xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,290
Na sio lazima upande yote hata ukikutana na waliopanda mengine mka share experience unaweza jua lipi bovu lipi zuri..niliwahi mention KLM kwa watu walio wahi panda wacha waliponde hasa kwenye msosi....yaani nimejikuta sitaki hata kulijaribu sababu ya feedback za waliolipanda
Mkuu usije jaribu KLM,wadachi hamna kitu.Sio tu chakula hata entertainment zao hovyo pia,labda kwa denge zao za route nyingine,ila kwa route ya Dar to Schiphol haina maraha kama ice ya emirates.