Thats my handsome man

Thats my handsome man

Daah mbona kila mdau anasema hivi .. ngoja nika m-Google huwenda jamaa akawa ni mwana chama wa LGBT

Sent using Jamii Forums mobile app
Handsome wako kaweka hadi rangi ya kucha, itakuwa ni mke mwenzako
Kasichana kazuri
Kwa dunia ya sasa mwanaume kuwa na mumewe si jambo geni. Inawwzekana mleta mada ni mwanaume ameamua kutuonyesha mumewe.
IMG_20190116_173955.jpg
 
Dah!! ndo mana siamini kiumbe cha kike..., yani ni kupenda vitu vya ajabu tu
 
Niliwaona siku Ile mmeshikana mikono, nikajua wote wanawake😕
 
bangii ni nini?niainaa ya mchichaaa unaota kwenye maji,mbele yake kuna kona ya kwenda baharini,unatafakarii yaliyojiri aaaah bangi ni..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom