Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,485
Renewable energy project mwanakijiji anayopendekeza ni nzuri but ni ghali sana Technolojia hiyo. Nchi zilizoendelea ndio wanaweza kuifanyia kazi na sio kwa nchi kama yetu inayojaribu kujikwamua kiuchumi. Sisi tuwekeze katika Project ya Hydro Electric, Umeme wa makaa ya mawe na Songo songo kuhakikisha umeme wa uhakika unapatikana. Tukiwa tumekuwa kiuchumi ndio Tufikirie Nuclear Project.
Mnaongelea ilani za chadema, cha kushangaza ni kuwa kwa nini chadema wasiwekeze kwenye umeme? wanangoja nini? nani aliyewazuia na wao ni chama chenye wafuasi wengi na bajeti nzuri tu wanayo? ya kupewa hapa na serikali na ya kuletewa na chama cha demokrasia cha kikristo cha ujerumani.
Haiingii akilini chama hakina kutekeleza japo kimoja ya wanayoyalalamikia siku zote. Mngeanza kuonesha japo kwenye majimbo yenu ya uchaguzi tu, mkawapa umeme usiokatika saa zote, maji safi kaya zote, shule zilizosheheni waalimu, madawati, vyoo vya kisasa, maabara, mngeweka hospitali za kisasa kwenye jimbo lenu hata moja tu.
Mnabaki kulalama, kususa, kuandamana. Tuonesheni vitu hai ili tujuwe kweli nyinyi ni zaidi ya serikali ya sasa ili tuwape kura zetu haraka haraka. Nani asiyetaka maendeleo? mnatuchosha na mulalama kwenu kusiko kwisha bila kuonesha mfano hata mdogo tu. Bora hata mrema alikwenda kuileta kuileta kampuni ya umeme poa, ingawa haijafanikisha lakini tuliona kawaleta, alionesha jitihada za vitendo na si kulalamika tu saa zote.
Kama uongozi rahisi si tungeona ile hospitali anaeongoza katibu mkuu wenu ikiwa kama mfano wa kuigwa? kiko wapi? ukienda pale ni foleni kuanzia asubuhi mpaka saa kumi jioni lakini ukitoa kitu kidogo unapelelkwa kumuona dokta mbio mbio, au hamlijui hilo? Na ndio katibu mkuu wenu kiongozi wa pale, au kaacha kwa kugombea urais alioukosa?
Devoid of a wipe and not worth flushing...!!!
Must be smelling of musk and amber!!!
100MW ni short term solution kwavile mahitaji ya umeme nchini yanakua kwa kiwango hicho
For a state owned utility, serikali inatakiwa ijikite kwenye kuimarisha uzalishaji wa umeme nchini kwa kiwango kikubwa hili halijapewa umuhimu stahiki, ningeshauri serikali iangalie maramoja financiers for Ruhudji maana ni a bit easier than Stiegler's Gorge kwa sasa
Mitambo ya Aggreko itazalisha 100MW HFO na watalipwa a staggering 55bn per month! Sasa do your math,revenue ya TANESCO ni kiasi gani kwa mwezi,na hapo hujamlipa Symbion,IPTL,Songas na other off grid operators...na bado unaload shed kwasababu hata Aggreko haiondoi tatizo bali inapunguza
Ni vyema serikali ya chama cha mapinduzi, ikusanye hela yooooooote ya posho iliyotengwa kwenye wizara mbalimbali na kuiwekeza Ruhudji...Zomba...kufikiri CDM au CUF waje na miradi while serikali inaongozwa na CDM ni lack of analysis watakuja nayo, but no one will finance them, hii miradi sio lelemama lazima financiers uwakusanye na uwaconvince na upate govt guarantee..its a joke to think CDM will get tht backing!
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa waste to energy conversion is costly ukilinganisha na vyanzo vingine lakini ukipima sana utaona ina faida nyingine ambayo vyanzo vingine havina - inaondoa uchafu na kuangamiza badala ya kujaza landfills. Na teknolojia ya leo ipo inayowezesha hata kufanyika bila kuwa na matokeo mabaya zaidi katika pollution compared na uchafu ambao tayari upo. Binafsi suala la kugeuza uchafu into energy si kwa ajili ya umeme tu bali pia kudestroy uchafu na kusababisha utaratibu wa kutupa uchafu vizuri zaidi badala ya kuuzagaa.
Pamoja na hayo, tukipanga vizuri na kutumia uwezo wetu tuliojaliwa na Mungu kufikiria tunaweza kufanya hili liwezekane.
100MW ni short term solution kwavile mahitaji ya umeme nchini yanakua kwa kiwango hicho
For a state owned utility, serikali inatakiwa ijikite kwenye kuimarisha uzalishaji wa umeme nchini kwa kiwango kikubwa hili halijapewa umuhimu stahiki, ningeshauri serikali iangalie maramoja financiers for Ruhudji maana ni a bit easier than Stiegler's Gorge kwa sasa
Mitambo ya Aggreko itazalisha 100MW HFO na watalipwa a staggering 55bn per month! Sasa do your math,revenue ya TANESCO ni kiasi gani kwa mwezi,na hapo hujamlipa Symbion,IPTL,Songas na other off grid operators...na bado unaload shed kwasababu hata Aggreko haiondoi tatizo bali inapunguza
Ni vyema serikali ya chama cha mapinduzi, ikusanye hela yooooooote ya posho iliyotengwa kwenye wizara mbalimbali na kuiwekeza Ruhudji...Zomba...kufikiri CDM au CUF waje na miradi while serikali inaongozwa na CDM ni lack of analysis watakuja nayo, but no one will finance them, hii miradi sio lelemama lazima financiers uwakusanye na uwaconvince na upate govt guarantee..its a joke to think CDM will get tht backing!
Please read power system master plan,Stiegler's Gorge bado uko kwenye mchakato wa mambo ya mazingira na ukishamaliza its money ni zaidi ya trillion its not sth the utility cn finance on its own right now though mchakato wake kitaalamu umekamilika na uko wizaraniRuhudji is a bit cheaper and yes about 800MW na ujue kujenga mpaka commissioning might take 5 good years ila safari yoyote huanza na hatua moja, nao uko wizarani..sasa tufanye nini zaidi ?Eng Nsiande,Ndio sababu nawaambieni Tanesco mnafanya usanii. Mnaacha project ya maana ya Stiegler Gorge yenye kuzalisha umeme wa MW 2100 mnafanya project za 100MW. Mradi wa Stiegler Gorge uko since 1985 unapigiwa dana dana tu kwasababu unajulikana ukianzishwa utalimaliza tatizo la umeme but tunaambiwa tatizo la umeme nchini ni ukame. You guys are not serious !!!Mie nashauri miradi ya short term na long term iende pamoja na sio short term solution for long term problem ndio inatengeneza mirija ya ufisadi.
Zomba nipatie cost za kuleta mtambo wa 100Mw unaohitaji only 'bank guarantee'Ujue zile 260MW japo zilikuwa ni za kukodisha zinagharama ya 400bn nani atakupa?Wanangoja nini? hakuna cha govt guarantee, hizo ni fikra za kizamani. Just bank guarantees are enough for 100MW generators.
Please read power system master plan,Stiegler's Gorge bado uko kwenye mchakato wa mambo ya mazingira na ukishamaliza its money ni zaidi ya trillion its not sth the utility cn finance on its own right now though mchakato wake kitaalamu umekamilika na uko wizaraniRuhudji is a bit cheaper and yes about 800MW na ujue kujenga mpaka commissioning might take 5 good years ila safari yoyote huanza na hatua moja, nao uko wizarani..sasa tufanye nini zaidi ?

Tatizo sio technical ni finance, shirika litoe wapi trillion ya kufanya generation? Uganda wansaidiwa na serikali yao mradi kamab Bujagali which is 250MW sasa sio kuwa wizara ya nishati Uganda iliubuni, la hasha ni shirika liliwapelekea, sasa wizara ikipelekewa na haitekelezi ufanyeje ?Hao ndio ma engineers wa TANESCO. Hamna cha kufanya? kwani mnafanya nini siku zote zaidi ya kukera watu tu? kaulizeni ma engineers wa nchi zingine wanafanya nini au ondokeni huko mmeshaishiwa hata cha kufanya hamjui.
Zomba nipatie cost za kuleta mtambo wa 100Mw unaohitaji only 'bank guarantee'Ujue zile 260MW japo zilikuwa ni za kukodisha zinagharama ya 400bn nani atakupa?
Mkuu mdondoaji, miradi yoote hiyo tangu nimeingia mpaka nimeondoka ilikuwa inapelekwa kila mwaka wizarani...
Sijui kwanini maamuzi magumu hayafanyiki...
Only in Tanzania...ndio maana Mkono alipohoji Buhemba na wizi nilitamani nimhoji mabilioni aliyochota TANESCO kwa kesi zilizoshindikana na hatujashinda na analipwa!Kimsingi serikali pendwa ina'guarantee' loans kwa shirika bali haitoi pesa, pesa pekee inayoletwa ni ya mafuta for IPTLJamani nikiendelea kuandika I'd just blow my cover amani iwe nanyiEng Nsiande mungu ibariki nchi hii kama ndio mazingira ni haya!!!! Inakuwaje sasa kama hawafanyi maamuzi magumu yenye faida kwa nchi hii, wakati maamuzi ya kulipa Billions Dowans yanafanyika? Maamuzi ya kulipa IPTL billions per month. Managing Director wa Tanesco ambaye ana dhamana ya ugavi nchini anashindwaje kushinikiza uamuzi ufanyike kujivua lawama?