That's Mbozi Council

Yusuph Wernery

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
316
147
KUTOKA MBOZI

NA
MDUDE NYAGALI

Kuna upotevu wa Tsh.milion 410 katika halmashauri ya wilaya ya mbozi.Baraza la madiwani kikao kilichopita waliazimia kwamba kuundwe kamati ya kuchunguza wezi wa pesa hizi.

Cha ajabu ni kwamba kikao cha baraza la madiwani cha tarehe 22-07-2016 siku ya ijumaa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya mbozi elick minga akawa anajaribu kutumia cheo chake kuzima hoja ya kuunda kamati ya kuchunguza wezi na badala yake akasema kazi ya kuunda kamati ya kuchunguza wezi wa pesa hizi itaundwa na mkuu wa mkoa wa songwe kitendo kilichomfanya mbunge wa mbozi Pascal Haonga kusimama na kuhoji nini makubaliano ya kikao kilichopita kuhusu kuundwa kwa kamati ya kuchunguza upotevu wa pesa hizi?aliendelea kuhoji mbunge wa mbozi kuwa tulikubaliana kuwa kamati itaundwa na baraza la madiwani imekuwaje tena utuambie kamati itaundwa na mkuu wa mkoa kinyume na makubariano ya baraza?

Baada ya mbunge Pascal Haonga kuhoji mwenyekiti aliwauliza madiwani wanaoafiki kamati iundwe na mkuu wa mkoa wasimame wakasimama madiwani wa ccm wote pamoja na mbunge wa vwawa na baadhi ya madiwani wa chadema wachache,Mwenyekiti wa halmshauri akasema hoja ya haonga haijaungwa mkono na madiwani wengi hivyo ikatupiliwa mbali na siku hiyohiyo baada ya kikao haonga alipata ajali mbaya ya gari wakati akielekea msibani.

Tangu elick minga awe mwenyekiti wa halmshauri mwaka 2010 halmashauri ya mbozi imekuwa ikipata hati chafu mfululizo mpaka sasa na baada ya uchaguzi wa mwaka jana 2015 chama cha mapinduzi ccm wakapata madiwani wengi kuliko chadema na ccm wakamleta tena elick minga kuwa mgombea wa mwenyekiti wa halmashauri kwa kile walichodai kuwa hawakuwa na diwani mwingine wa ccm mwenye elimu.

Kufanya kazi na wabunge na madiwani wa ccm ni sawa na kufanya kazi ya kuvuna mazao na tumbili sikutegemea kama mwenyekiti wa halmshauri anaweza kufurahia ajali ya mbunge wa mbozi anyway ni changamoto katika harakati za kupambana na wezi wa pesa za wananchi.

tuonane 2020 kwenye oparesheni ya kufuta madiwani wa ccm kwenye wilaya ya mbozi.

By

mdude nyagali
 
UKAWA haitakuwepo 2020. Vijana wameshtukua utapeli wao tayari!!
 
Back
Top Bottom