurrance itakuwa imeandikishwa ili ikipata ajali iweze kulipwa.
 
Ninachotaka kusema ni kwamba kuiweka DSE itapata management nzuri, capital growth itakuwepo.

Ila ikiwa chini ya serikali kutakuwa na inefficiencies za kufa mtu
 
I love qatar .. huwa napanda qatar .. from dar to Stockholm kuna 7 hours waiting time hamad international airport .. I hate waiting
 
Back
Top Bottom