Thanx to mobile tracker,found back my phone

wakuu hii kitu inafanya kazi vzuri sana na sio kwa lg tu bali kwa simu kibao tu na kila ukiweka line yoyote ile itatuma no yake kwa zile simu ulizoweka kwenye hyo simu
 
Hehe dah!!! hii kitu tukimpa kanumba the greaty atatengezeza movie ndani ya siku mbili tu utakuta matangazo. halafu kila mwaka atakuwa anatoa part 2,3,4 atafanya iwe series..teh teh nice story

ok zipo nyingi.. hadi simu za kichina wameweka sikuhizi..

kwa simu ambazo hazina inabidi uweke mwenyewe

Gonga hii tena ni freeeeeeeee

F-Secure - Protection - Free Anti-Theft for Mobile - Overview

hapa jinsi inavyofanya kazi..tena unaweza ona hadi location yake,uka delete picha na txt zako yaani wewe tu

cheers!!!
 
Mkuu hiyo kitu ni bomba sana ipo pia car tracking device. Kama una gari ya bei mbaya basi unafunga hii kitu na kunakuwa na monthly fees. Na wezi wengi wa magari wamekamatwa katika nchi mbali kutokana na hii device.
 
Nitahitaji hii nikirudi TZ ... kampuni gani TZ wanatoa hii huduma
 
Kwa wale wenye nokia kwenye ovi store kuna software za bure mimi natumia antitheft inafanya kazi kama hiyo ya LG
 
Nitahitaji hii nikirudi TZ ... kampuni gani TZ wanatoa hii huduma

Sina hakika na hili lakini kuna mtu aliniambia kwamba ipo kampuni ambayo inatoa huduma hii Dar ila sijawahi kufuatilia zaidi.
 
Wakubwa nimeipenda sana hii, but mie natumia Sony Ericsson vivaz je naweza pia kuweka hiyo phone tracker? Tusaidiane wakubwa
 
Wakubwa nimeipenda sana hii, but mie natumia Sony Ericsson vivaz je naweza pia kuweka hiyo phone tracker? Tusaidiane wakubwa

Mkuu jaribu post no 15 ya Brakelyn ame attach appl kwaajili ya simu za OS ya symbian s60, na hiyo simu yako inatumia OS hiyo ya syimbian s60 v5
 
kuna wakati kulikuwa na jamaa dar es salaam, wana kampuni wanakuwekea software kama hizi, walitoa mpaka vipeperushi, nimewasahau jina
 
Mkuu inasaidia sana wakati mwingine.
Lakini kinacho niudhi mimi ni kuwa hivi hawa service provider wetu Voda,Tigo, Airtel nk wanashindwaje kujiorganise na kublock simu zote zitakazo ibiwa kwa imei no?

makampuni ya simu ni ngumu kushirikiana katika hilo.....ni jukumu la TCRA kutoa maagizo na kuangalia jinsi ya kuratibu
 
Mkuu kwanza nili take advantage kwa yeye kutojua najuaje kila sim card anayoweka? nikamwambia hiyo ni simu maalumu kwa kazi za ofisini hivyo hata afanye nini nitajua killa anachofanya inamitambo maalumu.

Paul mbona unamwaga mtama kwenye kuku wengi? Kama huyo muhusika ni memba wa forum hii si atakuwa amefaidika na kuwaeleza wengine?
 
Paul mbona unamwaga mtama kwenye kuku wengi? Kama huyo muhusika ni memba wa forum hii si atakuwa amefaidika na kuwaeleza wengine?
Alaa kumbe? lakini wapi hata weza kuitoa maana password ataitowa wapi
 
Back
Top Bottom