thanx daaad....

thanx daaad....

Juma chief

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
2,764
Reaction score
2,368
64ebe371b8979361880c5a73923caeae.jpg
 
dah.......hongereni mababa wote mnaojitambua.
Baba yeyote anaejitambua hana furaha ya maisha,hana muda wa kupumzika.Mara nyingi anakua hana marafiki,maana ratiba inabana sana.Unatoka kazini unawahi nyumbani kuzijibu kero za watoto walizo toka nazo shule (home works), then unazijibu za mama yao pasipo kujali makwazo uliyo toka nayo kazini.Mungu kaa nasi sisi wababa.
 
kwa kweli mkizingatia nyie ndiyo vichwa vya familia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom