The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,135
- 1,381
Mkuu hiyo inaweza kuwa ni moja ya package holes ambazo software developers wanajitahidi sana kuziavoid,na hackers ndio wanaotoa alert kwa developer/s na kuweza kuziondoa kwa kutoa updates ambazo zinakuja kuseal hizo hole/s,nadhani kama kweli litakuwa ni tatizo baada ya watu kuanza kupeleka malalamiko rasmi kwa wahusika hizo package lazima ziwe revised ili kuendelea kulinda personal privacy.Heshima,Kwahiyo MPESA ina-infringe privacy?
Don.