Oooh leo naona nina haribu swaumu yangu tu MANI njooo uokoe jahazi, huyo hapo mbele ni aliyewahi kuwa mtalaka wangu Little Angel
Mpwa mimi nasoma masalia huku mwingine kakwapua simu !
Dakika 120 x2 nitakuwa fiti nikicheza against timu hii.
Lahaula wallah quattah! ndio maswali gani hayo Konie?utakuwa unatumia balls gani?
Lahaula wallah quattah! ndio maswali gani hayo Konie?
sifa ya mbantu ni nyamanyama sasa hawa miti mikavu wa nini..